Malasusa amepata kura 167 ambazo ni asilimia 64 ya kura zote zilizopigwa
Askofu Malasusa alikuwa anagombea dhidi ya askofu Abednego Keshomshahara wa Dayosisi ya Bukoba aliyepata kura 73 na Askofu Dr George Fihavango wa Dayosisi ya Njombe aliyeshindwa katika duru ya kwanza.
Hii itaakuwa ni mara...
Malasusa alishamaliza two terms za uaskofu Mkuu, baada ya mabadiliko ya katiba amegombea tena uaskofu Mkuu; je ana jambo jipya kwa taasisi hii yenye watu zaidi ya milioni nane NCHINI?
Endapo atapata, hakuna uwezekano akaikabidhi taasisi hii kwenye dola kama alivyofanya DSM akiwa mjumbe wa...
Kwa wenye uelewa tulikuelwa vizuri kwamba kanisa linaunga mkono uwekezaji, lakini huku nyuma umesahau kwamba kuna akina kitenge na mwijaku wanaopindisha manaeno, sasa unalishwa maneno kwamba kanisa linaunga mkono mkataba wa bandari jambo amabalo siyo kweli.
Ulisema kuna mapendekezo mlimpa raisi...
Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji.
Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023.
https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM
Rais wa Jamhuri ya Muungano...
askofu
baada
bahari
dp world
hii
inaweza
kazi
kkkt
maadhimisho
martin luther
miaka 60
mkataba wa bandari
mkuu
mwarabu
rais samia
sakata la bandari
serikali
suala
tag
ushindi
viongozi wa dini
walokole
waraka wa tec
wasabato
watanganyika
"Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye...
Wanaukumbi.
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo ameiomba Serikali kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kuwagawa watu kwa utofauti wa Dini na kusema hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza Serikali iwapo amejenga...
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.
Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
=========
Nukuu ya alichozungumza Askofu Shoo
Naomba ieleweke wazi Kanisa linaunga mkono...
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Fredrick Shoo akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT jijini Arusha amesema kanisa litaendelea kukemea yale yote ambayo yapo kinyume.
Katika kufanya hivyo, kanisa lisihesabike kuwa linachanganya dini na siasa bali Serikali...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais...
Tunakumbushana tuu, nyaraka hizi za haya mabaraza ya kidini yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo. Siyo KKKT,TEC ama BAKWATA wote hutoa nyaraka zinazozungumzia mambo mtambuka yanayogusa jamii. Na hizi nyaraka hazina muda maalumu wa kutolewa, ni muda wowote ambapo kunapokuwa na imbalance kati ya...
Kwa ujumla ujumbe wake ni "Rushwa ndani ya serikali ndiyo sababu ya kwanini tunalumbana kama taifa leo kwa sababu ya mkataba huu"
Mtazame na kumsikiliza mwanzo mwisho kwenye video hii👇👇👇👇👇👇👇👇
Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Hellow
Kanisa la KkKT ndani yake lina ubaguzi sana kuanzia kwenye jumiya mpaka kanisani ukaaji wake ndani ya kanisa kuna matabaka badala kanisa kuwafanya watu wawe wa moja badala yake linawatenga
Unakuta jumiiya ya inaitwa upend ndani yake wamejaa kimario tu na wote wanapesa tu na katika...
This is very serious! Juzi walitangaza kupiga Mnada shule ya Secondary Lwandai, hii ni shule yenye historia kubwa saaana, ni shule ambayo wakongwe wazee wetu walisoma miaka hio ya Ukoloni.
Leo nimeona Tena Tangazo, Tarehe 16 June 2023 watapiga Mnada Chuo, hiki chuo kinahistoria, hii kabla ya...
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani limeingia kwenye kashfa kubwa ya utapeli baada ya makanisa yake ya Kijitonyama, Salasala, Mwenge, Ubungo na Mbezi Beach kuwauzià waumini wake mashamba feki yaliyopo Bagamoyo.
Mashamba hayo yenye zaidi ya heka 15,000 yalikuwa...
Picha: Askofu Mwaikali
Lile kanisa lililo bomoka vipande vipande, dayosisi la konde limeendelea kumuandama Askofu Mwaikali aliyejitenga na kanisa hilo mwaka jana.
Baada ya kuwanyang'anya wafuasi wa mwaikali magari, makanisa sasa ni vita mpya ya kuwanyang'anya kila walichobakiwa nacho warutheli...
Mahakama ya hakimu Mkazi Njombe imelihukumu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya kusini kulipa fidia ya shilingi Milioni 70 baada ya gari mali ya kanisa hilo kugonga na kusababisha kifo cha marehemu Kaselida Mlowe wa mjini Njombe.
Akisoma hukumu hiyo 08 Mei 2023, Hakimu...
Nauliza tu kama hilo linawezekana kwa sababu mchungaji Dr Kimaro amekuwa ni hitaji la wanajamii wengi bila kujali madhehebu wala dini
Enendeni Duniani kote mkahubiri Injili kwa kila kiumbe Marko:16:15-18 hili ndio agizo kuu la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo
Mbarikiwe sana!
NB: mods nawaomben msihamishe huu uzi jukwaa,kuuedit,au kutoa kipande chochote kile, kwa niloandika, Kuna funzo kubwa sana hapa kuzuia kasi ya mmomoo wa maadili (Moral Decay) ambao unazidi kumea.
Ni jukumu letu kama wakristo kujaribu kukumbusha waumini juu ya wajibu wao kuvaa mavazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.