Bila kupoteza muda moja kwa moja kwenye mada.
Kwa mambo na mwendelezo wa jaribu tena FC aka makolo,kocha Benchika ni vema ukajitenga na timu hii kwa faida yako.
Timu ipo kiuswahili Swahili sana na kuendeshwa kijanja janja.
Msimuu huu hutaambulia taji lolote hapa utaenda kuchafua CV yako nzuri...