kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    Bodaboda waelimishwe zaidi fursa za kiuchumi

    Chimbuko la bodaboda ni neno la Kingereza 'border' lenye maana ya mpaka. Baada ya Idi Amin kuipindua Serikali ya Rais Milton Obote mwaka 1971, Uganda ilikumbwa na uhaba wa bidhaa muhimu za nyumbani, hivyo kuanzia mwaka 1972 wajasiriamali wa Uganda walitumia baiskeli kuvusha bidhaa kama sukari...
  2. S

    Wazazi wawezesheni walimu kiuchumi

    Walimu wetu wanatumia mda mwingi Sana kutuandalia kesho ya watoto wetu, vipato vyao havitoshi kumudu mahitaji yao. Viongozi wa dini wanalishwa na waumini wao lengo kuu Ili wasiwaze watakula nini. Maana huwezi mtumikia Mungu na mali yaani uhudumie kiroho huku ukafanye vibarua Ili familia iishi...
  3. Lycaon pictus

    Serikali ma waajiri wengine wangetoa mshahara hata mara mbili kwa mwezi ili shughuli za kiuchumi zisiwe zinadorora

    Mada hii imawahi zungumzwa humu. Naomba kukazia zaidi. Kama wewe ni mfanyabiashara utaona kuwa biashara inachanganya mwisho wa mwezi. Baada ya wiki hivi inakata kabisa. Unakuwa unadunduliza tu. Ili walau biashara na mzunguko wa pesa uwe mzuri mwezi wote serikali na waajiri wengine wangefanya...
  4. Kidagaa kimemwozea

    Wanawake jiinueni kiuchumi, ndio uhuru wenu

    Kama hauna au hauko vizuri kiuchumi utumwa unakunyemelea katika muktadha wowote ule. Ndiposa nakuja na ushauri huu kwa jinsi ya ke kuwa wajitahidi kujiimarisha kiuchumi na kutokuwa tegemezi katika jinsi ya Me ili waondokane na utumwa katika mahusiano na katika Ndoa. Yapo mawazo mgando kuwa...
  5. Makonde plateu

    Kwahiyo tunakosea kwanza ili Mungu atuoneshe njia sahihi ya kiuchumi na kijamii?

    Bila shaka kama lisingekuwa Ile mistake ama hakika leo tungesema mengine labda after 5 year kwa majaliwa ya Mungu ningekuwa next Bakhresa kwenye maisha yangu ila ndiyo hivyo nilikosea kuna muda najilaumu ila kuna muda pia namshukuru Mungu kwa namna kama nimekosea kwa ujana na umri huu ama hakika...
  6. E

    Rais Samia zuia vibali vya chakula kwa sasa, utalaumiwa lakini Taifa litakukumbuka kama mkombozi wa kiuchumi

    Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo. Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi waliopita. Naomba nirejee katika hadithi iliyoko katika biblia. Wamisri walikuwa utumwani misri...
  7. Econometrician

    Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

    Mkoa wa Njombe: Mkoa wa Njombe una Halamashauri 6 ambazo ni Njombe Mjini, Vijijini, Ludewa, Makete, Wangingombe na Makambako. Wenyeji wa Mkoa wa Njombe 70% ni wabena, ambao wanapatikana Wilaya za Njombe mjini,Vijijini, Makambako, Wangingombe na wakinga-Halamashauri ya Makete na Halamashauri ya...
  8. G

    Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali

    Hello wanachama wa jamiiforums leo ningependa niweke mkasa wangu baada ya kuwa msomaji wa humu ndani kwa muda mrefu. Niliwahi kuwa na mke hapo miaka ya 2018 hadi 2021, pia nina mtoto moja ambae hadi sasa yupo kwa mama yake japo huwa naenda kumcheki. Ni mwaka 2017 nilipokutana na huyu binti...
  9. D

    Polisi wampe ulinzi mke wa Dr. Mwaka. Sakata la ndoa yao lina vita ya kiuchumi ambayo inaweza kupelekea mauaji

    Sitapenda kuchimba sana kwenye mgogoro wa ndoa Lakini naomba kusema machache kwenye sura ya usalama wa kila mmoja kwenye mgogoro huo! Ukitazama kwa juu juu unaweza kushangaa kwanini mambo yao ya ndoani yameifikia jamii. Lakini ukitafakali sana unagundua sakata lao ni sawa na moto, ulianza...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Hawa Mchafu kuwainua vijana kiuchumi, UWT-Pwani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Hawa Mchafu amewakabidhi Mashine ya kufyatulia Tofali vijana ili kuwainua kiuchumi vijana wa Kikundi cha Wazalendo wanaoishi Kata ya Mtongani, Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani. Vijana wa Kata ya Mtongani Wilaya...
  11. Raymanu KE

