Katika jambo la hovyo ambalo sijawahi kulielewa ni hili la wenye nyumba kudai kodi miezi mitatu mpaka sita.
Nini hasa kinachosababisha mwenye nyumba atake kodi ya miezi mitatu au sita?! Duniani kote kodi huwa inalipwa mwezi mmoja mmoja na pesa ya tahadhari ya ziada inawekwa ni mwezi mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.