kiwanja

  1. Prophet of Nations

    Kiwanja linazuwa maeneo ya kifuru Kisopwa

    Kiwanja kizuri kinauzwa maeneo ya kifuru kisopwa ukitoka stand ya mbezi mbezi unashukia kifuru unachukua bodaboda au bajaji hadi site. Kina ukubwa wa 23m x 20m maji yapo yakutakata, umeme upo. Bei milioni 4.5 Kwa mawasiliano zaidi +255 717 040837 / 0767 267 664
  2. Sniper

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Sqm 4000 kina hati, ukuta, maji, umeme

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni karibu na Hamidu City. Kiwanja kina hati, kimezungushiwa fensi na kina ukubwa wa Square Metres 4000 (Eka moja). Umeme na maji vipo. Bei Milioni 250, maongezi yapo. Ni inbox au Mawasiliano ya moja kwa moja Whatsapp/Msg 0775880218. Hakuna dalali...
  3. D

    Pasaka unailia kiwanja gani?

    Asalaam, Hakika Mwana Kondoo amefufuka na hivyo basi tumfuate, Kheri za Pasaka kwenu. Bila kupoteza muda tupeane code ni wapi leo utaenda kufurahia sherehe zako za pasaka ukishashiba pilau la nyumbani kwako. Karibuni.
  4. A

    Natafuta kiwanja cha kununua Madale

    Habari za mchana ndugu zangu, Natafuta kiwanja kisichokua na mgogoro na kilichopimwa maeneo ya Madale Mivumoni au karibu na apo, kiwanja kiwe na ukubwa wa 800sqm na budget isizidi 30M. Ahsante.
  5. bizzle for shizzle

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bahari Beach

    kiwanja Chenye Nyumba kinauzwa Kipo bahari beach jijini dar es salaam Kina ukubwa wa sqm 2220 kina Hati miliki safi kabisa kutoka wizara ya Ardhi Kiwanja kina KIBANDA cha kuanzia maisha pia kimezungushiwa ukuta Pamoja na gei Kipo umbali wa meter 600 kutoka BARABARA ya lami KINAUZWA TSH 400...
  6. bizzle for shizzle

    kiwanja kinauzwa Mbweni malindi estate

    Kiwanja kinauzwa Kipo mbweni malindi , jijini dar es salaam WILAYA ya Kinondoni BARABARA ya bagamoyo road kina UKUBWA wa sqm 1495 ni corner plot na kina Hati miliki safi kutoka wizara ya Ardhi kina uzwa TSH MIL 180 mazungumzo yapo kwa muhitaji KARIBUNI sana Mawasiliano 0712464777 whatsap & call...
  7. Z

    Kama nimejenga nyumba kwenye kiwanja si changu, kunivunjia nyumba au kuniambia ninunue hicho kiwanja kipi bora?

    Wakati mwingine busara huwa inaitajika unapotoa maamzi. mediation inaweza kutumika .kwani kuna faida gani unapovunja nyumba ya mtu hata kama kiwanja si chake? Wewe mwambie kiwanja si chake then akikubari mwambia nunua kiwanja hiki.ziko taasisi zenye kuthaminisha viwanja na majumba, Hivyo...
  8. bizzle for shizzle

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbweni-Dar

    Kipo kiwanja mbweni jkt block 5 kina sqm 1020. bei 80milion kina hat Kipo kiwanja mbweni malindi block c sqm 1100. Bei 80milion kina hat Kipo kiwanja mbweni mpiji sqm 912 bei milion 55 kina hati Kipo kingine mbweni mpiji block 13 sqm 1090 kina hat bei 50 milion Kipo kingine mbweni...
  9. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato Sehemu ya Kwanza Kukamilika Disemba 2024

    UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO SEHEMU YA KWANZA KUKAMILIKA DISEMBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato - Dodoma umefikia asilimia 54.1 kwa sehemu ya kwanza inayohusisha ujenzi wa barabara ya kuruka na kutua...
  10. M

