kkkt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

    Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu. misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya...
  2. 3 Angels message

    Mchungaji Eliona Kimaro arejea KKKT Kijitonyama

    Leo ikiwa ndiyo hitimisho la likizo ya siku 60 alizopewa Mchungaji Kimaro akiwa pia amepewa msamaha na Kiongozi wake mkuu Dr Malasusa Mchungaji Kimaro amerejea tena Kanisani Kijitonyama ambapo waumini wake wamemlaki kwa nderemo na vifijo Pia, soma: - Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT...
  3. S

    Mnaosali KKKT bado mna imani na kanisa hili? Mbona migogoro imetamalaki?

    Migogoro ktk kanisa hili imeota mizizi na inakuwa sehemu ya utamaduni wa kanisa hili. Ukiingia kwenye mitandao ukatfuta historia na taarifa za migogoro utakutana na lundo la migogoro iliyowahi kuripotiwa. Nitawakumbusha michache. 1. Wakati wa mgawanyo wa Dayosisi ya Pare na Mwanga maaskofu...
  4. J

    Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote Askofu Malasusa amemtangazia msamaha Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi Chanzo...
  5. mtwa mkulu

    Hali ni mbaya KKKT wanauza magari waliyomnyang'anya Askofu Mwaikali Dayosisi ya konde

  6. figganigga

    Je, ni kweli Mtumishi wa KKKT Kijitonyama kadokoa sadaka madhabahuni?

    Kuna Video nimeona sehemu, ambayo watu wanasema Mtumishi huyu wa Mungu kadokoa Sadaka Madhabahuni mwa Bwana. Mimi naiangalia mara mbilimbili siamini macho yangu. Nimeamua kupost hapa ili wataalamu wa Video wasaidie kudadavua. Je, huyu Kadokoa sadaka? Kama kadokoa sadaka, karma itamuacha...
  7. chiembe

    Hofu yatanda KKKT Dayosisis ya Mashariki na Pwani, baada ya kumfyeka mchungaji Kimaro, panga la Askofu Malasusa kuwafyeka mchungaji Mbiso na Masai

    Wachungaji wanahaha kwa hofu kuu wakihofia upanga mkali. Kuna taarifa zimesambaa kwamba Askofu Malasusa anaunoa upanga wake kuwamaliza Mbiso na Masai. Mbiso na Masai, kama Dk. Kimaro, pia nyota zao zinawaka kkwa kiasi Cha kumfanya Askofu Malasusa awachukie. Muda wowote na wao watafyekwa.
  8. Alex Fredrick

    KKKT acheni Mfumo Dume

    Miaka ya nyuma na udogo wangu nimekuwa nikiabudu KKKT Usharika wa Kariakoo. Niliacha kuabudu KKKT mwaka 2008 nadhani kipindi hicho Kimaro ndo kapewa Usharika wa Kariakoo.. Niliondoka baada ya kuona Ibada zimekuwa za kawaida sana sio za kuongozwa na Roho kama Biblia inavyotaka. Mwanzilishi wa...
  9. peno hasegawa

    Tetesi: Wachungaji kumpigia Kura Mch. Dkt. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama kuwa Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani

    Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu, Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa...
  10. mirindimo

    KKKT Dayosisi ya Pwani, pesa za miti mlizochangisha ziko wapi?

    Hii Dayosisi ina makando kando mengi sana, walichangisha pesa kwa ajili la kupanda miti ekali zaidi ya 1000 kwa makanisa yote ya Dar es Salaam kuwa ule mradi ni wa vijana leo hii hakuna hata mchicha umepandwa na si ajabu yale mashamba wameshagawana maaskofu. Ikitokea mtu akasema ukweli kua...
  11. Jidu La Mabambasi

    KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

    Kanisa ka Kiinjili, la Kilutheri Tanzania, KKKT ina historia , na ni taasisi ya muda mrefu. Ina taratibu na kanuni zake , mchungaji au mtumishi atafanya mbwembwe zake zoote lakini lazima awe ndani ya utaratibu wa Kanisa. Mtumishi akiwa na Karama au upako lazima aongozwe na hekima, na siyo...
  12. BARD AI

    Waumini wa KKKT Kijitonyama waanza kuulizwa namba za Bahasha za Sadaka mlangoni

    Siku moja baada ya Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kijitonyama Dk Eliona Kimaro kupewa likizo, ibada ya asubuhi (Morning glory) imefanyika huku idadi ya waumini ikiwa ndogo tofauti na ilivyozoeleka. Licha ya uchache huo wa waumini pia baadhi ya viongozi...
  13. chiembe

