Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana mashoga au mabwabwa au mchicha mwiba tena ajabu zaidi vijana hawa wanaonyesha kuwa na maisha makubwa wanaishi kwenye apartment za masaki, osterbay na kigamboni mnajua siri ya hao vijana.?
Kuna wafanyabiashara na viongozi mbalimbali wanawatumia...
Hivi inakuwaje mwanaume mzima kutwa kulialia kwa mwanamke...hii imekaaje wadau kuna mapenzi kweli hapa au mwanaume anataka kamserereko?
Mawazo yenu ni muhimu
Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache
1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
Kuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo ukawa hivyo ulivyo na Great Thinker hapa JamiiForums unambagua Kimatumizi na Kumjali zaidi Mama. Najua...
Onyango Otieno, mwanaharakati mwenye umri wa miaka 35 kutoka Kenya, anasema kwamba wanaume wameshawishika na jamii kuamini kuwa nafasi yao ni juu ya wanawake, lakini kuongezeka kwa ufeministi kumewaacha wanaume wengi wakihisi wamedhoofika au nafasi yao kuchukuliwa na wanawake.
Anaeleza “Wanaume...
Je Unaijua Homoni ya Kiume/Testestrone?
Leo tuzungumze kidogo kuhusu Homoni ya Kiume/ Testestrone. Kwani upungufu wa hivi vichocheo huweza kuleta madhara makubwa sana siyo tu kitandani bali hata kwenye maisha ya kawaida ya mwanaume hata Mwanamke pia, lakini usjali suluhu ipo
Disclaimer: Ujumbe...
Familia nyingi za sasa na walezi wengi wa sasa, wamekuwa ni sehemu ya kusababisha mengi mabaya ya jamii hii ya leo hususani katika malezi na makuzi ya watoto wa kike na wa kiume. Neno kusema hili ni tusi na kuacha kuzungumza ama kumuelekeza mtoto husika imefanya watoto kukutana nayo wenyewe na...
Kijana wa KIUME kuna mambo, unapaswa kuyaepuka maisha yako Yote.
1. Kuishi kwa Mwanamke, au ukweni.
2.Usijenge katika kiwanja Cha ukweni au Cha mwanamke.
3.Usiishi kwa kumtegemea mwanamke kwa chochote.
4.Usioe Mwanamke ambae amekuzidi kwa kila kitu.( Elimu, pesa na Mali.)
5. Usimuoe...
Tunawashutumu watoto wa kiume waliobadili jinsia na kuwa na tabia za kike(mashoga)lakini tunashindwa kutafiti chanzo cha wao kuwa na hiyo hali.
Naamini tukipata muda wa kufanya utafiti asilimia walau 80 ya vijana hawa ni wale waliopelekwa boarding schools utotoni mwao wazazi wakiwa busy na...
No ya watoto wa kiume Tanzania inazidi kupunguza ukiondoa vifo ila hata uzaliwaji wa watoto wa kiume umekuwa mdogo sana na hii kupeleka hata taifa siku za usoni kukosa nguvu kazi ya taifa lenye wanaume shupavu kama wazazi wetu walio tutangulia.
Zipo njia kazaa tunaweza kuzitumia kumpa nafasi...
Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua nafasi zaidi ya asilimia hamsini ya Sura. Nimeweza kutazama kazi za sanaa za uimbaji na kubaini...
Katika jamii yetu ya kitanzania, kwa siku za hivi karibuni kumeibuka janga la taifa.
Nalo si jingine ni janga la upungufu wa nguvu za kiume, NGUVU ZA KIUME NI NINI? huu ni uwezo alionao mwanaume wa kushiriki ipasavyo tendo la ndoa, na kuweza kumpa mimba yule mwandani wake.
HEBU TUANGALIE JE...
Ukweli inatakiwa usemwe wazi kwamba leo hii jamii imesahau kabisa kuhusu mtoto wakiume ikiamini anaweza kujipambania bila hata ya kupata msaada kutoka kwa jamii inayo mzunguka.
Ni wazi kwamba Taifa lijiandae kupambana na kumuinua kijana wa kiume ifikapo 2030+
Kwasababu leo hii jamiii yetu...
Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me.
Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne.
Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri.
Mmoja miaka 9 (std.4) na mwingine miaka 7( std.2). Nilichelewa...
Viatu ni vizuri na imara sana.
Bei: 12,000 tu
Napatikana Dsm Segerea mwisho.
Ukihitaji huduma ya delivery utaletewa kwa gharama zako.
Mikoani pia utatumiwa kwa gharama zako.
Mashabiki wengi wa ngumi pamoja na mabondia mbalimbali wa ngumi duniani wameshtushwa baada ya kuona maandalizi ya pambano kati ya mwanadada Claressa Shields pamoja na bondia wa kiume Ryan Garcia .
Ryan Garcia tangu amtandike kiroho mbaya bondia Devin Haney amekuwa na mapepe sana mpaka imekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.