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

    Kiwanja kinauzwa kama ifuatavyo: i: Mahali kilipo: Kwa bibi barabara ya Tabata/Segerea mita 20 toka barabara kuu. ii: Eneo: Sqm 1,416 iii. Kina hati: Ndio iv: Bei: 310m v: Mawasiliano: +255 755 321 562 Update: ====== Bei imepungua mpaka 260m. Chukua kiwanja hiki hakina mgogoro wala udalali.
  11. Roving Journalist

    Waziri Bashungwa: Ujenzi na uboreshaji Kiwanja cha Ndege cha Tabora utakamilika Oktoba badala ya Machi, 2024

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi Oktoba, 2024. Bashungwa ameyasema hayo Machi 13, 2024 mkoani Tabora katika...
  12. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi Uboreshaji Kiwanja cha Ndege cha Tabora Kukamilika Oktoba, 2024

    UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi...
  13. J

    Ujenzi na uboreshaji kiwanja cha ndege cha tabora kukamilika Oktoba, 2024

    UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi...
  14. Bobldi

    Plot4Sale Kiwanja kina uzwa Mkono arusha

    Kiwanja kinauzwa Arusha Mkonoo kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani. Kina ukubwa wa Square meter 1080 Bei million 13 kwa mawasiliano zaidi nipigie 0758666865
  15. C

    Nauza kiwanja kibaha kwa Mfipa mil. 1.5

    NIMEKWAMA NAUZA ENEO LANGU KIBAHA KWA MFIPA. LIKO SEHEMU NZURI HUDUMA MUHIMU ZIPO. NGUZO MBILI ZA UMEME MPAKA SAITI. MCHANGA UKO HAPO HAPO TOFARI MAPAKA SITE TSH. 750 MAJI YAPO JIRANI TUPO KWENYE MCHAKATO WA KUYAINGIZA KUTOKA MAIN ROAD KM. 1.5 Square mita 300 Bado sijapata mteja sahihi. NATAKA...
  16. Stephano Mgendanyi

    Kihenzile aitaka TAA kuvunja Mkataba na Mkandarasi anayejenga kiwanja cha Ndege Ruvuma

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameelekeza mamlaka wa viwanja vya ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na Mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha Ruvuma kutoka na Mkandarasi huyo kushindwa kukamilisha jengo hilo kwa wakati. Naibu Waziri David Mwakiposa Kihenzile...
  17. X_INTELLIGENCE

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kitunda, Dar es Salaam

    Kiwanja kinauzwa KITUNDA DAR ES SALAAM, kiwanja hiki ni kikubwa mita 30*40 bei milioni 23 tu...! Unaweza ukajenga nyumba 2 za wastani... na car parking kidogo ikabaki. Barabara ya mtaa inafika hadi kilipo kiwanja. Kiwanja hiki kipo karibu kabisa na barabara ya Lami kama hatua 700 hivi kutoka...
  18. Newcastle1234

    Natafuta kiwanja Mbweni, budget Mil.70

    Natafuta kiwanja Mbweni. Bajeti yangu Mil.70. Ukubwa at least 900sqm SITAKI MADALALI. Kwa mmiliki au anaemfahamu mmiliki anitumie picha na location kwenye WHATSAPP 0788 893364. Just Whatsapp. NO CALLS
  19. M

    Plot4Sale Nahitaji Kiwanja DSM cha Sqm 800-900, location KIGAMBONI Dege, Geza, muongozo, mwembe mdogo, cheka au KINYEREZI, kisiwe mbali na Main road. Offer 13M

    Mwenye nacho ambacho hakizidi Km 1 kutoka main road aniwekee namba ya simu, tuwasiliane.
  20. D

    Hivi inakuwaje unatozwa kodi kiwanja na jengo?

    Kuna mambo ukiyafikiri hapa duniani Unastaajabu..yaani Wakati unanunua kiwanja unalipa kodi Wakati unapima kodi Wakati unaomba kibali cha ujenzi kodi Wakati unajenga kodi za material Wakati unajenga kodi za service kuingiza umeme,maji Tena upo ndani ya nyumba unalipia nyumba na kiwanja? Kweli...
Back
Top Bottom