kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Kwanini Watangazaji wengi wa Kiume wa Redio nchini Ukiwasikiliza haraka sana utawagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao?

    Kuna Kipindi fulani cha Redio nakisikiliza sasa nz na nikimsikiliza Kiumakini Mtangazaji na Mmoja wa Mchambuzi haraka sana nagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao watupu. Wazazi tukomae mno na Watoto wetu wa Kiume na tukiwagundua tokea Udogoni wana Dalili za Nusu Wanaume na Nusu Wao basi haraka...
  2. Balqior

    Kuna vijana wengi wa kiume in their late 20's wenye mwonekano smart, kazi nzuri, kipato, gari, lakini hawajaoa

    Hi, Humu jf na nairaland vijana wengi tunasema hatujaoa coz hatuna hela, tunajitafta tupate hela ndo tuoe. Cha kushangaza kuna hii kitu nimeona haswa haswa sehemu ninayofanyia kazi, kijana wa kiume unakuta ana cheo, tena head wa department ya kampuni kubwa, kazi nzuri, wese la kuweka mafuta...
  3. Pdidy

    Kwanini vijana wameathirika sana na upungufu wa nguvu za kiume?

    Hili ni janga la kitaifa yaani ukienda makanisan vijana wenye nguvu wanaomba waombewe kurudisha nguvu za kiume. Huko Ugangan ndio usiseme Sijapita mahospitalini usiseme NINI kimewaharibu vijana wetu n vyakula ama kurogwa? Mungu atusaidie Tulizoea kuona wazee wakiteseka na haya magonjwa nw...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Nimemaliza mwaka huu kwa Kupata Mtoto wa kiume; huu ni Muhtasari wa Safari tangu mwezi Februari mwaka huu

    NIMEMALIZA MWAKA HUU KWA KUPATA MTOTO WA KIUME; HUU NI MUHTASARI WA SAFARI TANGU MWEZI FEBRUARI MWAKA HUU. Anàandika, Robert Heriel Shahidi Andiko hili liwe tumaini kwa waliokata tamaa. Liwe faraja kwa wasio na mfariji. Liwe funzo kwa wenye kupenda ufahamu. Basi nikasema, hili nalo nitaandika...
  5. sky soldier

    Sijawahi kuwaamini marafiki wa kiume wa mwanamke. Aliejifanya ni rafiki wa ex wangu alikuwa ananichukia nami nilifanya maksudi kufumua mshono

    KAMA NI RAFIKI KWA NINI UWAONEE WIVU WANAUME WENZAKO WANAO DATE NAE? Ni mwaka 2016 niliweza kuwa na mahusiano na binti flani wa chuoni , sasa katika kumchunguza ndani ya siku 2 tu nikaona ana ukaribu sana na jamaa flani ila akaniambia wao ni marafiki, na kweli kwa observation yangu niliona...
  6. D

    Kila la kheri Taifa Stars katika mchezo wa Niger vs Tanzania

    Sina shaka na mechi ya leo, kwani historia inatubeba! Tumekutana na Niger mara mbili na tumeshinda mechi moja na droo mechi moja! Kwa kikosi tulichonacho Stars leo lazima tuwatembezee kichapo hawa Niger. Tayari Sokabet Nao washafanya yao huko! Ushindwe wewe tu kupiga mkwanja! Wanacheza, Unashinda!
  7. R

    Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali

    Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali. "Kuhusu ule mtandao nimejua kupitia walewale ambao wamo kwenye mtandao na kuanza kuwakamata watuhumiwa. Simu zao ndio zikawa zinatuonesha nini kipo na wao wenyewe wakawa wanatueleza nani dalali...
  8. GENTAMYCINE

    Kama Timu za Tanzania Kufa Kiume Mashindano ya CAF ni Sifa basi tuwaombe CAF waandae Shindano la WAFAO KIUME CUP tulibebe

    Kauli yangu ni moja tu na tena ni Takatifu kabisa kuwa HATUMO na TUMESHATOLEWA rasmi Mashindanoni hivyo hizo Kauli zenu za Kinafiki na Kipuuzi za Timu zetu KUFA KIUME msiwe mnazisema mbele yangu nisije Kumzabua Mtu Makofi bure sawa?
  9. mkadiriaji majenzi

    Kijana wa Kiume kufanyiwa Graduation kubwa hadi kukodisha ukumbi

    Nimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo. Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man Utd kama hakuna kilichotokea.
  10. James Hadley Chase

