kiwanja

  1. Lycaon pictus

    Nini kinatokea hati ya kiwanja inapo expire?

    Nasikia hati ni miaka 33, 66 na 99. Ni kama umekodi kiwanja toka serikalini kwa miaka hiyo. Nini kinafuata baada ya hati kuexpire? Mtu anaweza fika dau serikalini na kukutoa?
  2. M

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Tegeta A

    Kiwanja kinauzwa Tegeta A. Square meter 400. Bei ni shs 15m. Kuna matofali mengi tu kama bonasi. PM au email tajirika@gmail.com. Mhusika mimi kwa hiyo hakuna udalali.
  3. chiembe

    Waziri wa Ardhi kumtaja Spika kwamba anunua kiwanja kilichouzwa na Jiji. Je, anataka kumchafua baada ya spika kutoa uamuzi Bungeni?

    Hivi karibuni Waziri wa Ardhi alimshambulia aliyewahi kuwa Mkurugenzi Manispaa ya Dodoma, sasa ni mbunge, kwamba amesababisha migogoro ya ardhi Dodoma, Mbunge huyo aliomba muongozo wa spika, na spika alimuona Waziri alikosea. Nadhani Waziri hakufurahi, hivi majuzi huko Mwanza, kaenda kutaja...
  4. Iziwari

    House4Rent Nyumba na kiwanja vinauza kwa ajili ya mtu mwenye familia na anaehitaji eneo kubwa Njiro, Arusha

    Kama wewe ni dalali uliobobea unaruhusiwa kushiriki nasi. Hii inakuhusu. Nyumba na kiwanja kikubwa karibu na shule ya renea Njiro inauzwa. Ina kiwanja kinachojitosheleza kuendelea kuijenga au hata kuweka nyumba za kupangisha. Kuna Maji, umeme wa sola, na Nyumba ina vyumba viwili na sebule...
  5. U

    Plot4Sale Nauza kiwanja Mbweni Mwisho

    Habarini wadau, nauza kiwanja kipo Kata ya MAPINGA kijiji cha KIHARAKA mtaa wa SOWETO karibu na kambi ya jeshi MBWENI, huduma za kijamii zote zipo na kimeshapimwa tayar, Ukubwa 25x25..dk10 kutoka Bagamoyo rod bei ni ml9...hakina udalali.. kwa mawasiliano 0672875803
  6. S

    Usinunue kiwanja au shamba lenye mbuyu mkubwa kama huna uwezo wa kukabiliana na changamoto zake

    Habari wadau Ukataji wa mibuyu au miti mikubwa umekuwa ikiambatana na changamoto nyingi sana kwa wamiliki na hata kwetu mafundi! Ushauri huu tunautoa kwenu tukitambulika kama (SAMICO) ambao ni jopo la mafundi wazoefu katika sekita ya ujenzi, Umeme na gesi asilia! Unaweza kutufuatilia katika...
  7. Nyuki Mdogo

    Plot4Sale Njoo nikuuzie kiwanja Mbweni, DSM 625sqm

    KIWANJA KINAUZWA, MBWENI DARE SALAAM SIZE: 25m*25m dakika 5 kutoka Bagamoyo Road Miundombinu yote ipo na kumeshajengeka sana Bei 8.million (milioni 8 tu za kitanzania) Mawasiliano 0713096076
  8. B

    Tafuta nyumba au kiwanja kipindi cha mvua

    Ukitaka kujua ubora wa eneo unalofikiria kuhamia kwa kujenga makazi au kupanga tafuta eneo hilo wakati wa kipindi cha mvua. Itakusaidia kujua miundombinu kama inapitika au haipitiki. Kipindi cha ukame huwezi kujua na muda huo madalali hupata nafasi ya kuwachomekea wateja maeneo mabovu.
  9. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja Kibamba shule

    Nauza kiwanja Kibamba shule, karibu na Hondogo sekondari ukubwa wa eneo 35m x 15m liko vizuri sana bei 10,000,000 mawasiliano 0787503677 or 0656403680
  10. Mdigokhan

    Nataka kumiliki kiwanja ila kipato changu ni cha kwa siku...

