kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. Kocha gani anafaa kurithi mikoba ya Ten Hug pale Manchester United?

    Wana Man Utd, Xavi au Nagelsmann yupi anafaa kuwa kocha mpya wa Man Utd? Kipara ngoto kashaondoka. Yupi anayefaa? Pia soma > Erik Ten Hag atimuliwa Manchester United baada ya kipigo dhidi ya West Ham United
  2. S

    Ali Kamwe: Tunaujua Ubora wa Kocha wa Simba

    Alishinda mechi moja kati ya 15, Maritzburg ikashuka daraja, baada ya hapo akawa Msaidizi hadi kaja kuibukia huku, sisi tunajua quality yake ni ndogo, huwezi kumlinganisha na Gamondi ni ndogo mno. Mimi ningepewa ile Pamba nikae nayo wiki moja tu, nawafunga wale"
  3. D

    Wazo la nani, Taifa stars kuwa na kocha hana International or local games experience kabisa??

    I will be short 1. Taifa stars inahujumiwa na watu wa TFF. Kuna watu waondoke stars tuwe modern?? What was that?? Kocha wa stars kama a dummy asiye na akili. What was that substitution?? AFCON he did the same. 2. Who hired a manager who has 0 achievements in the local league? not a single...
  4. Kocha mpya unaekuja wa United panga timu yako hivi ili umalize top 6

    Leo kipara ngoto anasepa.
  5. Kocha aliyepewa "THANK YOU" Azam FC, Youssouph Dabo aibukia AS Vita Club ya DRC

    Youssouph Dabo ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa AS Vita Club, klabu maarufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Dabo anachukua nafasi hii baada ya kuachishwa kazi na Azam FC, ambapo aliifundisha timu hiyo. Uteuzi wa Dabo unakuja wakati ambapo AS Vita Club inahitaji kuimarisha...
  6. Kocha Miguel Gamondi tayari kajaa kwenye mfumo wa viongozi wa Yanga Sc kwa kumpa dakika za kutosha Chama mbele ya Pacome

    Naam wanajukwaa, Goli alilofunga Aziz K dhidi ya CBE na kutoshangilia lilikua na maana kubwa sana tena sana na hilo goli alifunga akitokea Sub baada ya Chama kutoka. labda kuna mashabiki watakua wanauliza hiyo ina maana gani kiukweli Azizi k hakua na Furaha kutokea bench na ndiyo maana ufungaji...
  7. Mwambieni Jean Othos Baleke aje haraka sana atuombe Msamaha Simba SC, akikaidi Kocha Gamondi ataendelea Kumkandia aione Tanzania Chungu

    "Nitakuwa ni Kocha wa ajabu niache Kuwapanga akina Dube na Mzize ambao wananionyesha bidii kubwa kuanzia Mazoezini na hata katika kila Mechi ambazo huwa nawapanga halafu nimpange Baleke ambaye hata nikimpa tu nafasi kwa dakika chache hakuna anachonipa" amesema Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel...
  8. A

    Kocha Fadlu Kumbuka kuwaandaa wachezaji wako kwa mikwaju

    Zipo kila dalili mechi ijayo dhidi ya Walibya ikaisha kwa sare tasa.. Naomba nimkumbushe Mwalimu kwamba, Simba siku hizi imekuwa haina record nzuri pale inapotokea mechi zake kuamuliwa kwa matuta na timu za nje. Hii ni kwasabu makocha wamekuwa wakitoa zero priority kwny ku train timu kwa...
  9. Ken Gold yaachna na Kocha wake

    🛑Klabu ya KenGold ya Chunya Imeripotiwa kuwa iimeachana na aliyekuwa kocha wake Mkuu Fikiri Elias kwa makubaliano ya pande zote mbili.
  10. Samata na Msuva sio tatizo la Taifa Stars bali ni kocha mwenye ujuzi kama Benchika au Gamond

