kiwanja

  1. chiembe

    Maandalizi ya AFCON: serikali iwafidie CCM, ikichukue kiwanja cha CCM kirumba, ikijenge kwa viwango vya kisasa, kitumike kwa mashindano

    Nashauri kiwanja hiki kitwaliwe na serikali, CCM wafidiwe, halafu kijengwe kiwanja cha kisasa pale. Hii itaendana na hadhi ya jiji la Mwanza. Kwa.sasa kiwanja hiki hata CCM hakiwapi faida yoyote ile.
  2. L

    Nahitaji kiwanja kwa Mil 5 Dar es Salaam

    Wakuu, Nina shida ya kiwanja kiwe kuanzia maeneo Maramba, Salasala kuelekea Bunju au Kibamba ila kusiwe ndani ndani sana.
  3. Mwl.RCT

    Plot4Sale Kiwanja Bunju A Stand ya Shule, SQM 400, Milioni 8

    Kiwanja kinauzwa, kipo Bunju A Stand ya Shule. Ukubwa wa kiwanja ni mita 20 x mita 26, sawa na SQM 400(makadilio), Bei ni TZS Milioni 8. Eneo hili ni tulivu na lina mazingira mazuri. Kiwanja hiki kipo umbali wa kilomita 2 kutoka barabara ya Bagamoyo Road. Kiwanja hiki kina hati ya serikali ya...
  4. fundi bishoo

    Nahitaji kununua kiwanja naomba kujua ni hatua zipi za kufuat wakuu

    kwema wakuu, Mdogo wenu huu mwaka nimejitafuta nataka nikanunue uwanja mwsho wa upepo uko ndani ndani. Sasa sijui chochote kuhusiana na kununua uwanja naombeni mnipe muongozo mdogo wenu napoenda kukamilisha hii ndoto yangu maana naogopa kutapeliwa wakuu
  5. Teslarati

    Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

    Tujuane wadau, labda nilipokaa hapa kuna member wa jf nae ana-browse ila hatujuani. Nimerudi Dar jioni hii ila nimetulia hapa Micassa Pub Ubungo Uko wapi mdau? Mshana Jr LIKUD The Boss Extrovert cocastic Nifah dronedrake The only Na wengine wengi
  6. uberimae fidei

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha

    Kibaha msangani juhudi. Kipo karibia na stend ya bajaji Km 5 KUtoka morogoro road Ukubwa mita 20 kwa 20 Milioni tatu na nusu. Barabara nzuri ya lami. Umeme na maji vimefika.
  7. B

    Natafuta kiwanja cha kufungia mwaka

    Nina bajeti ya 6m natafuta kiwanja dar es Salaam kigamboni, madale. Kiwe kimepimwa. Nahitaji kufunga mwaka kwa kishindo.
  8. N

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa bei chee Kibaha kwa Mfipa upande wa chuo

    Habari Nauza kiwanja Kibaha kwa mfipa chenye ukubwa wa miguu 20 kw 19 Bei ni Tshs 3,500,000 maongezi kidogo yapo Kiwanja ni changu mwenye, kipo sehemu nzuri na huo mtaa maji, umeme na huduma zote za kijamii zipo Njoo nikuuzie umiliki kiwanja leo hii mana kadri siku zinavyokwenda ardhi...
  9. Pdidy

    Nini cha kufanya kutenganisha kiwanja?

    Jana nilikuwa sehemu vijana walifanikiwa kumalizana mizozo ya viwanja Sasa wamekubaliana kugawana kiwanja cha mama yao Chenye hati moja Wanataka msaada jinsi ya kutenganisha hati moja ziwe mbili, kila mtu awe na kiwanja chake Sijui wenye kupitia haya wapi wanaanzia kuweza kuwa na kila mtu na...
  10. B

    Ushauri Unahitajika, ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari Nataka kununua kiwanja Cha kijana ambaye amefariki, yaani hakuwa na mke, Wala mtoto. Wazazi wake wameshafariki. Ana ndugu zake wawili waliozaliwa pamoja Ni taratibu gani zitumike ili mtu anunue kiwanja
  11. Isaack Newton