    Khabari zenu ndugu zangu. Naomba mnipe mawazo katika Hili. Mimi ni kijana miaka 28 hivi, kipato changu sh 30k kwa siku but nikifanya matumizi yangu katika familia Yaweza baki 10 au 15 inategemea na siku. Nataka kununua kiwanja nina mawazo na kiwanja huu ni mwaka sasa kinanitia mawazo. Nawaza...
  11. Nyuki Mdogo

    Plot4Sale Kiwanja jijini Mwanza kwa laki 6 tu

    Kiwanja Fumagila Kishili Jijini Mwanza Bei: Laki 6 tu punguzo hakuna Size: hatua 18 kwa 16 za miguu Mawasiliano: 0713096076 Kiko karibu na barabara kuu ya Kishili-Nyanama-Fumagila-Bujingwa Huduma za kijamii zote zipo senta ya nyanama Mawe, mchanga simenti nondo vyote vipo senta ya karibu...
  12. A

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha Mlandizi

    Kiwanja kipo kibaha mlandizi. Ukubwa 20 Kwa 20 Bei ni milioni mbili. Kimepimwa tayari,mawe yapo. Km Moja na nusu toka morogoro road 0629075172
  13. Nyuki Mdogo

    Plot4Sale Igoma-Mwanza: Kiwanja kinauzwa

    Info: kiwanja kipo Igoma, mtaa wa Kilimo A. 0713096076 Umeme upo karibu na Beacon Size ni hatua 35 kwa 25 za mtu mzima (sijapima Kwa mita tafadhali) Beacon zimewekwa na kishapimwa zamani sana. Maji Yapo unavuta mita chache kutoka kwa Jirani. Barabara ipo kinaingilika vizuri hakijabanwa na...
  14. I

    Kiwanja kinauzwa

    Kipo ubungo riverside eneo la makoka, kipo karibu na barabara kubwa na kimejengwa mabanda mawili ya wapangaji yenye vyumba viwili viwili,,kinafaa pia kujenga flemu za biashara. Mwenye uhitaji DM tafadhari kwa maelekezo zaidi
  15. Sky Eclat

    Mnaonunua viwanja kama uwezo upo nunua kiwanja kinachotosha nyumba ya pili ndogo

    Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo. Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi. Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza...
  16. Q

    Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

    Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni. Hoja ilipitishwa na Baraza Kuu. Jengo hili litakuwa na kumbi za mikutano, ofisi za kurugenzi, ofisi za viongozi wakuu, swimming pool, Heliport (kutua helcopter), lactation room (chumba cha kunyonyeshea) na mengine...
  17. amu

    Plot4Sale Kiwanja minauzwa Kinyerezi kwa Ditopile

    KIWANJA KINAUZWA UKUBWA MITA 28 KWA 18 TAMBALALE LOCATION: KINYEREZI KWA DITOPILE. MWENYEWE NDIO ANAEUZA. MAUZIANO NI SERIKALI YA MTAA. UKIHITAJI WASILIANA 0620593714 Bei Million 9
  18. Boss la DP World

    Nataka Kununua Kiwanja Zanzibar

    Nimemuuzia Mpemba mmoja Kiwanja hapa Kihonda Morogoro, hakuna kikwazo chochote alichopata kipindi cha kubadili umiliki wa kiwanja toka kwangu kwenda kwake. Sasa nataka namimi niende Unguja nikanunue kiwanja kwaajili ya makazi na biashara... Naamini sitakutana na kikwazo chochote maana hii ni...
  19. dracular

    Kiwanja cha ukubwa wa miguu 20 kwa 20 je kinatosha kwa plan hii?

    Wakuu habarini za majukumu? Kama kichwa cha habari kinavosema je, kwa ukubwa wa kiwanja hicho naweza jenga nyumba ya vyumba vinne kimoja masta public toilet pamoja na store kisha nikapata nafasi ya kuchimba kisima kirefu pamoja na parking? Naomba kuwasilisha kwenu 🙏
Back
Top Bottom