Kizazi cha leo kisingeweza kumtoa mkoloni nchini,Tanzania ingekuwa ya mwisho kupata Uhuru

Kizazi cha leo kisingeweza kumtoa mkoloni nchini,Tanzania ingekuwa ya mwisho kupata Uhuru

Muingereza alikuta haina watu kivipi? Yaani Australia ilikuwa eneo tupu bila watu?
Canada ni huru tena ilipata uhuru kabla ya Tanganyika.Australia ni huru ambayo haijawahi tawaliwa na mtu isipokuwa Mwingereza alikuta haina watu na akaichukua kuwa mali yake.
 
Kwa tz,


Hata mkoloni hakutolewa kwa kumwaga damu,

Nyerere alijiokotea dodo kwa mwingereza baada ya Mjerumani kushindwa vita.
 
Kizazi cha sahv ushoga unaongezeka kutwa,kukata mauno

Ova
 
Ingekuwa ukoloni bado upo Africa,Tanzania ingekuwa nchi ya mwisho kupata uhuru
Watu ni waoga sijapata kuona
Kwa tulivyo wanafiki na walamba viatu vya watawala na kuwaabudu, tusingepata huo uhuru hata wa mezani kama aliopewa Nyerere.
 
Back
Top Bottom