Elimu Fedha (Financial Literacy) Itawakomboa Watu Wengi Kiuchumi
Habari wana JF, poleni na hongereni kwa shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Andiko langu litaangazia jambo ambalo halizungumziwi sana ama halionekani wazi wazi lakini lina mantiki kubwa kwenye ukuaji wa uchumi kuanzia ngazi ya mtu...
Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi.
Rais Samia Suluhu Hassan alianza na ‘Royal Tour’ kama sehemu ya kui - brand Tanzania katika uso wa dunia, na sasa safari hii ya New York pamoja na kuhudhuria Baraza la Umoja wa Mataifa na mikutano mingine, itatumika...
Sote tunakubali uwiano usio na usawa wa kiuchumi kwa maana ya wingi wa wasionacho na uchache wa walionacho unaopelekea baadhi ya mambo ama tabia zetu na hata mahusiano yetu kuathirika kwa namna moja ama nyingine. Leo ningepende kurununa (share) nanyi baadhi ya mawazo yangu juu ya nini kifanyike...
Changamoto ya afya ya moyo ya Mkuu wa tano wa utawala wa nchi yetu ilijulikana kwa kuchelewa sana (baada ya kifo chake) kuwa alikuwa na matatizo ya kiafya.
Changamoto ya afya ya moyo ambayo ndiyo iliyomlazimu (hili nina uhakika kabisa ukirejea utaalamu wa kiafya) asiweze kusafiri mbali kwa...
UHABA UJASUSI WA KIUCHUMI NA MKWAMO WA SEKTA BINAFSI.
Na Yericko Nyerere
Wakati nafikiria na kuamua kuandika kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, nilikuwa nimejiridhisha vya kutosha juu ya uwezo mdogo wa taifa letu na watu wake katika medani ya ujasusi wa KIUCHUMI, na hivyo nikakusudia...
Maendeleo ni chachu ya kila mtanzania hapa nchini ikiwemo maendeleo kwenye nyanja mbalimbali za kiuchumi, biashara, utawala Bora, uwajibikaji, afya, haki za binaadamu, demokrasia na kadhalika.
UCHUMI NA BIASHARA TANZANIA.
Ni wazi kua uchumi wetu Tanzania ni uchumi wa kati kwa mujibu wa takwimu...
Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata.
Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina.
Pia...
Tarehe mosi Julai 2021, Chama cha Kikomunisti Cha China CPC kiliadhimisha miaka 100 tangu kianzishwe.
Katika hafla kubwa ya kuadhimisha karne moja, Rais wa China Xi Jinping ambaye pia ni Katibu wa Kamati Kuu ya CPC alitangaza kuwa China imetimiza lengo la kwanza la karne la kujenga jamii yenye...
UTANGULIZI:
Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania 2015-2016, umebaini kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu kabla ya utafiti huo, wanawake wa Tanzania wanazaa wastani wa Watoto 5.2. Vilevile, uwezo wa kuzaa kati ya wanawake unatofautiana kwa makazi yao, viwango vya...
Binafsi kwa upande wangu na wanaonizinguka wote hali mbaya zaidi kiuchumi! Hakuna biashara yani full mdororo ila ndiyo kwanza naona EWURA wanapandisha bei za mafuta na mitungi ya Gas nayo inapenda bei huku hali za kibiashara zikiendelea kudorola kabisa kabisa.
Unaweza sema Hayati aliharibu...
Utaratibu wa Sasa wa mabenki Ni lazima uwe na salio la kwenye line ya simu ndipo uweze kufanya miamala, Kwanza tu hii idea na mfumo wake unaonyesha Tanzania tuna wamiliki wa benk wasiotumia akili na wasiofanya utafiti au wanaoburuzwa. Kwasababu "Nina zaidi ya milioni kumi kwenye akaunti au hata...
NGUVU YA BAADHI YA MAMBO KATIKA SHUGHULI ZA KIUCHUMI
Nitaeleza ni nguvu gani iliyo ndani Ya baadhi ya mambo kwa wewe unaesoma nakala hii ambayo unaweza kuitumia katika Nyanja ya uchumi na ukaleta mabadiliko yako binafsi na jamii kwa ujumla ,sanasana nalenga vijana maana wao ndo wenye...
UTANGULIZI.
Mazingira ni nyenzo muhimu sana katika Maisha ya Mwanadam hasa ikichukuliwa kwamba kila kiumbe chenye uhai hutegemea Mazingira (asili) ikiwemo udongo, maji na hewa. Hii yote hudhihirishwa hata katika masimulizi ya uumbaji ndani ya vitabu vyote vya Dini.
Kabla ya Maisha ya Mwanadamu...
Wanakumbi.
CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe.
Utawala wa Sheria hautaki hivyo...
Moja kati ya vitu muhimu sana katika kuinua uchumi wa nchi pamoja na kuleta maendeleo kuanzia kwa mtu mmoja mmoja adi kwa taifa ni biashara, kuna biashara za aina nyingi nyingi kama vile maduka ya vyakula, magenge, na kadhalika.
Kila biashara unayoiona, kuijua au kuimiliki usije kamwe...
Kufanikiwa ni nini? Ni kutoka kwenye hatua moja ya chini ya kimaisha kwenda hatua inayofuata.Maranyingi watu wa mataifa yanayo endelea hasa yakipato cha chini au cha kati kiwango chao cha maendeleo ni chachini ukilinganisha na watu wa mataifa yalio endelea. Kuna sababu nyingi lakini kwenye...
ELIMU BORA ITAKAYO FANYA MAPINDUZI YA KIUCHUMI TANZANIA
Neno elimi lina dhana pana sana ki maana, wapo walio sema elimu ni dira, elimu ni ufunguo wa maisha n.k
Kwa maana hiyo basi elimu ni mchakato ambao maarifa, tabia, mila na maadili ya jamii moja hupitishwa kwa ajiri ya kizazi kijacho...
Mada yangu itajikita zaidi kuonesha namna uhuru wa fikra na kusema unaweza kuwa ni chachu ya kuleta mapinduzi ya maendeleo ya kiuchumi kwa jamii, hususani ya watanzania. Hivo, natoa pia fursa kwa mada nyingine katika uwanda huu wa ‘uhuru wa fikra na kusema’ na namna zinavoweza kuleta mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.