Labda pia kwa sababu hatukumtoa mkoloni kwa mbinde sana kama wenzetu wengine.Ingekuwa ukoloni bado upo Africa,Tanzania ingekuwa nchi ya mwisho kupata uhuru
Watu ni waoga sijapata kuona
Mkoloni Tanganyika hakutolewa kwa mapigano, acheni kuipotosha history ya nchi yetu, kwa vitu vyenu vya kipuuzi.Ingekuwa ukoloni bado upo Africa,Tanzania ingekuwa nchi ya mwisho kupata uhuru
Watu ni waoga sijapata kuona
Muingereza alishachoshwa pia na vita vya pili vya dunia makoloni yakawa ni mzigo tu usio na ulazima tena.Mababu waliachiwa kisela tu, wakoloni wangekaza unadhani mababu wangetoboa na mishale yao 😁
Mkwawa,Abushiri,Majimaji war zilikuwa ni ngoma za kumtoa unyago shangazi yako sikwahiyo baada ya hizo vita ulizo zitaja hapo ndio Tanganyika ikapata uhuru?
Kwahiyo baada ya vita hizo ulizo zitaja ndipo Tanganyika ikapata uhuru?Mkwawa,Abushiri,Majimaji war zilikuwa ni ngoma za kumtoa unyago shangazi yako sio
Waambie hao, wapuuzi kama huyu mtoa post.Mababu waliachiwa kisela tu, wakoloni wangekaza unadhani mababu wangetoboa na mishale yao 😁
Kizazi cha wapayukaji akina Braza K kisingeweza hata kumtisha nyapara. Tanzania ilishapata uhuru kama unadhani amani inaokotwa nenda Sudani.Ingekuwa ukoloni bado upo Africa,Tanzania ingekuwa nchi ya mwisho kupata uhuru
Watu ni waoga sijapata kuona
Nakubaliana na wewe, 90% ya vijana ni Yanga na Simba, bettings, ulevi, uzinzi, movie, miziki ya kijinga na umbea umbea, kuna wengine kama Lucas Mwashambwa ndiyo kondoo kabisa halina akiliIngekuwa ukoloni bado upo Africa,Tanzania ingekuwa nchi ya mwisho kupata uhuru
Watu ni waoga sijapata kuona
Kuna uhuru wa bendera lakini mkoloni CCM ni mbaya zaidiUnahakika kwamba upo na uhuru
Waza walikubaliana Nini, unafikir ni Bure Bure tuu...