Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani,Sagini Jumanne ameliagiza jeshi la polisi na msajili wa madhahebu kuchunguza kundi linalodaiwa kutumia dini kutapeli wananchi kijiji cha Mwanza Buriga wilayani Butiama na itakapobainika ni moja ya makanisa yaliyosajiliwa nchini usajili wake utafutwa
Wananchi...
Kama lipo eneo Magufuli aliwa-win wabongo ni kuwaaminisha kwanza Tanzania ni Nchi tajiri huko akitolea mifano akiba ya rasilimali tulizonazo na zaidi akiwaachia uhuru usiyo na mipaka walalahoi kufanya lolote lile wanalotaka huku akitoa amri ya wasifanywe lolote. Rejea machinga.
Sasa,kwa...
Wakuu,hukumu ya DC aliyesimamishwa ndg.kada Ole Sabaya inatangulia mbele ya uporaji na uvunjaji wa sheria unaofanywa na CCM kwenye uchaguzi. Hata akitoka kwa rufaa au msamaha wa rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM bado makusudi na mpango mahsusi upo palepale. Historia...
Lengo ni kuakisi Suala zima la mendeleo ya nchi yetu/wazawa.
Kelele nyingi zinapigwa kua nchi haiendelei Kama zilizotangulia.
Maisha magumu mtaani.
Ukweli ni kwamba
Watanzania tunataka MAENDELEO lakini tunaogopa MABADILIKO. (Fact)
Maana halisi ya heading yangu ni kwamba:
Kuifanya nchi...
Tukubali tukatae Sumu aliyoacha amepandikiza mwendazake ndiyo inayolitafuna taifa kwa Sasa kuhusiana na mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona. Kila mtu anakumbuka jinsi Magufuli alivyokuwaga na ushawishi.
Hivyo Msimamo wake juu ya chanjo ya Korona kabla ya kifo chake umebaki mioyoni na akilini...
Mama Samia
Mke wa Mzee Awadhi Hafidhi kutoka Makundi Zanzibar
Ni mama mpole, mnyenyekevu lakini mvumilivu asiyetaka makuu ni mama mwenye Upendo. (Hapa nitapingwa lakini ndivyo alivyo).
Ni kweli binadamu huwezi kuwa na tabia moja labda uwe Zezeta, hata Zezeta hupiga watu, hutukana watu na muda...
Kwa mda mrefu mjadala wa katiba mpya umekuwa ukitumia pesa nyingi lakini masilahi ya vyama badala ya utaifa kwanza umekuwa kikwazo kupata katiba mpya.
Yupo mzalendo Warioba ambaye akiongezewa wajumbe 19 nayeye wawe 20 tutapata katiba mpya isiyo na mvutano. Kwanza tutakuwa tumeokoa fedha nyingi...
Diamond amejijenga Sana kimziki Hilo halina ubishi, inawezekana kuna mapungufu pia , hata hvyo katengeneza team work yenye nguvu Sana ,....
Kwa sku za hvi karibuni kapigiwa kelele Sana negatively, kelele hzo hazijaathir chochote career ya mshikaj , Sana Sana zimempa hipe kubwa Zaid, .... ...
Kwa muda wote akiwa anafanya muziki wake basi ni lazima jina lake litatajwa sambamba na jina Pepe Kale(Empire Bakuba)....hata kama kwenye wimbo husika hutoisikia sauti ya Pepe Kale.
Nilibaki nikijiuliza ni kwa nini Msanii anayeonekana kuwa na kipaji chote hiki hakutaka kusimama kwa miguu yake...
Habarini wadau.
Leo nimeona nitoe maoni yangu kuhusu watu hawa wanajiita mitume na manabii na masheikh.
Mtu anatumia mafuta, maji, chumvi nk. Wanajiita ni mitume na manabii; je, Biblia inasema hivyo? Ingawa sina rejea ya vifungu moja kwa moja lakin matendo ya Yesu akiwa duniani alifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.