Habari wanajf kiwanja kinauzwa maeneo ya chanika nguvu kazi,upande ule wa pili wa hospital karibu na mjasiriamali (mfugaji wa kuku)
Mwendo wa nusu saa kutoka barabarani
Urefu 70 upana 35
Bei ni 4.5 milion
Hati bado haijalipiwa
0786180342
Note:mimi sio dalali bali mwanafamilia
Habari nahitaji eneo dogo la ujenzi, maeneo ya makabe njia panda maeneo hayo hata kama unaingia kidogo siyo mbaya.
Sihitaji dalali,budget Milion4 charp
No yangu 06521326
Pata kiwanja 10 kwa 10 kwa shilingi milioni mbili tu eneo la mbezi mzalendo. Usafiri wa bajaji toka mbezi stend ni 1000 tu. Eneo ni kubwa hivyo unakatiwa kutokana na ukubwa unaotaka na hela uliyokuwa nayo.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0716694624
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma katikati ya mji maeneo ya majengo kina ukubwa wa 35 kwa 17, kina offer.
Bei ni 230mil mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082, naamini hutojuta kukinunua kama una mipango ya kuwekeza katikati ya mji.
Karibuni
Habari,
Mimi ni mgeni sekta hii ya ardhi maana nimeishi miaka bila kubahatika kujenga wala kununua nyumba..
Sasa kilichonipelekea kufungua Uzi huu nimefiwa na mama yangu mzazi na alikuwa ana nyumba Temeke...hakuwa na hati ya eneo maana aliipangisha tu...document zilizopo ni za kulipia Kodi ya...
Nyumba na kiwanja vyauzwa Bunju B Sokoni 80m/=.
Kina title deed, 890 Square Meters, master, vyumba 3 vya kwaida, public toilet, garage, karibu na soko na barabara kuu ya Bagamoyo.
Bunju
Mzee Jaros
0754826668
0712168055
Wakuu Kama kichwa kilivotanabaisha hapo juu,Kuna mahali nina kaplot ka ukubwa wa Meter 11x15 nataka nianze kukafanyia kazi.je naweza fyatua kanyumba ka chumba tatu na eneo la parking likabaki?
Wakuuu poleni na majukumu.
Ijumaa ntakuwa dodoma ndugu yenu naombeni location ya kiwanja cha bata chenye watoto classic kinachojaza toto zinacheza mziki mkubwa hapa makao makuu Dodoma
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Habari wakuu.
Mimi naombeni msaada wa kutaka kujua kama je ni kweli unaweza kubadili jina la muuzaji kiwanja kwenda kwa mnunuaji kiwanja?
Nimenunua kiwanja ambacho kina OFA tu sasa bado sjabadilisha jina na nyaraka zote ninazo ambazo kanipa muuzaji sasa nikaongea na afsa ardhi kaniambia hapo...
Habari!
Nyumba kubwa (haijaisha) yenye sifa zifuatazo ikiwa ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa Hekari 1 na nusu inauzwa:
1. Sebule kubwa (6M × 8M)
2. Dining room kubwa (4M x 4M)
3. Jiko kubwa (3M x 5M)
4. Vyumba vitatu vikubwa, kimoja master
5. Public toilet
6. Stoo kubwa.
7. Kuna miembe na miti...
Rais wetu kipenzi,
Kabla ya mambo kubadilika, kulikuwa na mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanja cha ndege eneo la Omukajunguti mkoani Kagera. Huu mradi ulilenga kuziunganisha nchi za Afrika Mashariki, lakini si hivyo tu mama, kama umeenda Bukoba umeona ni jinsi gani ndege zinastrugle kutua katika...
Wadau naombeni msaada wenu.
Ninauza kiwanja changu ili niweze kupata Mtaji maana mambo yamenibana sana. Ijapokuwa niliplani kujenga nyumba ila nimekwama na hiyo ploti ndio Inaweza kuninyanyua.
Kiwanja kimepimwa kina sqm 864 na kiko Gezaurole Kigamboni. Kiwanja kina hati hati safi isiyo na...
Kiwanja kinauzwa Bunju A
Kiwanja kiko bunju sehem inaitwa Kinondo kimepakana na kiwanja cha riziwan kikwete
document za serikali ya mtaa zipo
Bado hakijapimwa
Size 30*30
KUHUSU MIUNDOMBINU
Umeme upo ni nguzo moja mpaka kiwanjani.
Maji yapo.
Kiwanja kiko barabara kuu iliyochongwa
Bei...
apartment
bagamoyo
bei
biashara
eneo
fuso
gari
heka
inauzwa
ist
kawawa
kibamba
kibiashara
kilimanjaro
kinauzwa
kiwanjakiwanja kinauzwa
kuagiza
kuagiza gari
madale
magari
mbezi
mbezi beach
mkopo
n.k
nauza
nyumba
nyumba kali
nyumba ya kupangisha
plot
shamba
subaru
toyota
uwekezaji
viwanja
yanauzwa
zinauzwa
Kiwanja kinaunzwa
Kipo karibu na barabara ya kuelekea goba
Eneo ni mbezi louis
Umbali kutoka barabara kuu ni mita 20
Kubwa square mitre 4,000
Eneo linafaa kwa biashara mbali mbali
Bei milioni mia sita 600,000,000/=
Mazungumzo yapo na karibu sana
Mawasiliano piga sim 0713660178
Habar wakuuuuu,
Poleni na mahangaiko ya wiki ,Wakuu leo ni weekend tupeane location ya kiwanja chenye watoto classic na beer bei elekezi jijini Dar es salaam . mfano TPS BEI SIO ELEKEZI BEER LOCAL 4000 .
Karibuni wakuuu tupeane location.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.