Nijikite kwenye mada moja kwa moja, natafuta kiwanja cha kujenga nyumba, maeneo ya Arusha isipokuwa nje ya mji kidogo, eneo la wastani tu kama 20x25β¦ bajeti ni milioni tatu 3,000,000/-.
Kiwanja kisiwe mbali sana kutoka barabarani, Nyakati hizi za mvua ndio pendekezwa kujionea hali ya kiwanja...