kivuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Ina maana gani kufuatwa na kivuli cha marehemu?

    Je, unapo ambiwa kivuli cha marehemu kina kufuata huwa inamaanisha nini?
  2. E

    SoC03 Kipi kinaizuia Serikali kunitangaza kuwa binadamu kivuli?

    Ni saa tatu za asubuhi, nikiwa nafua nguo nje ya nyumba yangu. Nashitushwa na ujio wa ghafla wa askari mgambo wanne wenye nyuso za shari shari wakiwa wameambatana na mwenyekiti wa mtaa. Japokuwa mimi ni kiziwi. Askari mgambo hawa wanalazimisha kuzungumza na mimi kwa amri tu kama vile wanaongea...
  3. Loimata

    Mti mzuri wa kivuli usiochafua na majani

    Habari zenu wakuu. Naomba msaada wa kuelezwa mti mzuri unaoleta kivuli lakini usio chafua mazingira kwa majani/vitunda. Kwa sasa tuna hiyo miti pichani,ina kivuli na inaleta hewa nzuri ila tunataka tuikate tupande mingine maana hii kwanza inapendwa na popo ambao huharibu mazingira kwa kinyesi...
  4. N

    SoC03 Kivuli cha mtoto wa kike kinavyoathiri malezi na ndoto za mtoto wa kiume

    Na Norberth Saimoni Chanzo:NSPCC Usawa wa kijinsia ni agenda ya nchi nyingi ulimwenguni ambayo inajumuisha hatua na jitihada mbalimbali zinazolenga kuhakikisha kunakuwa na ulinganifu baina ya mwanaume na mwanamke katika nyanja zote kijamii,kisiasa,kiuchumi na kitamaduni. Jitihada hizi...
  5. S

    Simba Kujificha Kwenye kivuli cha Wydad ni Udhaifu

    Mashabiki wa Simba kujipa moyo baada ya kuona leo Wydad amemtoa Mamelod Sundowns huku mkiwacheka Yanga kumtoa Marumo aliyeshuka Daraja haibadilishi maana ya Yanga kucheza fainali, tengenezeni timu msimu ujao msije na kisingizio chochote.msimu wapili huu hamna ubingwa wa maana muliopata zaidi ya...
  6. ACT Wazalendo

    Hotuba ya Waziri Kivuli wa Madini - ACT Wazalendo, Ndugu Francis Mkosamali

    HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA MADINI-ACT WAZALENDO NDG. EDGAR FRANCIS MKOSAMALI KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24. Utangulizi. Katika mwendelezo wa kufuatilia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiendelea kupitia, kujadili na kuidhinisha bajeti...
  7. Deogratias Mutungi

    Msitumie kivuli cha Rais kuficha udhaifu wenu, Bebeni msalaba wenyewe

    Salaam waungwana wa Jamii forum Baada ya ripoti ya CAG kubainisha madudu kwenye Wizara na taasisi mbalimbali za kiserikali, ikiwemo ubadhirifu wa mabilioni ya walipa Kodi maskini wa nchi hii, sasa ni dhahiri wapigaji wanaanza kutumia neno Rais kama taasisi kuhalalisha uhuni na ufisadi huu...
  8. F

    Nani anahitaji mapokezi makubwa ya heshima, ni Rais Samia ambaye siku zote anapambana kujenga uchumi au Tundu Lissu anayekirudia kivuli chake?

    Ni swali tu ndugu zangu ambalo limekuwa likininitatanisha sana na leo nimeona nishiriki nanyi kulijadili. Nimeona Tundu Lissu akiomba watu wakahudhurie mkutano wa hadhara uliotishwa na chama chake, ni jambo jema kama kiongozi wa kisiasa. Pia, nimeona watu wakihimizana wakampokee Lissu akitua...
  9. Pang Fung Mi

    Tusimhukumu Waziri Mkuu Majaliwa kwa Kivuli cha Magufuli

    Habari zenu. Hakuna kitu kibaya kama unafiki, viongozi wengi nchi hii hufanya kazi kwa maelekezo, na kufuata namna ya kumuiga boss wake au kanuni za boss, hata Rais Hassan angekuwa waziri katika Serikali ya Magufuli tungemuona kwa taswira tofauti. Wivu na husda za kijinga na kipumbavu ndio...
  10. Notorious thug

