kiwanja

  1. A

    Kutapeliwa kiwanja

    Habarini wana JamiiForums, Miezi mi tatu iliyopita nilinunua kiwanja maeneo ya Bunju kutoka kwa mzee mmoja aliyekua anakata viwanja kutoka kwenye shamba lake kubwa na kuviuza vipande vipande kwa watu,sasa tatizo lililo nikuta mwezi ulipita nilienda ofisi za watu ardhi (survayers)ili wanipe...
  2. Aliko Musa

    Mambo matatu (3) ya kuzingatia kabla na wakati wa kumiliki nyumba au kiwanja cha kwanza kwa ajili ya kujenga utajiri

    Kama ulinunua kwa makosa ardhi au nyumba zako, unahitaji kusoma makala hii. Kama una mpango wa kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama hujui ni nini hasa cha kuandaa kabla ya kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama una nyumba yoyote ya kukuingizia kipato...
  3. Mtego wa Noti

    Plot4Sale Kiwanja kiko Goba Sqm 940 kwa 18 milion

    Kiwanja kikubwa cha mita za mraba 940 na kimepimwa kiko Goba wilaya ya Ubungo umbali wa kilomita 2 kutoka Goba senta. Kiwanja ni mali yangu mwenyewe hivyo hapa hakuna udalali, nifate inbox tuyajenge moja kwa moja upate kiwanja kwa bei nafuu. Karibu sana
  4. K

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbopo Madale

    Kiwanja kinapatikana eneo la mbopo-madale ndani ya wilaya ya kinondoni mkoa wa Dar es Salaam. Kiwanja hakijapimwa,ila kina hati ya mauziano kutoka serikali za mitaa. Kiwanja kiko eneo zuri lililojengeka na linalofaa kwa makazi. Kiwanja kimezungukwa na huduma muhimu kama maji,umeme,shule na...
  5. S

    Utaratibu wa kumuwekea mtu dhamana kwa kutumia Mali(mfano hati ya kiwanja), mahakamani ukoje?

    Nachofahamu ni watu kuweka fedha mahakamani katika kumdhamini mtu ila kuhusu mali ndio sina uelewa inakujaje? Kwa mfano, unaweza kuweka kitu kama hati ya kiwanja badala ya fedha katika kumdhamini mtu? Kwa maneno mengine, hati ya kiwanja inaweza kutumika kumdhamini mtu mahakamani na hufanyika...
  6. Northern Lights

    Nizingatie nini napotaka kununua kiwanja kutoka kwenye kampuni ya kuuza viwanja?

    Kuna kampuni inaitwa noble real estate wanuza viwanja madale kwa sh 40,000 kwa square meter, nataka kiwanja cha 800sqm ambapo jumla ni 32M, ukizingatia ni pesa nyingi na ni saving yangu na mikopo. Nataka kujua ni vitu gani vya kuzingatia ili nisiishie kulia maana hapa mjini hapaaminiki siku...
  7. Inevitable

    Plot4Sale Nina 180,000,000. Natafuta kiwanja kilichopimwa (Surveyed plot) jijini Dar

    Wakuu, Niliandika hapa Novemba 2020 (ref Natafuta Kiwanja cha kujenga jijini Dar. Nina Sh. Milioni 40 ) nikitafuta kiwanja na wakati huo nilikuwa na 40m tu. Viwanja vingi nilivyopelekwa ilibidi nirudi kujipinda nitafute pesa zaidi ili nipate kiwanja ninachotaka hasa. Kwa sasa bajeti yangu ni...
  8. N

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kimbiji golani 4mil

    Habari wana JF, Nina kiwanja changu nakiuza 4mil kipo Kigamboni kimbiji golani eneo la kidagaa kina hati toka ardhi 600sq ni km 35 kutoka Kigamboni Ferry .. Kwa mawasiliano zaidi piga 0657940974
  9. Mlolongo

    Nina milioni tano, naweza pata kiwanja upande huu wa Dar es Salaam?

    Mfukoni (actually ni kwenye account ya TigoPesa) nina milioni tano taslimu. Natafuta kiwanja upande wa kuanzia Ubungo kwenda Goba, Salasala, Tegeta, Madale, hadi Bunju. Lakin pia Ubungo kwenda Kimara pande zote, Mbezi huko msakuzi, hadi Kibamba, Kiluvya. Kifupi tu nalenga maeneo ambayo ni...
  10. May Day

    Ni nini kitatokea iwapo nitashindwa kumaliza kulipia Kiwanja?

