Hello!
Ishara ni kitu muhimu sana, ishara sio ushirikina. Kwa wenye huduma ya kinabii watanielewa zaidi, maana Iinafanya kazi kwa ishara mostly. Ipo sauti ya moja kwa moja, yapo maono ya moja kwa moja kwamba hayahitaji tafsiri.
Zipo ndoto za moja kwa moja lakini mara nyingi Mungu huongea kwa...