Julai 24, 2025, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda, alitoa wito kwa wafanyabiashara wa mitandaoni ambao hawajajisajili na TRA kujisajili mara moja ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
Kamishna Mkuu Mwenda alisema wametoa mwezi mmoja kuanzia Agosti Mosi mpaka...