Kama timu itapoteza mechi yake dhidi ya Yanga ya sasa ijue kuwa sio uzembe wa kocha, wachezaji Wala viongozi, imefungwa na timu Bora nchini kwa msimu huu wa 21/22. Hivyo ni kosa kuwa kuchukuwa maamuzi dhidi ya kocha, mchezaji au kiongozi wa timu.
Yanga Sasa isingetoka haraka vile kwenye ligi ya...