Nauza eneo (ekari moja) Milioni 12 ,Ila naweza kukata viwanja vya 35*35 kwa 3 milioni . Kiwanja kipo lingato kigamboni. Kama unatoka ferry kwenda kongowe kituo Ni fundi baiskeli halafu unachukua boda. Au Kama unaenda mwasonga Ni nyuma ya kiwanja Cha oilcom. (Price is negotiable)
Piga 0686798081...
Kiwanja kinauzwa Mwanza karibu na Dolphin Lodge.
Note: hizi picha ni za zamani kidogo sasa hivi majirani wamejenga.
Kwa mawasiliano zaidi pamoja na kuuliza maswali ili kujiridhisha piga simu namba 0753155934
Kiwanja kinauzwa kiko mita 200 kutoka kituo cha kona ya maroroni maji ya chai barabara kuu ya moshi arusha
ukubwa ni mita 30 kwa 15
kinaumiliki halali kiwanja kimezungukwa na maeneo yaliyojengeka makazi mazuri maji na umeme vipo barabara pana na mandhari nzuri ya kilimanjaro na meru
bei ni...
Habari za leo wana JF.
Ninauza kiwanja changu ambacho kipo Chanika Zingiziwa. Kina hati ya serikali ya mtaa. Kina ukubwa wa sqm 406. Kipo eneo la tambarare, udongo wake ni kichanga.
Ni sehemu iliyozungukwa na makazi ya watu. Kipo karibu na Zahanati ya Zingiziwa. Bei ni milioni nne na laki...
Salaam wadau. Ninatafuta kiwanja lililopimwa kwenye mradi wa viwanja 20,000 eneo la Bunju au Mbweni.
Ukubwa wa kiwanja kiwe si chini ya sqm 1,500. Kama unacho tafadhali tuwasiliane hapa au PM.
Tafadhali uje na bei kabisa.
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa mita 25 kwa 20 kilichopo Mabwe Pande karibu na mto Mpiji kwa Tsh 5M. Umeme upo tayari kiwanjani na pia Kiwanja hiki hakijapimwa. Nipigie 0736770052
Habari Wana JF,
Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4
Vigezo;
Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
Habarini wana jamvi,Nina shida kuhusiana na kichwa cha habari husika hapo juu.
Iko hivi Miezi 6 iliyo pita nilinunua kiwanja cha makazi maeneo ya Kinyerezi Dar es Salaam, Baada ya kua nimeonyeshwa mipaka ya eneo na michoro ya kiwanja katika ramani ya mipango miji na mhusika wiki...
Mahali: Iringa mjini, kata ya nduli Hadhi: Hakijapimwa.
Ukubwa: hatua 27*30
Nyaraka: Hati ya mauziano toka ofisi ya kata
Bei: 3.5 milioni
Mawasiliano: 0627089049
Kiwanja kipo katika mtaa wa Mapanda Umbali wa mita 400 toka barabara kuu ya Iringa-Dodoma.
Kiwanja kinauzwa Buhongwa mwanza mita 800 tu kutoka stendi ya daladala buhongwa.
Ukubwa ni Squaremeter 1200
Kiwanja ni tambalale na kipo barabarani kabisa, eneo limeendelea kwa makazi ya watu.... Huduma za umeme na maji zimefika.
Bei Tsh. 18,000,000. Hakina udalali ongea na mwenye nyumba...
Kiwanja kinauzwa. (HAKINA UDALALI)
Mahali: Bagamoyo vijijini
Kijiji cha WAMI STATION (MATIPWILI)
Ukubwa: Robo heka na ni TAMBARARE
Kipo kando ya barabara itakayojengwa ya EAST AFRICA.
Huduma za kijamii zote zinapatikana.
Usafiri ni wa Gari na Reli.
Umbali ni 40km kutoka Barabara kuu...
Wakuu kwema ..nahitaji mkopo wa Million mbili nina kiwanja kipo kisongo naweka kama bondi nimekwama sehemu hivyo nahitaji hiyo pesa.
Kwa mwenye nia anisaidie kupata hiyo pesa then ndani ya miezi miwili kuanzia mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nitarudisha.
Asante ni kila kitu kipo...
Sio tu Tanzania, ni kanisa la kwanza Afrika Mashariki.
HOLY GHOST CHURCH
KANISA KATOLIKI
BAGAMOYO, TANZANIA
LILIJENGWA 1872
Wakiongozwa na Sultan Majidd binafsi, Waislamu wa Bagamoyo waliwagawia kiwanja Wakristo wajenga kanisa mwaka 1868. Lilijengwa na wamishenari wa Kifaransa na kukamilika...
Naomba watu wamvuti mnipe uzoefu pakoje, je pamejengeka kama Chanika?
Je bado ni mashambani? Je kiwanja naweza kukitumiaje kibiashara kabla ya kujenga?
Ukijenga nyumba ya kupangisha inalipa Nimepata uwanja bado sijaenda kuuona.
Alienda ndugu yangu kukabidhiwa. Bado naona kama mbali...
kwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu, nimehangaika kutafuta nafasi jkt miaka 8 mfululizo bila mafanikio, nimehangaika kutafuta nafasi za polisi...
Kiwanja kina nyumba yenye vyumba viwili na sebure kimoja ni master.
- Kiwanja ni 624m2
Kuna maji hapo hapo (ya uhakika) na umeme(wa uhakika)
Dk2 bara bara ya lami
- frem ya biashara moja
Nyumba yenye vyumba viwili sebure chumba kimoja ni master
Mahali MAGU MJINI
BEI NON NEGOTIABLE 6.8mil
-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.