Ukosefu wa nguvu za kiume (Erectile dysfunction) ni kutokuwa na uwezo wa kufikia au kudumisha kilele cha uume kinachofaa kuridhisha wakati wa kujamiiana.
Mara nyingi nguvu za kiume zinahusiana na matatizo ya mishipa ya damu, mfumo wa neva, hali ya kisaikolojia, na matatizo ya vichocheo...