Kizazi cha leo kisingeweza kumtoa mkoloni nchini,Tanzania ingekuwa ya mwisho kupata Uhuru

Kizazi cha leo kisingeweza kumtoa mkoloni nchini,Tanzania ingekuwa ya mwisho kupata Uhuru

Athari za matambiko mazindiko ikiwemo KUKIMBIZA MWENGE katika ulimwengu wa kiroho,..ni kama watu wanakuwa kama mazuzu/malofa kutokana na athari za nguvu za giza za mazindiko/matambiko/kukimbiza mienge...kama wanalogwa...NI NANI ALIYETULOGA??

SIMBA NA YANGA...kutwa nzima 24/7 mtani mtani..simba ...yanga...yanga simba...mtani mtani.
 

Attachments

  • Screenshot_20250425-171907.jpg
    Screenshot_20250425-171907.jpg
    87.2 KB · Views: 28
Kizazi kilichoweza ndo kimeshapita na kikaweza kwaio tulia kijana
 
..mkoloni wetu, kwa maana MJERUMANI, aliondolewa na wakoloni wenzake.

..kwa hiyo Tanganyika tukawa chini ya mamlaka ya Umoja wa Mataifa, ambao walitukabidhi kwa Waingereza "watulee" mpaka tutakapoweza kujitawala.

..Na kweli Waafrika tulipopeleka petition kwamba tunaweza kujitawala Umoja wa Mataifa na Waingereza wakaachia ngazi.

..Mazingira hayo ya kihistoria ndio yaliyowezesha tupate uhuru bila kumwaga damu.

..Ukiangalia historia ya kudai uhuru wa Tanganyika, na harakati za kudai demokrasia ya ukweli, utaona kwamba ilikuwa rahisi mno kudai uhuru.

..Mwalimu Nyerere, viongozi wa Tanu, na wanachama, hawakupitia hata robo ya unyama na udhalimu wanaopitia wapinzani ktk zama hizi za kudai demokrasia ya kweli.
Asie kuelewa atakua hajapata chanjo ya surua.
Huu ndio ukweli.
Tofauti na alivyo taka kutuongopea (kwa maslah yake binafs) mtoa post.

Nchi hii hakuna hata mzee mmoja alietoa hata jasho achilia mbali damu yake, ili nchi iwe huru.

Kuna nchi watu wamepitia misalaba (mateso) ili inchi zao ziwe huru.

Mfano, Mocambique kuna mtu anaitwa Chimbande (jina la awali nimelisahau) alimuua baba yake mzazi (alikua mbea kwa wareno) kwa risasi ili tu Mocambique iwe huru.

Story hii siwasimulii watoto wa leo kwakua munazingua bhange.
 
mbona Canada na Australia bado ziko chini ya mkoloni na zina tuzidi maendeleo,
Canada ni huru tena ilipata uhuru kabla ya Tanganyika.Australia ni huru ambayo haijawahi tawaliwa na mtu isipokuwa Mwingereza alikuta haina watu na akaichukua kuwa mali yake.
 
Canada ni huru tena ilipata uhuru kabla ya Tanganyika.Australia ni huru ambayo haijawahi tawaliwa na mtu isipokuwa Mwingereza alikuta haina watu na akaichukua kuwa mali yake.
wacha kudanganya, canada na australia bado iko chini ya mfalme charles, amy comand bado iko England, na bado zina Gavana
 
Ingekuwa ukoloni bado upo Africa,Tanzania ingekuwa nchi ya mwisho kupata uhuru
Watu ni waoga sijapata kuona
Jana ilikuwa ofa Toka mbinguni tukaikosea haki,watu wa Dsm wameshindwa kuchukua fursa ya kumtoa bibi
 
wacha kudanganya, canada na australia bado iko chini ya mfalme charles, amy comand bado iko England, na bado zina Gavana
Lakini hizo zote ni nchi huru maana zina fedha zao,zina nyimbo zao za taifa na zina bendera zao.
 
Back
Top Bottom