    Kupangwa au kutopangwa kwa Samata na Msuva sio tatizo la Taifa Stars bali ni kocha mwenye weledi wa hali ya juu kufundishia timu ta Taifa Stars. Kumbuka timu ya Taifa Stars ndio timu pekee yenye wapenzi wengi wa soka kuliko hata Simba na Yanga hapa Tanzania. sasa kumchagua kocha mzalendo...
  11. A

    Kocha Abdel Amrouache arudishwe haraka. Hawa hawatufikishi popote

    Habari ndugu zangu, Kundi letu lipo wazi mno.. ( Tanzania, DRC, Guinea na Ethiopia) Ngoja niwakumbushe jambo, kuelekea Afcon ya 2019, Tulianza na kocha mzawa Salum Mayanga. Tukadroo 1-1 mchezo muhimu wa kwanza na Lesotho tukiwa nyumbani. Tukafukuza kocha...tukamleta kocha mpya mnigeria...
  12. TFF tafuteni kocha

    Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa nyuma kimpira ikishika nafasi ya zaidi 120 duniani, hakuna maendeleo mazuri timu ya taifa na wahusika wapo tu ni kama tumeridhika na hiyo nafasi tuliyonayo. TFF TAFUTENI KOCHA mwenye CV nzuri. Maendeleo ya mpira yanataka uwekezaji. Tunahitaji Kocha anayeweza kuja...
  13. Job kurudishwa national team Unafki wa kocha hemed moroco umejidhihirisha?

    Wakuu. Sote tulilaumu sana kwa kipindi kile kocha moroco kutomuita the big brain defender na hata tukapuuzwa kwa chuki zake za kijinga za kocha huyu, leo sasa mwenyewe kajirudi mwenyewe Hemed.🗣 Dickson Job ni mchezaji wa timu ya taifa na amerudi kwenye timu ya taifa na hii ni baada ya...
  14. R

    Kocha wa Azam FC hawezi kupona kwa hii aibu.

    Kwa uwekezaji na usajili walioufanya Azam fc halafu wanatolewa round ya kwanza kwenye klabu bingwa ya Africa, Dabo ameonyesha madhaifu makubwa kupigwa 2-0 na Apr ya Rwanda.
  15. UTABIRI MSIMU 2024/2025: Nani atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa?

    Kutoka ligi yoyote duniani. Mi nadhani Hawa hapa hawatomaliza msimu na pengine hawatafika hata Christmas. i)Eric Ten Haag ii)Fadlu Davies iii)Mourinho iv)Vincent Kompany Wewe mwanamichezo unahisi kocha gani atafukuzwa mapema?
  16. Yaani kabisa eti Kocha Msaidizi huko alikotoka leo hii mnategemea aje akutane na Warithi wa Maradona Kigamboni na mchukue Ubingwa NBC na CRDB FA Cup?

    Tajiri keshajua kuwa anamiliki Timu yenye Majuha wengi na Mashabiki wenye Ujuha ndiyo maana anafanya alitakalo.
  17. Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

    Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ameangukia pua baada ya mahakama kutupilia mbali rufaa yake. Ntuyabaliwe aliitaka mahakama iutambue waraka wa wosia wa marehemu Mengi ambao ulikataliwa na mahakama kuu. USSR --- Mahakama ya Rufani imetupilia...
  18. Kocha wa Simba: Mechi ya kesho dhidi ya Yanga ni nyepesi

    Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho dhidi ya Yanga ni wa kawaida na hana presha nao na yupo tayari kuibuka na ushindi. Yapi maoni yako?
  19. Ukimtazama huyu amefanana na kocha gani hapa Tanzania?

  20. Kama uongozi wa Simba utamwamini kocha Fadlu David. Leo leo lazima Tutapigwa na APR na kocha atakuja na Maneno ya matumaini tu

    Washabiki tuko Siliasi sana kutokana na Simba ilivyojipaga kwenye Media msimu huu. Kwa cv ya Fadlu David ilivyo. Ni kocha flan ivi kama Julio. Maneno mengii matokeo 0. Kama uongozi haujaongea lolote na APR basi leo tunaenda kutia aibu alafu kocha atakuja na maneno mingi mingi tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…