    Wazazi wawezesheni watoto wenu kiuchumi

    Siku hizi hali Ni Tete mtaani vyuma vimekaza kabisa hakuna michongo Wala nafasi za kutosha za ajira. Vijana wengi wanahitimu vyuo wanarudi mtaani kutafuta ramani za maisha ila mambo hayaendi hawana CONNECTIONS kabisa. Wengi wanakuwa ' liabilities' kwa wazazi wao licha ya kuwa na elimu ya...
  12. L

    Hongera sana Rais Samia kwa kuwainua kiuchumi wakulima, umeliinua taifa kwa kuwainua wakulima

    Ndugu zangu watanzania, Asilimia kubwa ya watanzania Ni wakulima waliojiajiri katika kilimo, wanao tegemea kilimo kuendesha maisha yao, wanaojenga na kununua sare za shule kwa sababu ya kilimo, wanao fungua miradi kwa sababu ya kilimo, wanao nunua magari kwa sababu ya kilimo, wanaojenga nyumba...
  13. K

    Tusiwahukuhu sana wanawake wasomi na ambao wapo vizuri kiuchumi

    Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu. Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga...
  14. FRANCIS DA DON

    Nimebaini kuajiri watu wenye wivu, husda na roho za kichawi TRA ni kuhatarisha ustawi wa nchi kiuchumi

    Unajua kuna watu wana enjoy kuona wenzao wakianguka na kuwa chini, in short wana roho za kichawi. Hongera Simba kwa kuokoa sekta ya banking nchini kwa kurudisha imani kwa depositors, maana kila mtu alishaanza kukimbiza pesa uswiss.Taifa lilikuwa linaenda kuanguka vibaya.
  15. Raphael Thedomiri

    Ripoti IMF: Mwaka 2023 utakuwa mgumu zaidi Kiuchumi kuliko 2022

    Kwa sehemu kubwa ya uchumi wa dunia, 2023 utakuwa mwaka mgumu kwa kiuchumi. Hii inatokana na vichocheo vikuu vya ukuaji wa uchumi kimataifa yaani Marekani, Ulaya na China, zinakabiliwa na kudhoofu amesema mkuu wa shirika la kimataifa la fedha (IMF) Jumapili. Mwaka mpya utakuwa mgumu zaidi...
  16. J

    Waziri Mkuu: Anzisheni majukwaa ya kiuchumi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kupata kutokana na ushirikiano wa kidiplomasia kwenye nchi walizopo. Amesema ni vema balozi hizo zikaanzisha majukwaa ya kiuchumi yatakayowakutanisha...
  17. MK254

    Finland waanza mbinu za kuepuka gesi ya Urusi, jameni Putin anazidi kuzika nchi yake kiuchumi na kijeshi

    Hamna kizuri uja kwenye kupoteza biashara, hata ujipige kifua mara ngapi, ukipoteza mteja hata mmoja ni hasara sana. Bara Uropa lote linakimbia gesi ya Mrusi. Like many countries in Europe, Finland is looking to liquified natural gas (LNG), to replace the mainly pipeline-transported gas it used...
  18. Inanambo

    Miujiza ya uponyaji na kufanikiwa kiuchumi

    Yaani nashindwa kuelewa Watu wanaosema/wanaoshuhudia wamepona baada ya kutumia mafuta na maji ya upako. Wapo wanaosema wamekunya au kutapika au kujifungua; kobe, hirizi, panya, tandu, jongoo, nyoka, toothpick, nyuzinyuzi. Au wameua nyoka nje ya nyumba zao au paka. Nisaidieni hii ni miujiza...
  19. NetMaster

    Nimewaza kufanya blogging kama part time, kiuhalisia kwa hapa bongo nitaweza kunufaika kiuchumi?

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kutinga kwenye uwanja, nimekuwa nikicheki interviews za lisaa ama zaidi kwa bloggers waliofanikiwa na kiukweli natamani walau nipate walau hata theluthi ya mafanikio yao hasa napoona kwamba ushindani wa blogs bado ni mdogo hapa kwetu kwenye niche kibao...
  20. Pang Fung Mi

    Tujuane tuliochapiwa Wake zetu, wachumba, wapenzi wetu baada ya Kuyumba Kiuchumi

    Hii Dunia acha iitwe Dunia pamoja na usiku na mchana ila kuna rangi nyingi sana hapa duniani, mwaka 2020 nilipigwa matukio ya hatari sana, Gari ikabondwa na ajali, Pesa nikayumba kibiashara, demu nikachapiwa mbaya sana, madharau kama yote, upepo wa pesa ulipotea, viazi hola, mpunga hola...
Back
Top Bottom