kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aizna

    Watu watafurahia ukianguka kiuchumi

    VIP
  2. Mangole Valles Michael

    Tunaopitia wakati mgumu kiuchumi tukutane hapa tushee mawili matatu

    Habarini wana jamvi, huu utakuwa uzi maalumu kwa wale tunaopitia wakati mgumu kiuchumi/ tulio drop na kufirisika.. na bado hatujasimama. Binafsi mimi kwa sasa ni miongoni mwa watu wanaopitia kipindi hiki kwa sasa, nimeyumba sana nimeachana na watu niwapendao kwa sababu ya utafutaji (umbali...
  3. B

    Je, unaweza kunionesha Tanzania chama cha siasa kinachoweza kupigania uhuru wa kiuchumi na kufanya mapinduzi ya kiuchumi?

    Naandika kwa uchungu sana, vyama vyote kwa wakati huu havina maono wala ajenda ya kuisimamia, wanachama wake na viongozi wake, wamejaa unafiki na uwongo wa hali ya juu, nadhani ifike mahari tuwe na mgombea au wagombea binafsi katika nyanja mbali mbali za kisiasa, kijamii, na kiuchumi. Msaada...
  4. B

    Athari za kiuchumi zitokanazo na nchi kuwa na mfumo mbovu wa utoaji haki ikiwemo ukosefu wa Uhuru wa Mahakama

    Nitaandika kidogo lakini kwa mwandiko uliokolea , nitaandika Kwa ajili ya watu wenye akili zakupambanua mambo na siyo kwa wanaosubiri siku zipite wazeeke. Naandika kwa watu wenye macho ya ujasusi wa kidiplomasia na siyo wenye ujasusi wa jinai unaoongozwa na nguvu nyingi akili kisoda. Twende KAZI...
  5. Jicho la Tai

    Wasio na ajira ndio wapewe kazi kwenye zoezi la Anwani za Makazi na Sensa kuwawezesha kiuchumi

    Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato. Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio...
  6. sky soldier

    Hali za kawaida kiuchumi kwa waganga wengi ni kwasababu wao ni madalali wa majini na wanaotaka fedha, hawataki balaa za pesa za majini

    FAHAMU MGANGA ANAKUPA UTAJIRI YEYE ANABAKI MASIKINI Sababu kubwa kuliko zote mganga anajua madhara ya pesa za masharti, kwahiyo hawezi kuhatarisha maisha yake na familia yake. Ukienda kwa mganga unataka utajiri atachofanya mganga anakuwa kama dalali wa kukuitia majini watakaokupa huo utajiri...
  7. L

    Mkakati wa kuwashirikisha wanawake wa Afrika kifedha na kiuchumi waonesha matumaini

    Na Pili Mwinyi Mkutano wa 35 wa Umoja wa Afrika (AU) wa wakuu wa nchi na serikali ulifanyika hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja huo yaliyopo Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano huo uligusia masuala mbalimbali yakiwemo COVID-19 pamoja na wimbi la mapinduzi na majaribio ya mapinduzi lililoibuka...
  8. T

    Jinsi gani tatizo la Uraibu wa Kamari limeharibu maisha yako upande wa kijamii, kiimani na kiuchumi?

    Tatizo la uraibu (addiction) wa kamari linaendelea kukua siku baada ya siku kwa vijana wengi wa Kiafrika hususani Tanzania. Makampuni ya kamari yanakimbilia sana katika mataifa ya kiafrika ambako umaskini umetamalaki kuja kuwekeza huku wakilenda soko lao kubwa kuwa ni vijana.Vijana ambao wana...
  9. Restless Hustler

    Ni Nani aliyelimdanganya kijana wa Kitanzania kwamba Serikali ina wajibu wa kumletea mafanikio ya Kiuchumi?!

    Nitangaze mapema kwamba 1. Mimi ni graduate na ni jobless kama walivyo vijana wengi 2. Mimi Sina chama chechote na siyo msenaji wa yeyote. Lakini najiuliza sana Hawa wahindi na wazungu waliohamia kutoka nje na kuwawekea watoto wao misingi ya mafanikio na Sasa wengi wa watoto wao under 35 ambao...
  10. Idugunde

    Picha: Kama kawaida vijana wa Bavicha wakigongea Kahawa mitaani Bukoba Kwa kisingizio Cha Katiba mpya. Kwa Sasa wanahali ngumu sana kiuchumi

    Kila mtu anajua fila kuwa Chadema inawakati mgumu sana, sasa imefikia kiasi Cha kupiga mizinga vijiweni
  11. sky soldier

    Nini kilicho nyuma ya ma-producer wa Bongo kutokea kwenye familia za kishua/zenye unafuu kiuchumi?

