kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Serikali yazindua mwongozo wa kitaifa wa uanzishaji na uendeshaji majukwaa ya uwezeshaji wanawake kiuchumi

    Na Mwandishi Wetu, WMJJWM, Pwani Serikali imezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wenye lengo la kuleta ufanisi wa utekelezaji wa majukwaa haya ikiwa ni pamoja na kuyafanya yajulikane ngazi zote hapa nchini. Akizungumza katika uzinduzi...
  2. Pfizer

    Uwezeshaji wa Mama Lishe 360 kiuchumi

  3. Mathanzua

    Putin ashinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya: CEO wa kampuni ya mambo ya uchumi Ulaya asema Ulaya inaelekea kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi

    Hatimaye Putin ameshinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya.C.E.O wa kampuni kubwa kabisa ya mambo ya uchumi Ulaya asema,"Ulaya hatimaye inaelekea katika mgogoro wa kibenki, kuanguka kwa viwanda, kaya na uchumi.Hii ni katika "wiki chache tu zijazo" amesema. 07 SEPTEMBA 2022  Tuomas Malinen...
  4. BigTall

    Ukatili wa kiuchumi wawatesa wanaume Geita

    Ukatili wa kiuchumi unaofanywa na baadhi ya wanaume wa Kata za Nzera na Kakubiro, Mkoa wa Geita wakati wa msimu wa mazao, unasababisha kufanyiwa ukatili wa kingono pindi msimu wa mazao unapomalizika. Wakizungumza leo Jumanne Septemba 6,2022 wakati wa mafunzo kwa kamati za Mpango wa Taifa wa...
  5. The Burning Spear

    Kiuchumi hii imekaaje?

    Huu utaratibu wa kupangisha frame or nyumba halafu unalipa six/year in advance mi naona kiuchumi haiko Sawa hata kidogo. Kwa mfano napangisha Leo afu nikulipe hela Hadi ya mwaka ujao it is crazy ndiyo maana biashara nyingi hufa. Inampa favour mwenye pango Ila wewe mpangaji unakuwa umekopesha...
  6. Komeo Lachuma

    Kwa Saud Arabia hapa nashindwa kuelewa. Inakuaje? Au ni vita ya kiuchumi?

    Ni moja ya nchi zenye sheria kali sana. Na misingi ya Kidini. Hii ni nchi ambayo inaheshimika sana Kidini. Hili suala linakuaje ndugu zanguni? Limekaaje kaaje?mbona silielewi? Haya mambo yalianzia Pakistan miaka mingi kuwa ni nchi ambayo inafanya sana Biashara za Madawa ya kulevya. Ikaja nchi...
  7. B

    SoC02 Jinsi Serikali inavyoweza kutumia miradi mipya ya kibunifu kuingiza mapato zaidi kuliko kutegemea tozo na kodi zaidi

    Tozo Tozo ni ushuru au kodi ambayo wananchi wanatozwa na serikali. Pia hii ni aina moja wapo ya chanzo cha mapato kwa serikali za sasa hasa zile za ulimwengu wa tatu ambayo pia huchangia maendeleo ya miradi mbalimbali ya serikali kama kujenga hospitali, barabara, shule, mishara na marupurupu...
  8. KeeTZ

    SoC02 Utambuzi wa fursa zinazokuzunguka ili kujikomboa kiuchumi

    a) UTANGULIZI. Vijana wengi wa sasa nikiwemo mimi kwa muda mrefu tumekuwa tukilalama, na pengine kuilalamikia serikali kwa uhaba wa fursa zinazoweza kufikika ili KUJIKOMBOA ki uchumi, mawazo haya yameshika hatamu vichwani mwa vijana wengi wakihisi fursa ni lazima mtu akukamate mkono na...
  9. seedfarm

    Rais Samia amerithi nchi iliyofilisika kifedha na kiuchumi

    Rais Magufuli alirithi nchi yenye mzunguko wa pesa imara na Ukuaji ulioimarika toka kwa Jakaya Kikwete, Uchumi wa Jakaya Kikwete wa kuajiri maelfu ya watu kila mwaka, na kulipa malimbikizo, Kuongeza mishahara, Kulipa wastaafu kwa wakati, Biashara na wawekezaji kushamiri. Ilituchukua zaidi ya...
  10. Josephaty Jumapili

    SoC02 Athari za kiuchumi katika familia

    Jamii nyingi za kiafrika zimekumbwa na matatizo mbali mbali katika familia kama:- 1: Ndoa kuvunjika 2: Baba kukimbia familia 3: Vijana kukataa mimba 4: Watoto kuugua magonjwa yatokanayo na ukosekanaji wa vyakula bora nk. Ukosekanaji wa huduma bora katika familia hutokana na kukokuwepo kwa...
  11. S