    Msaada anaejua gharama za kupima kiwanja na kuweka bikoni

    Habari wakuu, Nina kiwanja changu cha cha 20 kwa 30 ambacho hakijapimwa, kipo level kabisa maeneo ya tegeta-Dar es salaam, sasa nataka nikipime niweke na bikoni, mwenye uelewa kuhusu gharama za kupima huwa zinakuwaje anifahamishe.
  12. W

    Plot4Sale Tunauza viwanja maeneno mbalimbali Dar es Salaam

    Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka. kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba. Ukubwa ni 45 kwa 35 metres. Bei ni million 30 tu. Umbali kutoka barabarani ni km 2 Mawasiliano 0715128827
  13. Aliko Musa

    Sababu 30 Zinazopelekea Mmiliki Wa Kiwanja/Shamba/Jengo Kuuza Kwa Bei Nafuu

    Kuuza Kiwanja/Shamba/Jengo Kwa Hamasa Kubwa Hamasa ya muuzaji ni kile kinachomsukuma mmiliki auze ndani ya siku anazotegemea. Hamasa inaweza kuwa moja ya mambo yafuatayo:- ✓ Kutalakiana kwenye ndoa. ✓ Migogoro ya ubia miongoni mwa wamiliki wa kiwanja, au jengo. ✓ Kupoteza ajira. ✓...
  14. F

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Moshi - Kilimanjaro, 2700 sqm bei ya kutupwa

    Kiwanja kikubwa Cha makazi kiko Maeneo ya shirimatunda- moshi mjini Mwana apolo amekwama. Biashara zake za madini haziendi Kiwanja kimezungushiwa fensi ya senyenge kiko karibu na shule ya sekondari maji na umeme vipo hapo jirani Mwenye kiwanja anahitaji hela ya haraka Bei million 17
  15. GoldDhahabu

    Nini cha kufanya endapo utakuta dhahabu kwenye shamba au kiwanja chako?

    Kwa Sheria za Tanzania, unaweza kumiliki ardhi lakini sio kilichopo chini ya ardhi kama madini. Ndivyo nijuavyo, labda kama utaratibu umeshabadilika. Inamaanisha kuwa hata ukigundua dhahabu kwenye shamba lako au kiwanja chako, hutaruhusiwa kuchimba mpaka uwe na leseni. Sasa chukulia ulikuwa...
  16. F

    Mtu kauza kiwanja. baada ya kupokea hela kagoma kutransfer umiliki wa kiwanja chake kwenda kwa mnunuzi

    habari wadau. wataalamu wa sheria naomba majibu yenu. JUMA anamiliki kiwanja chenye sqm 1200. amepatwa na shida ameamua kumuuzia AMINA sehemu ya kiwanja chake. kamuuzia sqm 400 na yeye JUMA amebaki na Sqm 800. wameandikishana kwenye mkataba wao wa makubaliano. kuwa baada ya kupokea hela...
  17. N

    Wanaopewa fidia ili wahame bonde la Msimbazi, itawatosha kununua kiwanja na kujenga?

    Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga? Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)? NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela. Vipi...
  18. Bobldi

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mkono, Arusha

    Kiwanja kinauzwa Arusha Mkono kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani. Kina ukubwa wa Square meter 1080 kwa mawasiliano zaidi nipigie 0758666865
  19. I

    Plot4Sale Tunauza viwanja maeneo mbalimbali

    Kiwanja kinauzwa, kina msingi wa nyumba. Kiromo shule, Bagamoyo. Kinaukubwa wa miguu 20 kwa 15. Gharama 8,000,000/=. Piga 0762 658788
  20. Gulio Tanzania

    Plot4Sale Nauza kiwanja changu Tsh 1,500,000

    Nauza kiwanja changu niki kizuri kipo Iringa mjini maeneo ya Tagamenda karibu na shule ya secondary Tagamenda Ni kilomita chache kutoka ipogolo stand Hatua 28 kwa 20 Bei Tsh 1,500,000 Haipungui Piga 0759500807 Karibuni Hichi hapa kwa picha Huu ndio mtaa kilichopo kiwanja barabara...
Back
Top Bottom