Pichani amenukuriwa akiiongelea tena vita hii tuliyokuwa tunaanza kuisahau:
Ikumbukwe kinara wa vita hii alikuwa hayati Magufuli.
Bila shaka safari hii hatutaachana gizani, bali tutafikia kufahamishwa mbaya wetu huyo hasa ni nani?
Watuonyeshe mbaya wetu.
Zikawe ama zake ama zetu!
Habari za majukumu wadau,
Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano.
Ujumbe wa kongamano hilo ni "...
SHAKA: UTHUBUTU WA RAIS SAMIA UNAIFUNGUA NCHI KIUCHUMI NA KIMATAIFA
Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitoa salaam za Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kiwanda cha kuzalisha vifaa vya umeme kilichopo kata ya Kisarawe II wilaya ya Kigamboni...
Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi.
Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
kumlinganisha diamond kiuchumi na wasanii ambao wengi wao hata linapokuja swala la usafiri wanavimba na toyota crown za miaka kumi iliyopita, inakuwa sio fair
Sote tunajua ya kwamba kuanzisha biashara kubwa ni gharama kubwa na ni hatari endapo ukila za uso, unaweza kuanzisha biashara mbili...
Shirika la Msalaba Mwekundu limesema athari za janga la COVID19 kijamii na kiuchumi zimewaathiri zaidi Wanawake ulimwenguni kote.
Kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Wanawake wameathiriwa zaidi na upotevu wa Mapato na Elimu, kuongezeka kwa matukio ya ukatili, Ndoa za utotoni na biashara haramu ya...
Toka tupate Uhuru 1961 Tanzania imetawaliwa na Tanu na baadaye CCM lakini cha kusikitisha ni jinsi ya uchumi wa Tanzania unavyoendeshwa kwa njia tofauti katika utawala wote wa awamu sita.
Awamu ya kwanza njia zote za kiuchumi zilithibitiwa na serikali na utaifishaji mkubwa wa...
Inakuwaje wanajamvi!
Bwana mdogo Mohammed Bin Salman mwana wa mfalme wa Saudi sasa hivi anaipaisha nchi yake kiuchumi nje ya Mafuta kwa kasi ya ajabu na hatarii haijawahi kuonekana.
. Viwanda vinachipuka kama uyoga. Wa saudia sasa hivi bidhaa nyingi hawanunui au kuagiza kutoka nje zinazalishwa...
Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu.
EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU...
Takwimu mpya kutoka kwa shirika la Umoja wa taifa la wafanyakazi ILO zinaonyesha kwamba sekta ya ajira imekuwa na kasi ndogo katika kurejea kwenye hali ya kawaida baada ya janga la Covid 19, wakati mataifa yanayoendelea yakisemekana kuathirika zaidi yakilingaishwa na yale yalioendelea.
Wachumi...
Kwa sasa kila kitu kimepanda sana. Hali ya maisha inazidi kuwa mbaya. Baada ya mwaka mmoja, kama hali itaendelea kuwa hivi, uchumi wetu utaanguka.
Hali mbaya ya kiusalama inayochochewa na uchumi ulioanguka kutokana na mfumuko wa bei itakuwa dhahiri.
Serikali na Taasisi zake, kwa bahati mbaya...
Inakuwaje wanajamvi!
Haiwezekani kabisa huyu jamaa awe na miaka 29. Huyu ni kwenye late 40s. No he can't be 29 na kataa. Wazungu na waarabu siku hizi wanaghushi sana miaka hii katika mpira haikubaliki kabisa. Jamaa achunguzwe.
Nchi yetu ni nchi masikini, kutokana na hali hiyo ni muhimu kila senti inayopatikana ikatumika vizuri.
Leo hii nchi yetu ina viongozi wakubwa wafuatao
1. Rais
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Rais wa Zanzibar
5. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
6. Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar...
Wazazi na walezi wameaswa kuwatafutia njia mbadala watoto wao wa kike ya kujikwamua kiuchumi inapotokea kukatishwa ndoto zao kwa kushindwa kuendelea na masomo kwasababu mbalimbali ikiwemo kubebeshwa mimba.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili alitoa wito huo wakati akizungumza...
Ndg. Asubuhi nimesikiliza mjadala wa saa 2 katika ile platform ya Clubhouse ya mindset transformation. Katika mjadala huo watu watatu wenye degree zaidi ya nne na mmoja mwenye PhD kwa kudai kuwa kupata degree is just a paper na kwamba katika maisha yao hazijawahi kuwasaidia lolote.
Wamekwenda...
Kada mkongwe mzee Mgaya ametoa rai kwa chama chake CCM kutopuuza tishio la ukame kama ilivyoripotiwa na TMA.
Mzee Mgaya anasema Watanzania hawajazoea njaa na endapo itatokea hali kama ya mwaka 1980 tulipokula ugali wa yanga na ule mweusi wa unga wa mtama basi mustakabali wa CCM utakuwa...
Wamarekani ni watu wajanja Sana, kwakuwa wameshikilia currency ya dunia basi wataendelea kuwa namba moja kiuchumi.
1. Bajeti yao ikipungua wanaprint dollar, feds
2. Wakipata msukosuko wanaprint dollar
3.wanaprint Dolla wanakukopesha
4. Mabenki yao yakiyumba wanaprint dollar wanawapa
Sasa...
Wakuu hili swali nimeliuliza sehemu nkashindwa kupata majibu nimeona nililete hapa.
Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi?
Mfano alama za kujiunga chuo ziwe atleast BBB
Miaka mitano yote akiwa madarakani tuliwakilishwa na mawaziri wa nje. Na hakuna mtanzania aliyeona labda tumepungukiwa kiuchumi. Zaidi ya kuona maendeleo kwenye sekta za afya, miundo mbinu na ukusanyaji mapato.
Safari hii tumewakilishwa na mkuu wa nchi. Je, ndio kusema taasisi kubwa kama Imf...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.