    SoC02 Maisha ya Mtanzania kiuchumi Tangu mwaka 2021

    MAISHA YA MTANZANIA KIUCHUMI TANGU MWAKA 2021- Maisha ni jumla ya mambo yanayokuzunguka na uyafanyayo kila iitwapo leo. Maisha yanajumuisha uchumi wa mtu, utamaduni, siasa, teknolojia na kadhalika. Makala haya yanaangazia maisha ya Mtanzania tangu mwaka 2021 na kuendelea yakilenga uchumi...
  12. Omari Frank

    SoC02 Misingi ya ukuaji kiuchumi kwa mtazamo na uzoefu wangu

    Mada Kuu: MISINGI YA UKUAJI KIUCHUMI KWA MTAZAMO NA UZOEFU WANGU. Nimefurahi kupata nafasi ya kueleza jambo kuhusu uchumi kwasababu binafsi nimejikita katika shughuli za kiuchumi kwa muda mrefu hivyo basi ninaweza kuwa na jambo la kusema kwa wadau wa maendeleo na wanajamii Forums. Kimsingi...
  13. T

    Je, umewahi kujiuliza Tanzania itakuwa wapi kisiasa na kiuchumi miaka 50 ijayo?

    Huu ni utabiri anaye taka abishe anaye kubali akubali. Yapo mambo mawili makubwa yatatokea kwenye kipindi cha miaka 50 kutoka sasa. Jambo la kwanza ambalo tutaliona ktk kipindi cha miaka 50 kutoka sasa litategemea na utashi wa kisiasa chini ya serikali ya ccm. Ikiwa ccm atakuwa na ndoto...
  14. L

    Ziara ya wanadiplomasia wa Afrika mkoani Hunan, China, kufungua fursa nyingi zaidi za kibiashara na kiuchumi

    Na Pili Mwinyi China na Afrika ni ndugu ambao wanafaana wakati wa dhiki na faraja, na uhusiano uliopo kati yao tunaweza kusema kwamba ni uhusiano wa kihistoria duniani. Uhusiano huu mashuhuri ambao unajulikana vizuri na kwa mapana zaidi duniani, kutokana na umuhimu wake katika kuchangia...
  15. Dr Msaka Habari

    Umilikishaji wa hati kuwa inua wananchi wa Temeke kiuchumi

    Na. Mwandishi wetu, Dar Kamishina Msaidizi wa ardhi kanda ya Dar es Salaam Bw. Idrisa Kayera amesema serikali imesisitza kuwa lengo kuu la umilikishaji hati miliki za ardhi litafanya kila kitu kuwa na uhakika wa usalama wa umiliki wa ardhi na hivyo kuwainua wananchi kiuchumi Kwa kuwa hati...
  16. Dr Msaka Habari

    Umilikishaji wa hati kuwainua wananchi wa Temeke kiuchumi

    Na. Mwandishi wetu, Dar Kamishina Msaidizi wa ardhi kanda ya Dar es Salaam Bw. Idrisa Kayera amesema serikali imesisitza kuwa lengo kuu la umilikishaji hati miliki za ardhi litafanya kila kitu kuwa na uhakika wa usalama wa umiliki wa ardhi na hivyo kuwainua wananchi kiuchumi Kwa kuwa hati...
  17. Lanlady

    Kama kutosinzia kutasaidia kuleta mabadiliko ya kiuchumi katika taifa; Watanzania tukeshe sasa

    Kumekuwa na kauli mbalimbali za viongozi kuhusu kutosinzia nyakati za usiku, na kwamba mkuu wa nchi anakesha ili kutatua changamoto za Watanzania. Nadhani itabidi sasa watanzania kuunga mkono juhudi. Kama Rais halali, wewe ni nani unalala. Unapata wapi usingizi?
  18. Azizi Walter

    SoC02 Vijana tusikatishwe tamaa na hali ya kiuchumi

    Baada ya kumaliza elimu yangu ya ufundi stadi kutoka chuo kikubwa nchini cha serikali (VETA) na kuwa na matarajio makubwa ya kupata ajira hapo baadae au kujiajiri mwenyewe lakini hali ilikuwa tofauti sana na uhalisia hakuna aliyeniamini na kufanikiwa japo kunipa majaribio juu ya kile...
  19. E

    SoC02 Mabadiliko ya Kiuchumi

    Uchumi:Serikali iangalie swala La maeneo yaliyo wazi mjini haswa Dar es salaam wamilikishwe watu binafsi kwa mkataba ambao utakua wa kudumu ambapo atakayemilikishwa atapaswa kuanzisha mradi mfano apartments ambapo baada ya mradi kukamilika kutakua kugawanya faida Kati ya serikali na huo...
  20. EGF

    SoC02 Tanzania inavyopiga hatua kiuchumi katika sekta mbalimbali

    Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Shughuli hizo ni pamoja na uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia mbalimbali. Uchumi mara nyingi hutazamwa kwenye ngazi za kijiji, eneo, taifa au Dunia. Kwa kipindi...
Back
Top Bottom