    Abdul Sopu anavyojitoa kwenye kivuli cha Victor Akpan

    Baada ya kufanya vyema pale Coastal Union Abdul Sopu na Victor Akpan walikua "keki moto" kwenye dirisha la usajili wote wakiwaniwa na timu tatu kubwa Tanzania ila Simba ikafanikiwa kumpata Akpan huku Sopu akienda Azam Fc kwa dau linalokadiriwa kua M100. Baada ya kusajili usajili uliokua...
  11. P

    Kivuli cha Hayati Magufuli kinataka kumtingisha Rais Samia

    Ni lazima nikiri wazi kabisa, mimi nilikuwa ni mmoja wa wanaomuunga mkono JPM kwa muda wote aliokaa madarakani. Sikuficha kuunga kwangu mkono, nilisimama nae muda wote. Bahati mbaya Binadamu siku zake chini ya jua huwa zina mwisho hata afanye mema mengi kiasi gani. Kipindi chote cha msiba wa...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wahalifu wengi wakubwa duniani hujificha kwenye kivuli cha dini na siasa

    Halafu wengi wakubwa hujificha kwenye kivuli cha eidha dini ama siasa, na wahalifu wengine konki hujificha kotekote. Hufanya hivyo hivyo ili kuuhadaa umma usihangaike na kuuchunguza upande wao wa pili wa shilingi. Pia kwa kufanya hivyo huwapa ukaribu wa kukutana na viongozi mbalimbali wa...
  13. Wimbo

    Kivuli cha Hayati Mwalimu Nyerere kinawatisha

    Shida ya watanzania kupewa Katiba Mpya ni hofu ya kuuvunja Muungano wa Nyerere ambao kimsingi Muungano huo haupo kila Rais ajaye anaogopa kivuli cha Nyerere. Na kwa sababu hiyo Tanzania inarudishwa nyuma. Sikutegemea kama aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba naye angeona kuwa si wakati...
  14. ACT Wazalendo

    Waziri Kivuli Ester Thomas: Maji ni Mtego wa Umasikini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
  15. ACT Wazalendo

    Waziri Kivuli Ester Thomas: Maji ni Mtego wa Umasikini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
  16. Guselya Ngwandu

    Mnamshambulia Rais Samia kwa kivuli cha January Makamba

    Halafu kinachonisikitisha ni namna mnavyotumia Ukabila, eti tuonekane Wasukuma na watu wa Kanda ya Ziwa kwa ujumla hatumtaki Rais wetu. Ni nani aliyewaroga ninyi? Juzi hapa Joel Luhaga Mpina katoka hadahrani akiwa amekula maharage, akaanza kuropoka maneno. Anamshambulia Rais Samia na Serikali...
  17. ACT Wazalendo

    Waziri Mkuu Kivuli, Dorothy Semu aja na mbadala wa hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu

    MAELEZO YA NDUGU DOROTHY MANKA SEMU, WAZIRI MKUU KIVULI ACT WAZALENDO KUFUATIA HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO YA KAZI NA MWELEKEO WA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA WA 2022/2023 Ndugu Wanahabari, Mtakumbuka kuwa Bunge linaendelea kujadili mwelekeo...
  18. W

    Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli

    Amani iwe kwenu, Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za Lumumba kwa kuhofia kipigo na fedheha toka kwa wananchi. Naam, kazi kubwa ilifanyika hadi kutafuta...
  19. nyboma

    Dar es Salaam wanawake wengi ni madada poa ila wanajificha kwenye kivuli cha uanafunzi, niligundua hili baada ya kuingia sita kwa sita

    Wanawake wengi wanaojiuza (wasimbe) wanajificha katika kivuli cha uanafunzi, wiki kadhaa zilizopita nilipata dharula nikawa nahitajika Dar es Salaam. Baada ya kumaliza kazi zangu nikaamua kusogea katika moja ya migahawa mikubwa tu hapa katika wilaya ya Kinondoni na ndipo nikabahatika kukaa na...
  20. D

    Ukistajabu ya Odinga kujiapisha kuwa Rais wa Kenya mwaka 2018, utayaona ya Zitto na Baraza Kivuli nje ya Bunge.

    Hiki ni kituko kingine au anaota u-KUB ( Kiongozi wa Upinzani Bungeni). Mhe. Zitto kutangaza Baraza la Mawaziri umetukumbusha tukio la kujiapisha kuwa Rais wa Kenya. Unatangaza Baraza la Mawaziri waiotambuliwa na Bunge au wasiokidhi vingezo la kwani Tanzania kwa sasa hatuna Kambi Rasmi la...
Back
Top Bottom