Habarini wakuu wote kwa ujumla,
Napenda kuwafahamisha wadau wote ambao mmekua mkitafuta au kuwaza kupata kiwanja kizuri Tegeta,Mivumoni Eneo la Umoja Road.
Kiwanja kinauzwa .
Ukubwa Sqm 2000
Bei:100m Maelewano kdg yapo.
Hati ipo safi kabisa.
Sehemu ni nzuri na kiwanja kina majirani kushoto na...
Kiwanja kipo Mahoma Nyika (kitalu BD), Dodoma.
Kiwanja kimepimwa, ukubwa ni 514 m².
Sifa za Eneo kiwanja kilipo.
Kipo karibu na stendi ya mabasi ya mkoani, soko la ndugai , Magufuri City, Ring road na uwanja wa ndege wa Msalato International Airport. Yaani kimezungukwa na hivi vitu.
Sababu ya...
Haya mambo yasikie tu.
Nina siku ya nne leo tangu nigundue kwamba nimepigwa, hata kula vizuri siwezi, nawaonea wivu wenzangu walionunua maeneo madogo kwa bei za 15m kushuka chini. Naona hasara yao ni ndogo kuliko yangu.
Leo niko huku kanda ya ziwa Mwanza.
Nitakuwa huku kwa siku tatu,kwa wenyeji wa Mwanza ni sehemu gani unaweza kupiga bia vizuri huku ukizungukwa na totoz nyingi za maana,nimezoea sana maisha ya Dar.
Kwa mwenye ufahamu adondoshe comment.
Karibuni.
Kiwanja kinauzwa njiro karibu kabisa na barabara ya lemara.
Kwa wale wanaojua kanisa la KKKT Lemara ndio hapo hapo karibu. kabla haujafika kikwakwaru stendi.
Kiwanja ni 30 kwa 15.
kina msingi ndani ambao ni ramani ya nyumba.
ukitaka kuendeleza sawa. Kuna mawe na mchanga pia uliobaki.
Ni...
Habari za asubuhi wadau, nimeshikwa na shida nauza kiwanja changu kilichopo Mwanzo mgumu chanika.
Ukubwa hekari moja
Bei 2.5m maongezi yapo
Mawasiliano piga simu 0718658747
Habari natafuta kiwanja eneo la chamazi. Kuanzia magengeni mpaka maeneo ya azam.
Bajeti yangu ni milioni 4 kushuka chini.
Kama unacho toa sifa zake kama size kikoje na kiko chamazi ya wapi ili nije kukiona na kulipia
Ndugu kiwanja chetu cha familia kilivamiwa na mtu ambaye alikuwa jirani yetu kwa kipindi hicho, tulipokuwa tunamwambia atoke kwa mdomo alikuwa anasema kuwa hawezi toka kwani amepewa na serikali ya kijiji baada ya kuona hicho kiwanja hakiendelezwi.
Tulipofungua kesi mtendaji anasema eti huyu...
Wakuu
MDA SI mrefu nmetoka kupigiwa Simu na rafiki yangu mmoja wa karibu Sana Ni DOKTA hospital moja ya wahindi hapa mjini,Na anamiliki duka moja la dawa za binadamu kubwa Kiasi ambalo suka ilo mkewe ndo muuzaji na msimamizi mkuu wa kila mara. Sasa Jamaa kapigia akinipa taarifa nzito sana khs...
Serikali imesema inalichunguza sakata la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) la kugombea kiwanja Na.60 kilichopo Regent Estate Manispaa ya Kinondoni jijini hapa.
Akizungumza mwisho wa wiki iliyopita, Wakili wa GSM, Alex Mgongolwa...
Pongezi sana kwa club ya simba kwa kukataa kutoa bahasha za khaki kwa haya MACHAMBUZI FEKI yenye njaa hadi kwenye unyayo..akili zao ni kisoda sana ....
Najaribu kupata picha kwamba Mo Dewji ndiye ana kesi ya kiwanja na Daud Bashite sijui ingekuwaje huko Ukanjanjani, redio zingewaka moto kipindi...
Kiwanja Kipo Oysterbay mita 50 kutoka Oysterbay Lodge, kipo jirani na kituo cha mabasi Oysterbay uelekeo wa UDOM upande wa kushoto kuna barabara ijulikanayo kama Oysterbay road. Kiwanja ni kizuri kwa makazi na biashara pia kinafaa kujenga lodge/guest house na kimezungushiwa msingi wa fensi...
Kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 400 kinauzwa kwa shilingi Milioni 12.
Kiwanja kiko wilaya ya Kinondoni eneo linaloitwa Mivumoni pia kiwanja kiko mita 700 kutoka Mivumoni Senta na kiko barabarani kabisa.
Huduma ya Maji na Umeme zipo.
Tuwasiliane inbox tufanye biashara.
Ukubwa wa Kiwanja 1000 sqm.
Kipo Goba, umbali wa kilomita moja kutoka barabara ya lami.
Vimepimwa na kina hati.
Bei ni Tshs 60,000,000 ( 60 Milioni )
Wasiliana nasi - 0742141467
Luguruni
Metres 500 kutoka Main Morogoro Road
Eneo ni 25 kwa 30.
Kuna Fremu tano na godown kubwa la mashine ,maji na umeme Upo .
Bei inaanzia 150M .....maongezi yapo kidogo.
Kwa maelezo zaidi piga 0682822649
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.