"Nafurahi sana kusikia Yanga SC inafanya vizuri, hiyo ni familia yangu, sijaondoka kwa ubaya Yanga, ni familia ambayo niliachana nayo kwa muda huku nikiwa na huzuni kubwa moyoni"
"Nafurahi kuona mambo yanaendelea vizuri hapo Yanga, hata walipowafunga Simba mabao (5) nilikuwa na furaha kubwa...