Marekani iko katika vita ya kiuchumi na kijeshi na China lakini haiko tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani, kama ilivyokuwa kwenye vita ya kiuchumi na kijeshi na Urusi lakini haikuwa tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani.
Kama ambavyo Ukraine iliingizwa mkenge ikajikuta katika...
Ni ukweli usiopingika kuwa tokea mapinduzi ya kumkomboa mwanamke kiuchumi, kisiasa na kijamii wanawake wengi wamekuwa na nguvu sana katika nyanja zote za siasa, uchumi na jamii na kuwaacha wanaume nyuma.
Tukirudi miaka ya 90 kurudi nyuma kulikuwa na dhana kwa wanawake wengi kuwa wao hawawezi...
Nimejaribu kujielimisha kidogo kama kuna ugumu wowote kwa wahitimu wa elimu ya juu kujiajiri. Nimejifunza kwamba, vikwazo vikubwa kwa wahitimu kuhusu kujiajiri ni mfumo wa elimu kutokuwajengea tabia ya kujiajili, pamoja na changamoto ya kupata mitaji ya kujiajiri.
Wahitimu wa elimu ya juu...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoathiriwa na janga la UVIKO-19 pamoja na vita kati ya Urusi na Ukraine katika Nyanja ya uchumi wa mtu mmoja mmoja na uchumi wa taifa kwa ujumla. Majanga haya yamesababisha kuwepo kwa mfumuko wa bei za vyakula ,ongezeko katika bei ya mafuta na gesi pia kupungua...
Katika maeneo ambayo yanga wamefanikiwa kuset msimu huu ni kwenye management, klabu yoyote ikiwa na management goigoi lazima mambo mengi yatakwama, Matunda ya mafanikio ndani na nje ya uwanja ya klabu yanaanzia kwenye management.
Kikosi cha uongozi kilichoko yanga kwa sasa kina kiu kubwa sana...
[
]
" Tafiti zinaonesha upatikanaji na matumizi ya takwimu zenye ubora huchangia mpaka asilimia 1.5% ya pato la Taifa( GDP),
Hii inaonesha umuhimu wa kazi mliyopewa kwani takwimu za sensa Agosti23, 2022 ndio zitatumika kuandaa Dira ya Pili ya Taifa ya 2025-2050 baada ya kumalizika Dira ya...
RAIS SAMIA ANAVYOIVUTIA KASI VIETNAM, KOREA KIMAENDELEO,
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila anasema,
Ujenzi wa Chuo cha VETA Simiyu ni moja kati ya vyuo 25 anavyojenga Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, nchi nzima kuanzia mwaka jana,
Mhe Rais anatujengea jumla ya majengo 25 na sasa tupo...
Habari za jioni wakuu.
Miaka miwili nyuma, Ghana ilikuwa nchi ya mfano katika ukuaji wa uchumi barani Afrika. Bin Vuu, 2022 Ghana ipo katika mgogoro mkubwa wa kiuchumi. Ghana inaelekea kwenye default. Ghana ipo katika njia ya Sri Lanka. Inaelekea kushindwa kulipa madeni yake inayodaiwa katika...
Uraibu hutazamwa kama ugonjwa au utumwa wa ndani unaotokana na hali ya kuzoea kufanya kufanya kitu chenye madhara bila kujizuia . mara nyingi watu huzingatia Zaidi uraibu wa dawa za kulevya na kuchukulia ulevi kama tabia lakini kisichojulikana ni kua kuna uraibu wa mambo mengi kama vile uraibu...
Kizazi cha sasa hasa kwa vijana (wasichana kwa wavulana) asilimia kubwa wamekuwa wakijikita katika michezo ya kubahatisha (betting) kama njia ya kujipatia kipato ya haraka,
Picha: Watanzania wakiwa katika moja ya kampuni la michezo ya kubahatisha (Benjamin Fernandez 2017) Lakini swali la...
Habari za wakati huu enyi walimwengu wa Karne ya mwisho wa dunia, mliopo katika ardhi yenye baraka ya Tanzania, na hata msiokuwa Tanzania.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Awali ya yote nipende kukushukuru wewe unayesoma makala hii kwa kutenga muda wako ili uweze...
Imekuwa ni kawaida ya Rais Zelensky wa Ukraine kuhutubia vikao mbali mbali vya kitaifa na kimataifa katika harakati zake za kutaka kuungwa mkono kuiwekea vikwazo urusi. Jitihada hizo zimeshindwa vibaya kwenye mataifa ya mashariki ya kati, Asia, Amerika ya kusini na Afrika.
Alikubaliwa...
Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana vikwazo vipya dhidi ya Russia kwa sababu ya RussiaUkraineWar ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku kuagiza dhahabu kutoka nchini humo na kuzuia mali za Sberbank
Vikwazo hivyo vinakusudia kuadhibu na kudhoofisha uchumi wa Urusi ambapo Usafirishaji wa...
UMESIKIA ishu ya baadhi ya wanaume wa Kijiji cha Mapili Kata ya Ilela, Halmashauri ya Mlele mkoani Katavi?
Kama hujasikia ipo hivi, kumbe wanatamani sana kuwawezesha wake zao kiuchumi, lakini wanashindwa kuwawezesha kiuchumi wakihofia wanawake hao kubadilika na kutowasikiliza wakiwa na kipato...
Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) wameondoa vikwazo vya kiuchumi na kifedha vilivyowekwa dhidi ya Mali, baada ya watawala wake wa kijeshi kupendekeza mabadiliko ya demokrasia ya miezi 24 na kuchapisha sheria mpya ya uchaguzi
Umoja huo uliiwekea Mali vikwazo...
Pili Mwinyi
Mkutano wa 14 wa wakuu wa nchi za BRICS zikiwemo Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini unatazamiwa kuanza tarehe 22 Juni hadi 24 Juni hapa Beijing, na safari hii utafanyika kwa njia ya mtandao wa internet. Mwaka huu, mkutano huu utazingatia jinsi ya kutekeleza ajenda ya...
Benki ya dunia kupitia moja ya blogi yao wanakiri kabisa kwamba fursa hii imerahisishwa na uwepo wa biashara ya kimataifa.
Uwepo wa soko huria pamoja na mambo mengineyo yanayorahisisha biashara ya kimataifa imekuwa chachu kwa wazungu wanaotengeneza magonjwa (wasiwasi ) na kuyasambaza...
Agenda ya nchi za Magharibi kuidhoofisha urusi kwa kuitumia ukraine hasa ilianza tangu mwaka 2014 baada ya kumpindua Rais aliyekuwa wa mlengo wa Urusi.
Tangu wakati huo nchi za Magharibi zimekuwa zikiipa Ukraine silaha na mafunzo ya kijeshi ili hatimaye ukraine itiwe kiburi kukataa makubaliano...
RAIS SAMIA NA UCHUMI WA GESI, TUPO NJIA SAHIHI
Na David KAFULILA
Jumapili, Juni 12 , 2022
Jana, Juni11, 2022, Rais wetu SSH ameshuhudia makubaliano ya awali ya uwekezaji wa $30bn kati ya Serikali yake na kampuni kubwa 5 za kimataifa ambazo ni Equinor, Shell, ExxonMobil, Medco Energy na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.