Kizazi cha leo kisingeweza kumtoa mkoloni nchini,Tanzania ingekuwa ya mwisho kupata Uhuru

Kizazi cha leo kisingeweza kumtoa mkoloni nchini,Tanzania ingekuwa ya mwisho kupata Uhuru

Nikikumbuka ile story ya KIBANGA AMPIGA MKOLONI inanipa ari kubwa...
Ila kina Kibanga kwa sasa ni wachache sana sana.
.Sasa ni muda muafaka wa kumwondoa mkoloni mweusi..
Mkoloni mweusi ni hatari sana zaidi ya mkoloni mzungu
.
 
Hello mkuu tutafute hata radi DRC ili tuwamalize polisi maana wanatesa watu.
 
Ingekuwa ukoloni bado upo Africa,Tanzania ingekuwa nchi ya mwisho kupata uhuru
Watu ni waoga sijapata kuona
Acha uchochezi wa *******, we ni jasiri ktk nini, juzi ulikuwa wapi mbn hukuenda mahakamani? We ni kunguru wa Pemba
 
Hasa wasomi waoga kama kunguru wenyewe rangi nyeupe shingoni
Hakuna msomi anatanya mambo ya kipuuzi km unavyowaza. We usiye msomi ujasiri wako umeuonesha wapi, wajinga wenzako wamevunjwa viungo juzi we ulikuwa wapi?
 
Wakoloni waliamua wenyewe kusepa, wa Afrika jeuri ya kumtoa mkoloni mnaitoa wapi??

Hebu kawadanganyeni wajinga..!!
 
Hakuna msomi anatanya mambo ya kipuuzi km unavyowaza. We usiye msomi ujasiri wako umeuonesha wapi, wajinga wenzako wamevunjwa viungo juzi we ulikuwa wapi?
Hao hao makabwela wasio soma waliovunjwa miguu ndio hao welevu kuliko nyie mnaojiita wasomi wa hovyo
 
Mkoloni hatukuweza kumtoa, bali aliondoka kwa matakwa yake mwenyewe.
Nyerere alifuat
Pia kumbuka, lilikuwa ni kosa kubwa saana kumfukuza mkoloni. Wazungu were much better than these local tumbocratic politicians.
Huu
Acha uchochezi wa *******, we ni jasiri ktk nini, juzi ulikuwa wapi mbn hukuenda mahakamani? We ni kunguru wa Pemba
Ww mbogamboga tulia hapo mi nilikuwepo kisutu na hao mafala walitaka kunikamata nikawavimbia
 
Ingekuwa ukoloni bado upo Africa,Tanzania ingekuwa nchi ya mwisho kupata uhuru
Watu ni waoga sijapata kuona
Nadhani tungekuwa na maendeleo zaidi.
Ipi tofauti ya mkoloni mweupe na huyu mkoloni mweusi,ye aliwaondoa wakoloni lakini ye hataki kuondolewa.
Japo wapigania uhuru walipigania maslai yao binafsi na sio maslai ya wananchi waliowasapoti kudai uhuru.
 
Back
Top Bottom