    Kuanzia wanamuziiki, wacheza filamu, wacheza mpira, dancers, n.k nimeona wahusika wengi walikuwa na changamoto za uchumi lakini kwenye ma producer hali ni tofauti japo sio wote ila kuna nafuu
  12. Idugunde

    Pamoja na Wanachadema kufurahia anguko la Ndugai kujiuzulu Uspika, Ndugai hajapoteza kitu

    Pamoja na kukosa kiti cha uspika, bado atavuta mkwanja mrefu na atapata 80% ya mshahara aliokuwa anaupata mpaka kufa. Chadema walifurahi kama vile anaenda kuteseka. Kumbe sio hata kidogo. Pia ndani ya chama chao bado atakuwa na nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu. Kwa hiyo hajapoteza kama...
  13. Sky Eclat

    Usafiri unakwamisha vijana wengi kujinasua kiuchumi.

    Nikiuliza bei ya kiroba cha mihogo sokoni niliambiwa ni 70,000-80,000. Inamaana ukiwa na heka tano za mihogo Kisarawe, na una van ndogo inayoweza kubeba viroba vinne kwa siku. Una uwezo wa kuingiza laki tatu kila siku ukipelela mihogo soko la ndizi asubuhi. Jioni unawapa vijana viroba...
  14. figganigga

    Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri. Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
  15. A

    Mikopo isiyoenda katika shughuli za kiuchumi ina maana gani kwa taifa letu?

    Moja kwa moja niende kwenye maada kama kichwa cha habari kinavyosema Kumekuwa na sintofahamu juu ya kauli iliyotolewa na mheshimiwa spika, bwana Job Ndugai hivi karibuni na hata yeye mwenyewe ameamua kuikana kauli yake baada ya mashinikizo kadhaa kutoka kwa watu na viongozi mbali mbali...
  16. Red Giant

    Madawa ya kulevya hayana shida kihivyo, kilichopo ni vita tu ya kiuchumi

    Miaka ya 1800 kulitokea kitu kinaitwa opium war. Hii ilikuwa ni vita kati ya Waingereza na Wachina. Ni kwamba waingereza walikuwa wanauza sana hii opium kwa wachina na kuingiza pesa nyingi sana. Sasa Wachina wakaona watu wao wanakuwa mateja, wakapiga marufuku matumizi ya Opium. Waingereza...
  17. L

    Wakati Afrika inajikwamua kiuchumi, Marekani “inavunja ngazi” na China “inajenga ngazi”

    Hivi karibuni, hotuba iliyotolewa kwa njia ya video na mkurugenzi wa Kituo cha Maendeleo Endelevu cha Chuo Kikuu cha Columbia, Marekani Jeffrey Sachs ilifuatiliwa na kuitikiwa sana na watu wa Afrika. Kwenye mkutano huu wa Umoja wa Mataifa, profesa huyu alitoa mfano wa Jamhuri wa Kidemokrasia ya...
  18. chongoe

    mke akiwa mja mzito na mume kuwa na hali mbaya kiuchumi inahusiana vp?

    habari zenu na waku hii mara ya tatu sasa kabla ya ujauzito mke wangu huwa tuna maisha mazuri ila akiwa mja mzito mipango mingi inadunda na haionekani inakuwa kwangu tu au nawezangu huwa hivi?
  19. Sky Eclat

    Unasaidia wengi kujikwamua kiuchumi na wengi juu it’s majina tofauti, wengine wanaita mchezo, upatikanaji, kibati..

    Faida yake kubwa ni kuwa haina riba, tofauti na mkopo wa benki. Unafundisha nidhamu ya kuweka pesa. Ni watu wengi wanaucheza katika viwango tofauti. Kuna wapika maandazi na vitumbua, au wenye biashara ndogo ndogo, huwekeana kiasi cha kukusanya kila siku, wengi hukusanya faida ya siku. Hii...
  20. T

    Hayati Magufuli atabaki msingi mzuri wa mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa vizazi vijavyo.

    Kwa ambao hatukubahatika kuuona uongozi wa Mwalimu Nyerere tukiwa na uelewa na ufahamu timamu tunajivunia kupata fursa ya kuuona, kuushuhudia na kuuelewa utawala wa Hayati Magufuli ambao kulingana na simulizi mbalimbali toka kwa wazee waliobahatika kufanya kazi na Mwalimu wanasema unafanana kwa...
Back
Top Bottom