Nilijenga kwenye kiwanja cha Mama mkwe, akaamua kuchukua mkopo kwa kutumia kiwanja hicho na wakataka mimi ndiyo nilipie!
Aliniambia tusijenge kwenye kiwanja changu kwa sababu ni mbali na mjini. Kwa kweli, niliona kama ni mbali, lakini akaniambia kuwa kuna kiwanja mama yake alimpa kama zawadi...
Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani.
Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi, kiwanda cha saruji(sementi), mahoteli, fukwe,vituo vya mafuta,viwanda vya matofali,n.k.
Eneo lipo...
Kipo Kibaha kwa Mathias Msangani karibia na zahanati ya Msangani. Kina ukubwa mita 30 Kwa mita 20. Bei milioni 3.
Miundo mbinu iko vizuri. Barabara ya lami, bajaji 1000, boda 1500.
Kiwanja Kiko balili mjini wilayani bunda mkoani Mara. Kina Ukubwa wa 29 KWa 28 KWa kuhesabu hatua au tambo za miguu na kimepimwa na halimashauri.mnunuzi atalazimika kufatilia offer kisha hati.
Kiko karibu na kanisa la lango la uzima pamoja na hospitali ya mkombozi.pia huduma za shule kuanzia...
Habari.
Miaka michache iliyopita nilipata mkasa wa kuungua nyumba niliyokuwa naishi na moja ya vitu vilivyoungua ni hati ya kiwanja. Je kuna uwezekano wa kuomba nyingine idara ya ardhi? Kwa sasa nimebaki na photocopy tu. Naomba kama kuna mwenye uelewa au aliyewahi kupatwa na mkasa kama wangu...
Unamkuta binti mrembo ana shape, sura, n.k. lakini afya ya akili za kimaendeleo ni F yenye resit, epukana nao kama unajitafuta.
Unamweka ndani mpo kwenye maisha ya chumba na sebule unawaza hela uliyopata kwenye mishe utafute kiwanja mjenge yeye anawaza na anaweza hata kuiba hizo pesa aende...
Ukifungua kesi ya ardhi ambayo kiwanja kimesajiliwa au kina hati, unatakiwa kumshtaki pia na Msajili wa hati (Registrar of titles). Kushindwa kumuunganisha au kumshtaki Msajili kwenye kesi ambayo ardhi ina hati ni kumnyima haki ya kusikilizwa. Na hukumu yoyote itakayotolewa kwenye hiyo kesi bila...
Kiwanja kipo Kiegeya (Mkundi) Morogoro
Kimepimwa na kina hati ( documents ) za malipo halali ya serikali na wizard ardhi
Kinafikika kwa hali zote
Ni kiwanja no 3775
Bei Tsh.2.5m
Njoo Mazungumzo yapo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekagua na kupokea taarifa ya maendeleo ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kigoma unaoendelea kutekelezwa Mkoani Kigoma.
Dkt. Mpango amekagua uwanja huo, leo Julai 09, 2024 katika Manispaa ya Kigoma...
Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo
kipo kidomole Bagamoyo ukubwa wa 30 kwa 25 akipo mbali na barabara ni dakika 10 kufika kiwanja kilipo
hatutojutia hata kidogo ukinunua kiwanja hicho
Karibu sana
simu 0712815440
Kwenye kumilikishwa viwanja kuna hati za aina mbili:
1. Makazi pekee.
2. Makazi na biashara.
Na hata umilikishwaji wake una gharama tofauti cha biashara na makazi kina gharama zaidi per squre meter je?
Tofauti ni ipi na faida ni zipi?
Habari za jioni ndugu zangu,
Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
Manji alikuwa zaidi ya Mwekezaji, Zaidi ya Ndugu, Zaidi ya Mwanayanga Mbele ya Wanayanga Wenzake.
(1) Manji aliwahi kuwalipia Viingilio Mashabiki wa Yanga Mechi ya Yanga na TP MAZEMBE, Mashabiki na Wanachama Wakaingia Bure.
(2) Manji Aliwalipia Viingilio Wanachama Wa Yanga kwa Ajili ya kwenda...
Kazi kazi
Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML
Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML.
Nina kiwanja maeneo...
bagamoyo
banana
bandari
bucha
daycare inauzwa
eneo
eneo linauzwa
eneo linauzwa msakuzi
goba
goba mpakani
heka
inauzwa
jirani
kibaha
kibaha maili moja
kibamba
kiluvya gogoni
kimara
kinauzwa
kiwanjakiwanja kinauzwa
linauzwa
madafu
mashamba
mawili
mbezi
mbezi mwisho
moja
mpakani
mwisho
njia
njia panda
nyumba
nyumba inauzwa
plot for sale
shamba
shule
tabata
ukubwa
university
vigwaza
vinauzwa
viwanja
viwanja salasala
viwanja vinauzwa
yanauzwa
Kiwanja kinauzwa Njiro Temdo kwa nyuma. Kiwanja kina ukubwa sqmt 2198, urefu wa kiwanja ni 59.43 na upana ni 37 ni mita 900 kutoka njiro barabara kuu. Huduma za kijamii zinapatikana. Maongezi yapo.
Sqmt 1 ni Tsh. 50,000, maongezi yapo.
2198*50,000=109,900,000 maogezi yapo karibu sana.
Huduma...
Ukiangalia uwanja wa kmc unaona kabisa ni KIWANJA kizuri na chenye standard nzuri ukuta na hata majukwaa na vyumba
Hii Inanipa sababu kabisa ya kuwaomba bodi ya ligi na tff mwakani kuwa team za ligi kuu zitumie
1.Uwanja wa Mkapa.
2.uwanja wa uhuru.
3.uwanja wa Azam
4.uwanja wa Mkwakwani(maana...
Wakuu nianze kwa kutoa salamu kwa wote ikiwa ni pamoja na pole kwa mihangaiko ya siku. Tukirudi kwenye kwenye kichwa cha habari, nimekiwa nikiishi kwenye nyumba za kupanga karibia miaka mitano hapa dar ila kwa sasa nafikiria nitafute kiwanja nijenge.
Wazo la kwanza nafikiria nitafute kiwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.