    Kwa miaka ya karibuni kumeibuka Kampuni kadhaa zinazojihusisha na uuzaji wa Viwanja kwa njia ambayo wanamruhusu Mnunuaji kulipia kwa awamu au kidogokidogo. Wengi watakwambia ulipe kiasi fulani mwanzo kisha utaendelea kulipia kiwango kilichobaki ndani ya miezi sita au mwaka au kwa makubaliano...
  11. M

    Plot4Sale Kiwanja mita 400 kutoka eneo la chuo kinauzwa Mwanza

    Hiki ni kiwanja cha kujenga Hostel za wanafunzi kinauzwa. UKUBWA 1. UREFU 28 2. UPANA 25 Kiwanja kipo Mwanza maeneo ya kisesa karibu sana na Chuo kikuu cha Mipango na Maendeleo vijijini-MWANZA. NB: Mawe yapo around hautahtajika kutafuta gari kwa ajili ya kazi hiyo BEI TSH. 3,300,000/=...
  12. Ramon Abbas

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa - Igoma jijini Mwanza

    Kiwanja kinauzwa Igoma mwanza. size ni 30*25 ft kipo mtaa wa kilimo A, Igoma jijini Mwanza. Umeme upo kiwanjani, maji yapo hapo pia. Kiwanja ni kizuri sana njoo uone kwa macho. Bei 6 million mawasiliano 0713096076 0713096076
  13. B

    Natafuta kiwanja Kinyerezi ukubwa kiwe 30x25

    Wakuu natafuta kiwanja maeneo ya Kinyerezi kilichopimwa kwa size ya 30 kwa 25, bajeti yangu haizidi 10mil naomba mwenye kujua tuwasiliane
  14. Ramon Abbas

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Igoma Mwanza

    Kiwanja kinauzwa IGOMA mtaa wa kilimo msikitini SIZE YAKE NI HATUA 33*33 Kimepimwa (beacon zimewekwa) Maji, umeme, barabara vipo tena uhakika muda wote. kutoka kiwanjani kwenda igoma senta dakika 5-10 tu kwa pikipiki/gari. kwenda machinjioni/kijereshi ni dakika 3-5 kwa boda. BEI NI 15 mil...
  15. Mersen

    Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

    Kiwanja kipo eneo la Nzuguni centre kabisa kwa wasiokufahamu ni Karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani na soko kuu la ndugai . Kiwanja ni kwa ajili ya matumizi ya taasisi za kidini, shule na matumizi mengine. Kiwanja kina hati kabisa na hakidaiwi ukubwa ni HECTARES 3.1 kama inavoonekana...
  16. F

    Wapi naweza pata mkopo kwa kutumia hati ya kiwanja?

    Habarini wakuu. Nina hati ya kiwanja, ninashida ya mkopo kama mil 2-3. Wapi naweza pata mkopo kutumia hati nimejaribu benki kama 2 hivi nimekosa.
  17. E

    Plot4Sale Nauza kiwanja Fukayose

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa ekari 1 maeneo ya Fukayose. Kama unahitaji ni PM
  18. AVO28

    Naomba Ushauri Wenu Wajuzi Wa Sheria Au Waliowahi Pitia Ishu kama hii

    Salaam Wakuu. Naomba ushauri kwa wajuzi wa sheria au hata wasio wajuzi wa sheria lakini wamepitia ishu kama yangu. Kufupisha Stori, Nilinunua Viwanja viwili maeneo ya tabata, viwanja hivi vipo kwenye eneo la sqm 6000+ (Lina hati ) mimi nimenunua maeneo mawili ndani ya eneo hilo kubwa, na...
  19. Ramon Abbas

    Plot4Sale Karibu Galilaya nikuuzie kiwanja. 10Kms from Mwanza city centre

    Karibu sana Kiwanja kiko Jijini Mwanza. Kata: Muhandu wilaya: Nyamagana mtaa: Galilaya kiwanja kimepimwa, beacon tayari zishawekwa ukubwa wake ni 28 by 18 hatua za miguu. Miundombinu yote ipo kiwanjani. Kiko Barabarani kabisa. Bei ni 10million Tshs karibu tuwasiliane 0713096076
Back
Top Bottom