    TUONGEE KIUME: Mwanaume fanya yote ila usisahau kuupa mwili pole

    Kondakta wa daladala Dar es Salaam huamka saa kumi alfajiri na kukutana na dereva wake sehemu wanapolaza gari lao. Mpaka wakitoka hapo kuingia barabarani kuanza kazi huwa saa kumi na moja imeshafika. Wanaanza kupiga mzigo, kufanya kazi mwanzo mwisho, kama unavyofahamu, majukumu ya konda wa...
  11. The Assassin

    Double Standards za wanawake kwa waume zao dhidi ya ndugu zao wa kiume kama vile kaka zao

    Wanawake ni viumbe wa kustaajabisha sana. Nakupa mifano michache kuonesha jinsi wanawake wanakuwa na double Standards kwa jambo moja lile lile dhidi waume ama wapenzi wao na ndugu zao wa kiume kama vile kaka zao. 1. Wanawake wako tayari na wanafurahia sana kuona kaka ama ndugu zao wa kiume...
  12. bongo dili

    Kipi nafuu kuishiwa pesa au nguvu za kiume

    Hivi vitu viwili ni silaha kuu kwa mwanaume ili kuwini upande wa pili. Mwanamke anaweza vumilia mwanaume asiye na nguvu na Sio asiye na pesa.
  13. D

    Hospitali kwa ajili ya matatizo ya nguvu za kiume

    Naomba kupata muongozo, ni spitali gani naweza kwenda hapa Dar kwa ajili kuanza taratibu za tiba kwa ajili ya tatizo la nguvu za kiume.
  14. Gol D Roger

    Utashi wa kifikra wa vijana wengi wa kiume unazidi kupungua kwa kuendekeza kuangalia video/picha za ngono

    Utafiti wa BBC unasema asilimia 37% ya internet search history zinahusiana na haya mambo na asilimia 35% ya downloads zote kwenye internet zinahusiana na haya mambo, vilevile asilimia kubwa ya watu wanao-search haya mambo ni wanaume tukiwa na asilimia 80% na wanawake asilimia 20% Tasfiri yake...
  15. R

    Mzazi peleka jicho lako hapa: Watoto wa kiume na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa wasichana wa kazi

    Wakuu, Watoto ni moja ya kundi ambalo linapitia sana unyanyasaji wa kijinsia hasa kwa kuwa hawawezi kujitetea kutokana na udogo wao. Kwenye upande huu majumbani, wazazi/walezi huwa macho hasa wakiwa na mfanyakazi wa kiume, mfanyakazi akiwa wakike kunakuwa na ka uaminifu kuwa hawezi kuwafanyia...
  16. Mshana Jr

    Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa ikiwa ni kuogopa kusalitiwa lakini pia kuna la uchoyo na kukwepa majukumu ila haya hawayasemi kwa...
  17. Money Penny

    Kumbe ni mchawi amechukua nguvu zangu za kiume kuendeshea ungo usiku...

    Kuna mwamba hapa amekamatwa, ni mchawi Anasema kuwa yeye hutumia mguu WA kiume kuendeshea ndege yake ya usiku ya ungo kwenda kuwanga Dah ila wanaume jamaan poleni Sana Mnalia Lia hamna nguvu za kiume kumbe mchawi anazitumia kuendeshea ndege yake usiku kama usukani, kusafiri kwenda ulaya So...
  18. Salahan

    Biashara Saa za Kiume

    PACK 1 Business Watches Bei Ya China Bila Usafiri 14000 kwa saa moja Makadirio Usafiri kwa meli 500-1000 kila moja (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pisi 20 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 500 kila saa...
  19. Salahan

    Biashara ya viatu vya watoto wa kiume

    Bei Ya China Bila Usafiri 3500 kwa pea Size 20-33 Pack 1 Makadirio Usafiri kwa meli 1000-2000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 300 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 200 kila pea...
  20. Replica

    Citizen: Shisha na 'e-ciggarates' zinasababisha upungufu nguvu za kiume & changammoto ya uzazi kwa wanawake

    Uvutaji wa shisha umekuwa kawaida nchini siku za karibuni na kukua kiasi kwamba wengine wameamua kuwa na shisha majumbani mwao. Pia siku hizi kuna sigara za kielektroniki, inatumia battery na inaunguza kimiminika kinachojumuisha nikotin, flavours na uraibu mwingine kuwa moshi ili mtu kuweza...
Back
Top Bottom