Tujenge mfumo rafiki na unaotabirika wa kodi,Utahamasisha ulipaji kodi kwa hiari kwa kuwa utachochea ukuaji mitaji,tuumize akili Tanzania inufaike na nafasi yake ya kijiografia kujenga uchumi unaozalisha,aidha tujiulize wanaostahili kulipa kodi ni watu milioni 27 lakini wanaolipa kodi sasa ni...