Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kiswahili:
Mwanga. Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) inatarajia kufanya mkutano mkuu maalumu wa uchaguzi, Machi 10, 2025, ili kumpata mrithi wa aliyekuwa askofu wa Dayosisi hiyo, Chediel Sendoro...
Mbunge wa Jimbo la Busokelo,Atupele Fredy Mwakibete ameongoza kukusanywa zaidi ya Shilingi Milioni 27 katika harambee ya Ununuzi wa gari aina ya Coastar ya Kwaya kuu ya Usharika huo.
Akizungumza kwa niaba ya Mgeni rasmi ambaye ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mwakibete...
"Wizi umeota mizizi katika nchi yetu watu wanaiba kila kitu, wanaiba kura. Na ninyi mmeshuhudia juzi tu kwenye mambo haya ya kura kura pamoja na kwamba tumesikia ucaguzi umekuwa huru na wa haki, si kweli. Na wengine kwa ajili ya kutaka kupata nafasi wamewaua wengine, ndugu zangu tunapaswa...
Habari wakuu,
Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),
Kanisa letu lina utaratibu wa kufuata kalenda ya mwaka, ni jambo zuri, Lakini kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye baadhi ya vitu ili kuendana na dunia ya leo
Usomaji wa matangazo ya week,
Kwa dunia ya...
Msikilize huyu mtanzania!!
Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu!
Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC
Manesi wamezidiwa...
1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao.
2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani...
Askofu mteule wa Dayosisi ya Victoria mashariki Dr Oscar Lema anasimikwa rasmi Leo
Ibada inaongozwa na Mkuu wa KKKT askofu Dr Malasusa
Bango Kuu limewekwa picha kubwa ya Mgeni rasmi Mh Waziri Mkuu Majaliwa Kassim na askofu Lema
Ibada iko mubashara Upendo TV 🌹
Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Magharibi Tabora, Isaac Laizer, ameonya juu ya ongezeko la matukio ya utekaji na mauaji, akiwataka wakristo kote nchini kufunga na kuomba kwa dhati ili kutokomeza matukio hayo.
Akizungumza jana, Desemba 8, 2024, katika maombi ya...
NA SAMWEL JOHN LEMA
Hivi karibuni Jimbo Kuu Katoliki jimbo la Nairobi lilikataa na kurejesha mchango wa fedha kutoka kwa Rais wa Taifa la Kenya Mhe William Samoei Ruto na Gavana Johnson Sakaja, likisema halitaki kutumika kisiasa.
Askofu Mkuu Philip Anyolo, ambaye ndiye Askofu wa jimbo la...
KKKT Ina MKUU MMOJA TU
Naona KKKT imepamba moto kutokana na matamshi ya mmoja wa Maaskofu wake. Kwa kimbelembele nilicho nacho naomba umma wa watanzania uelewe yafuatayo:
1. KKKT ina Mkuu mmoja tu. Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja.
2. KKKT hakuna cheo kinaitwa “Mkuu...
Nimeona huu mjadala
Mahala. Kama KKKT wanatakatisha fedha ni vema serikali iwachunguze Maana hawalipi kodi hawa.
Pia hawa wasamaria wanaoleta hizi taarifa inabidi serikali iwalinde wasije wakadhurika
Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndugu, Dorothy Semu, leo 17 Septemba, 2024 akiwa safarini kuelekea Jimbo la Rombo amepita Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga kwenye kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro ambaye alifariki tarehe 9 Septemba...
Hivi majuzi, tulishuhudia upatikanaji wa kiongozi bila kupingwa. Hii haikutosha, kwani kuna mmoja pale kaskazini ambaye katiba iko wazi akimaliza misimu miwili anaachia wenzake, lakini ghafla kaongezewa miaka kadhaa.
Hii inafanya baadhi ya watu kujiuliza Je, wale Wachaga ni wajinga kweli, au...
Nikiangalia Wikipedia wanasema wako Arusha lakini mtangazaji anasisitiza HQ iko Lushoto
https://www.facebook.com/reel/442803845318314
Evangelical Lutheran Church in Tanzania (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania)
The Evangelical Lutheran Church in Tanzania is the federation of...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu tumezoea kuona majengo ya Kanisa Katoliki maeneo mbalimbali yakiwa na muonekano wa kipekee unaoakisi majengo ya asili ya karne nyingi zilizopita.
Lakini ukitazama jengo la Kanisa Katoliki Salasala Dar es salaam muonekano wake uko tofauti kabisa. Yaani...
Yaani imekuwa kama keroo sasaa mnafanya wengine tusiende makanisan
Yaan kuna viongozi kila ukisikia ibada mahubiri yao 50 perc wanaanza kukandia wach wa mafuta sijui mkaa sijui majivu ooh mtanyeshwa, Kwa nini msichukue mda kufundisha neno la Mungu waelewe wapone
Mbaya. Mnalalamika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.