kiwanja

  1. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, kipo Boko Kalifonia

    Wanandugu KIWANJA KIPO SOKONI (40 urefu kwa 22upana) Sifa ya kiwanja 1. Kipo sehemu nzuri, karibu na Barabara ya mtaa ya gari na pikipiki 2. Hakipo mbali na Barabara kuu ya lami yaani itokayo huko BUNJU KWENDA HUKO MWENGE NA MAKUMBUSHO utaona mwenyew ukiwa eneo la tukio au tazama picha chini...
  2. Plot4Sale Tunauza viwanja katika maeneo mbalimbali

    Ukubwa wa kiwanja: 650 Sqm. Eneo: Goba Kulangwa, barabara mpya ya lami ya Kuelekea Madale. Bei: Tshs 25,000,000 (Milioni 25) Kina hati ya wizara. Contact : 0742141467
  3. H

    Kiwanja kinauzwa Mbweni-kizuri mnoo

    Size sqmt 877. Bei 100m, aliye serious mazungumzo yapo. Muhusika anasafiri kwenda Marekani mwezi ujao, so anahitaji mteja kabla hajasafiri. Eneo ni Mbweni JKT, ni pazuri mnoo, njoo mwenyewe ujionee. Umeme upo. Mpangilio wa nyumba ni mzuri sana Eneo lina utulivu na upepo mzuri. Lipo 100m kutoka...
  4. Y

    Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

    Wakuu habari za majukumu, Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
  5. Plot4Sale Kiwanja kiunauzwa Madale

    Kiwanja kiunauzwa kipo madale kina uku wa square meter 520 Tsh 9,000,000 kina barua ya manunuzi kutoka serikali ya mtaa huduma zote za kijamii zipo Tuwasilane 0686995586 karibu sana.
  6. M

    Natafuta kiwanja Kibaha cha Tsh. 1m

    Habari. Kama ambavyo kichwa cha habari kisemavyo hapo juu natafuta kiwanja 25 mita kwa 20 mita nina sh 1m. Eneo Kibaha yote isipokuwa Mlandizi na Bagamoyo. Ni pm
  7. A

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Kipo kibaha kwa Mathias, Squire meter 400. Kipo msangani juhudi,jirani na stend ya bajaji Bei milioni 3
  8. Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
  9. Changamoto ya kiwanja cha ukubwa wa 20*15 ni ipi?

    Nimepata kiwanja size ya 20*15 nauliza changamoto ya hv viwanja ni ipi hasa maeneo ya mjini daslam kama Goba, nataka nichukue kimoja , nijenge gheto karbu na mji niwe nawah Mishe zangu mjini, kupanga spendi
  10. Nauza kiwanja bandari kavu kwala

    Kiwanja kipo karibu na mnada wa mifugo na bandari ya kwala Ukubwa mita 64 x70 Bei milioni 3.5 Contact 0678804442 Eneo ni langu sihitaji dalali
  11. Msaada wa Kisheria kwa Ndugu aliyekataa Kuondoka kwenye Kiwanja Alichopewa Kukaa kwa Muda

    Sheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
  12. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa: Baada ya ujenzi Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga utakuwa wa kisasa

    Salaam, Hatimaye ile ndoto ya siku nyingi ya Uwanja wa ndege sumbawanga uliokuwa hautumiki imetimia. Leo Serikali inayoongozwa na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan imetia saini kuanza kwa ujenzi wa Uwanja. ILIKUWAJE? Awamu ya kwanza ya Upembuzi yakinifu na...
  13. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Morogoro, 760 sqm

    Kiwanja kinauzwa Morogoro mjini. NI Cha makazi na biashara. Bei Ni 6,300,000. 0785367879
  14. Nahitaji kiwanja Mwanza nina laki 8

    Wakuu hivi ni sehemu gani kwa Jiji la Mwanza naweza kupata kiwanja cha laki 8? Nataka nihamie Mwanza
  15. Nauza kiwanja Bunju A, Dar es salaam

    kiwanja kiko Bunju A, Kinondo. Mpakani mwa Madale na Mbopo ukubwa ni hatua 22 kwa 25 dakika 10 kwa Boda kutoka Bunju Shuleni Kimehakikiwa na namba ya uhakiki ipo (hati bado) Kinafikika kwa namna zote: miguu, pikipiki, baisikeli au Gari eneo limejengeka sana 6,500,000Tsh tu za Kitanzania...
  16. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja kipo Chalinze

    Nauza kiwanja changu Chalinze mjini bei milioni mbili na nusu kipo kudiyembe umeme hauitaji jengo nikuvuta waya tu ukubwa wa kiwanja 20*19 mawasiliano 0656660026.
  17. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha, Kwa Mathias

    A plot for sale Kibaha Kwa Mathias. Ukubwa: Mita 20 kwa 20. Umbali: Km 5 Bara bara ya lami. Usafiri piki Piki 1500, bajaji 1000. Umeme na maji ya dawasco yapo. Huduma za kijamii zote zipo. Kipo jirani na shule. Bei milioni tatu na nusu +255766042214
  18. Mwenye kiwanja Dar tubadilishane na pikipiki

    Tubadilishane au nipe hela Chuma hiki hapa 0743257669 lete mil 1 ipo Banana, mikoani tunakutumia. Hakuna utapeli hapa mali halali doc zote zipo, hakuna haja ya service hapa unapiga stata unasepa hata mkoa.
  19. FIFA yazindua uwanja wa Pele Nchini Rwanda. Je, kwa Tanzania kiwanja gani kipewe jina la Pele?

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino amezindua KigaliPeleStadium, wenye uwezo wa kuchukua watu 22,000 kwa heshima ya aliyekuwa nguli wa soka kutoka Brazil Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pelé, aliyefariki Desemba, 2022. Hadi sasa 'Viwanja vya Pele'...
  20. Kiwanja kinauzwa Kisemvule

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa ft 80 kwa ft 50 kinapatikana Mkuranga Kisemvule njia panda ya kibamba bei 2.5ml Kwa mawasiliano 0712150581. Karibu sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…