Moshi. Hali bado si shwari ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki baada ya aliyekuwa askofu wake, Dk Stephen Munga kumwandikia barua kiongozi wa dayosisi hiyo, Askofu Msafiri Mbilu akipinga tuhuma alizopewa.
Mbali na hilo, Munga pia...
Imebidi niingie chimbo kuchunguza mgogoro huu wa Dayosisi ya Konde.
Wazungu wanasema penye mgogoro usiotaka kuisha- FOLLOW THE MONEY!
Kiti cha Askofu kimeshindwa kurudishwa Tukuyu maana ofisi ya Tukuyu ilimokuwa Dayosisi imeuzwa au kupangishwa kwa milioni 200.
Ofisi wameuziwa au kupangishwa...
Mambo mengine ni kushangaza sana inakuwaje Kanisa lenye waumini wengi kujiendesha kama klabu ya pombe hukuna maelewano ni vurugu, tamaa ya mali hakuna uungu hapo.
Siku chache baada ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, (KKKT), Dk Fredrick Shoo kuagiza kiti cha Askofu Dk...
Mfanyabiashara Davis Mosha leo ameongoza Harambee ya ujenzi wa Kanisa, Katika misa ya harambee hiyo iliyoendeshwa katika Kanisa la KKKT usharika wa Arusha Mjini, Davis Mosha aliyeongozana na Familia yake aliweza kuchangisha jumla ya kiasi cha Shilingi Milioni mia nne.
Akizungumza katika Hafla...
Maaskofu KKKT nchi hii wanaonesha ndiyo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na Ask Shoo na Bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa Kanisa Katoliki wakikemea mauaji aliyofanya Sabaya au Makonda zaidi ya kumsifia Makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya JPM kupitia kwa Kardinali Pengo...
Askofu Mengele -katikati na Askofu Mwikali aliyesimama walipoita waandishi wa habari wakijieleza.
Askofu Mengele amefunga safari kwenda Mbeya kumpa tafu Askofu mwenziwe Askofu Mwaikali ambaye ana tuhuma zinazo muweka katika sintofahamu na kondoo wake.
Kitendo cha kupeana tafu kati ya hawa...
Askofu mkuu wa KKKT Dr Shoo amesema anamfahamu vizuri Freeman Mbowe ambaye amewahi pia kuwa mbunge wake na hakuwahi kuiona tabia ya ugaidi moyoni kwake, hivyo atashangaa sana kama Freeman ni gaidi
Askofu Shoo amesema haki itendeke katika kesi hii ambayo inafuatiliwa na watu wenye mapenzi mema...
Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.
Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu...
Ndugu Maaskofu wetu.
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Sina wasiwasi na Viongozi wetu wa dini wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri kuwa soon mtatupa muongozo wenu, kuhusu suala hili la katiba mpya ambalo serikali ya CCM inajaribu kulikwepa.
Mababa askofu nawaandikieni barua hii kwa sababu CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.