    Mchungaji Hananja: Wachungaji KKKT wakihoji vitendo vya viongozi kuuza Mali za kanisa, wanafukuzwa, asema na yeye alisimamishwa mwaka mmoja

    Mchungaji Hananja akihojiwa na Bongo5 (ingia YouTube, kaongea nusu saa nzima) ameeleza uonevu mkubwa wanaofanyiwa na viongozi wakuu wa kanisa, na anasema yeye aliandikiwa barua na kiongozi mkuu wa kanisa kumsimamisha kazi bila mshahara kwa mwaka mzima, bila sababu yoyote ile. Hananja anasema...
  14. chizcom

    Kama Martin Luther aliweza kujitoa kanisa la Roma na kuunda KKKT, kwani Mchungaji Kimaro anashindwa nini?

    Historia KKKT ilitokana na Martin Luther baada ya kuona kuna tatizo ndani ya kanisa la Roma kama kuomba msamaha kwa kuwa na kadi na mambo mengine kibao. Kwa haya yanayoendelea KKKT sio leo wala jana inaonesha idadi ya walokole hutokea KKKT na wachungaji wao ambao wamekwazana. Leo Mchungaji...
  15. J

    Tusisahau kuwa Dkt. Eliona Kimaro ni Mwajiriwa wa KKKT anayelipwa mshahara kila mwisho wa mwezi!

    Tunakumbushana tu kwa sababu maneno yamekuwa mengi kufuatia Mchungaji Kimaro kupewa Likizo ya lazima na mwajiri wake ambaye ni KKKT. Hiyo ni kawaida sana kwenye ajira za Sekta binafsi Tusikuze mambo na kumpa faida shetani
  16. T

    Mch. Kimaro wa KKKT niliziona Mbio zake nikajua mwisho hautokuwa mzuri

    Katika kumtumikia Mungu Kuna dhambi moja inawashusha nakuwapoteza watu wa Mungu wengi, dhambi hii imeandikwa hata ktk maandiko matakatifu. Neno la Mungu linasema kijapo kiburi na majivuno basi mwisho wake ni kuanguka. Kiburi na majivuno ndio kitanzi cha watu mashuhuri wengi. Unaweza kuniuliza...
  17. Valencia_UPV

    Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

    Tujikumbushe, projects kadhaa ambazo Mchungaji Dkt. Kimaro amezifanya akiwa Mchungaji Kiongozi, KKKT Usharika wa Kijitonyama, 1. School of Healing (Morning & Evening Glory) -Youtube Channel (mwanzoni ikiwa Eliona Kimaro TV baadae KKKT Usharika wa Kijtonyama) inayowafikia watu wote Duniani. 2...
  18. chiembe

    Baada ya kumshughulikia Mwaikali, wamehamia kwa Kimaro. Viongozi KKKT hawataki nyota za wenzao kuonekana? Who is next?

    kKKT ni kama Ina udikteta, imejaa viongozi wenye roho mbaya sana, makatili, washirikina, wamejaa wivu, husda. Askofu Mwaikali aliondolewa kwa njia ya kuhudhunisha sana, taratibu zote za kanisa zilivunjwa kwa makusudi kwa lengo moja tu, kumkandamiza, kumuonea, kumdhalilisha Kuna askofu...
  19. M

    Mch. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameishinda vita hata kabla haijaanza. Muda utazungumza

    Mch. Eliona Kimaro ameonesha ukomavu wa kiroho na wa kiutumishi wa hali ya juu sana. Baada ya kupewa barua ya kutakiwa kuchukua likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba bila shaka maana alipanga kuendesha semina), inayomlazimu kusitisha semina aliyokuwa ameianza hapo kanisani kwake, na kutakiwa...
  20. D

    KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Naomba nianze kwa kuwapa pole waumini ambao walibarikiwa na mchungaji kimaro! Kazi ya kitume ni kama mvua, inanyesha kwa wakati wake na kupisha kwa muda ili shughuli zingine zifanyike, mpate muda wa kupanda, kuvuna, na hata kuezeka panapovuja. Yamkini mvua ya mahubiri ya mchungaji kimaro...
Back
Top Bottom