Katika kipindi cha Awamu ya Tano ya Mwendazake, Rais Magufuli wananchi tulielezwa nchi yetu ipo kwenye vita vya kiuchumi haswa na nchi zilizoendelea [Mabeberu}. Kwenye ugonjwa wa COVID-19 tulielezwa hivyo, Madini yetu, koroshona hata kwenye uwekezaji pia.
Je vita hii imekwisha lini maana...