Habari ya uzima wanajamii forum Kwanza natanguliza shukrani kwa ushauri wowote ntakaopata kutoka kwenu naomba niulize ukinunua nyumba au kiwanja Cha mirathi ni documents gani za msingi za kupatiwa Kama mnunuaji wa nyumba/kiwanja Cha mirathi hiyo.
Nimetanguliza swali hili kutokana na story yangu...
Wataalamu wa ununuzi wa Majengo, viwanja na mali zisizohamishika.
Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kununua nyumba, au kiwanja lakini nisipate matatizo au migogoro, stage 1, mpaka stage ya kuingia kwenye nyumba uliyoinunua!
Nitashukuru kwa hili.
Kiwanja nikizur Sana
Kinauzwa kipo kimara suka
Ukubwa ni mita 20 kwa 22
Kimepimwa na serikali yamtaa bado Hati. Bei milioni 👉 12 maongezi yapo
Usafili upo mwingi tu bajaji Tsh. 700
Pkpk Tsh. 1000
Barabara safi.
📞 📲 call/whatsapp: 0689859495
no cheni namaliza biashara
Kipo Kibaha kwa Mathias karibu na kambi ya jeshi nyumbu mtaa unaitwa mita 50, kimejengwa vyumba viwili na choo. Vyumba vimewekewa umeme tayari, maji pia yamefika maeneo hayo.
Kimepimwa kwa hatua za miguu tu hatua 30 urefu na 10 upana . Pamejengeka tayari, ni eneo lililochangamka.
Bei Milioni 15.
Habar wadau hope wote mpo poa
Maisha magumu lakini elimu pia inasaidia ila yenyewe bila ujanja ni kazi bure ujanja muhimu pia ukiongezea na elimu basi ni full mteremko !!!! nije moja kwa moja kwenye mada naomba ijulikane wazi hapa tunazungumzia bei au thamani ya kiwanja na sio nyaraka utapeli...
Nauza kiwanja Kibaha miembe
Ukubwa mita 54 kwa mita 23
Nimepunguza bei ya awali ilikua Mil.13 sasa nauza kwa Mil.9.5, WhatsApp au kupiga kawaida 0674 223 223.
Kiwanja kinauzwa
Eneo: Kongowe Misugusugu-kibaha
size: 30*20 600square metre
Maji umeme vipo
Nusu kilomita kutoka lami ya Morogoro Road
Hati ya maandikishano ipo
Bei milioni 4.
0744033555
Piga simu
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, natafuta kiwanja cha kujenga nyumba, maeneo ya Arusha isipokuwa nje ya mji kidogo, eneo la wastani tu kama 20x25… bajeti ni milioni tatu 3,000,000/-.
Kiwanja kisiwe mbali sana kutoka barabarani, Nyakati hizi za mvua ndio pendekezwa kujionea hali ya kiwanja...
Ndugu wana JF habari ya majukumu?
Napenda kutoa taarifa juu ya kusudio la kuuza kiwanja namba 10 D-centre Mwangaza lililopo Dodoma mara tu baada ya kukamilisha upatikanaji wa Hati ya eneo hilo ifikapo mwakani mwezi Januari au Februari kwakuwa eneo lilikuwa limetwaliwa na wenye nguvu almaarufu...
Kiwanja hicho kiko kishili fumagila, Mwanza
(kiwanja cha pili kutoka usawa wa barabara kuu ya Kishili-fumagila-bujingwa-mpaka lami ya Usagara)
Fumagila ipo kishili, unafika kwa Tsh elfu 2 tu kwa pikipiki
Miguu kumi kwa kumi tu
Bei laki 4. Dalali nipe 50k
umeme upo tayari
barabara kuu ipo...
Ndugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale Kwa muda, tulipo taka kwenda kujenga akakataa kuwa kile kiwanja ameisha pewa na serikali ya Kijiji...
Nauza kiwanja kiko miembe sana kibaha , karibu na morogoro road , umbali ni kama nusu kilometa Yaani mita 600 hivi toka main road. kiwanja kikubwa mita 55 Kwa 26 . Bei ni 13m
Nina shida ya haraka. Karibuni namba yangu 0674223223 mimi ni mmiliki mwenyewe. Karibuni
Wakuu habari zenu,
Ninauza kiwanja
- Size: Urefu FT 60 upana FT 105
- Kipo Kisemvule mtaa wa Machimbo Kidubwa, maarufu kama viwanja vya Ustadhi.
- Nyaraka nlionayo ni "Offer", kimepimwa na kipo eneo ambalo kuna nyumba nyingi sana zimeshajengwa.
- Umeme unaosambazwa na REA.
- Bei ya...
Kiwanja (20x40) Tsh 6.5M kimekaa Tambarale kabisa, kimezungukwa na makazi ya watu pamoja na huduma zote kijamii
Kiwanja hiki Kipo kiluvya makulunge karibu na zahanati ya makulunge upande wa kulia wa barabara ya kuelekea kwa sumaye, umbali kutoka kwa hiyo barabara mpaka kiwanja kilipo ni dakka3...
Kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi kinauzwa Kinyerezi - Songas mbele kidogo ya mitambo ya kuzisha umeme ya Kinyerezi 1 na Kinyerezi 2.
Kiwanja kipo eneo la kishua (Kwa wale wanaopajua Kinyerezi - Songas basi watakwambia kuwa hii ndio Masaki ya Kinyerezi). Kiwanja kipo kwenye barabara ya lami ya...
Ni kama mita 300 kutoka kiwanda cha Twiga cement wazo hill mkono wa kulia ukiwa unaenda Goba au Madale. Kiwanja kina ukubwa wa Square meters 1000+ bei sh 35m. Maongezi yapo. Mimi ni mwenye mali sitaki mtu wa kati (Dalali). Mawasiliano 0718219523
Kipo Kibaha kwa Mathias.
Ukubwa wa squire meter 600
Milioni 3
Umbali km 5 toka Morogoro road
Barabara nzuri imewekwa lami, bado kidogo ikamilike
Umeme na maji vyote vimefika kwenye kiwanja
0672 893 600
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa - Msalato, Dodoma leo tarehe 30 Oktoba, 2022
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.