Habari wakuu. Nawatakia nyote kheri ya mwaka mpya.
Mimi ninahitaji chumba self maeneo ya Kimara , liwe eneo la karibu na barabara, kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi. Nipo tiyari kulipia kodi kwa miezi mitatu ya mwanzo.
Mwenye nacho naomba tuwasiliane.
Asante
Wafanyabishara wadogowadogo Kenya, maarufu kama Juakali wameungana na kuingia barabarani kuunga kodi mpya ya kwa ajili ya ujenzi wa nyumba iitwayo housing levy.
Tukumbuke kodi ndio msingi wa maendeleo, na Tanzania itajengwa na watanzania
====
A group of youth on Thursday flocked the streets...
Kwa heshima na taadhima ninamuomba Waziri wa Tamisemi asitishe mafunzo haya kwani katana tija na ni upotevu mkubwa wa fedha Za umma.
1. Mafunzo Haya watumishi wanasafiri kipindi cha sikujua Za mwisho wa mwaka
2. Mafunzo Haya tafanyikie kwenye kila mkoa au kila Wilaya
3. Fedha Za mafunzo Haya...
Mimi napenda kutoa mawazo baada ya utafiti na huu hapa ni utafiti wangu wa usafiri.
Kwanza nianze kueleza hali ya sasa ya pato la basi mmoja kama mfano kutoka Dodoma kwenda Dar. Hili halijazingatia gharama za gari kama mikopo, registration , bima..... na mengineyo
Haya ndiyo makadirio ya...
Yaani nakatwa kodi kubwa hivyo kwa mwezi lakini hata kuwa na umeme wa uhakika imeshindikana?
Hela hizi ni bora nirudishiwe nitafute jenereta kubwa niliwekee mafuta.
Naona kama mama nae anaenjoy tuu wala haoni kama hili ni tatizo kwake anakula tu good time na machawa wake huko DUBAI.
Yani tunashinda mchana bila umeme, usiku ndio umeme unarudi hakafu asubuhi unakatika tena, mambo gani haya! nani unamuhudumia huo usiku huo.
😜😜😜😜😜😜😜Ila hata UNIT za LUKU...
Wilfred Lucas Tarimo siyo jina geni kwa watu wa kaskazini hasa mkoa wa Kilimanjaro na Arusha kutokana na baba yao mzazi mzee Lucas Tarimo[Marehemu] kuwa na utajiri kumkaribia Reginald Mengi.
Mtoto wa Mzee Lukas Tarimo aitwaye a Wilfred Lucas Tarimo ambaye sasa ni mmiliki wa Snow Crest lakini...
Wananchi wameonesha kutokubaliana na mabadiliko ya Muundo wa Bajeti mpya ya Serikali ya mwaka 2024/25 ikiwa ni chache baada ya Serikali kutangaza Makadirio ya Mapato na Matumizi ambayo yamehusisha ongezeko la Gharama za 'Pasipoti' kutoka Tsh. 300,680 hadi Tsh. 501,133.
Mbali na Hati za...
Serikali imeeleza kuwa itakuwa inafanya marekebisho ya kodi kila baada ya miaka mitatu ili kuwa na Sera ya kodi inayotabirika na kuwafanya wawekezaji kuweka mipango yenye ufanisi.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, akieleza kuwa Serikali imeweka Sera ya Kodi inayotabirika...
Shirikisho la Waajiri (FKE) limesema kati ya Oktoba 2022 hadi Novemba 2023, takriban Watu 70,000 wanaofanya kazi katika Sekta Binafsi walipoteza kutokana na mazingira magumu ya uendeshaji wa Biashara yanayochangiwa na Kodi zisizohimilika pamoja na athari za #UVIKO19.
Pia, FKE imesema Sekta...
Salaam Shalom,
Enzi ya Magufuli, Ukiwa na kitambulisho cha matching guy cha 20,000 Kwa mwaka, TRA Wala Jiji walikuwa hawakusogelei ukiwaonesha.
Ndipo nikajua kuwa, Watanzania wanapenda kulipa Kodi inayoendana na uwezo wao.
Ndugu yule, alifanikiwa kukusanya pesa nyingi sana Kwa mfumo Rahisi...
Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri.
Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni ya kuungaunga hayana Afya yoyote hivyo ni vema Serikali ikawaangalia kwa jicho la Huruma.
Jumaa...
Magari ya umma. Yanatumika kumpokea kada wa CCM.
Hii sio fair kabisa.
Kodi tunalipa watanzania wote sio wanaCCM peke yao.
Sasa kwa nini kodi zetu zitumike kwenye shughuli za CCM?
MIAKA MITATU YA SAMIA NA UKWAPUAJI WA MATRILIONI YA PESA ZA WALIPA KODI.
Na Mwandishi wetu
5 November 2023. 23:05 Botswana
🔹Nimekuwa nikisema mara nyingi Uongozi makini ni ule uongozi unaowajali wananchi na kujali maslahi ya nchi na taifa lakini kwa uongozi huu ni bora uongozi na sio uongozi...
MHE. ESTHER MALLEKO ALISHAURI BUNGE KUTUNGA SHERIA ZA KUWADHIBITI WABADHIRIFU WA FEDHA ZA WALIPA KODI
"Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan, nayasema kwa moyo wa dhati kwa namna ambavyo ameweza kufanya kazi kubwa. Tumeona miradi mikubwa inayofanyika katika Majimbo na mikoa yetu. Nitakuwa...
Tumeanzisha mfuko wa kuchangia bima ya afya chanzo cha mapato yake ni kubeti.
Ni kweli kwamba wanaobeti wengi wana matatizo ya akili na hivyo kuwawekea kiasi cha fedha zao kwenye matibabu ya afya zao ni jambo jema.
Ni kweli kwamba wanaobeti wengi ni jobless hivyo kupata fedha za kujitibu ni...
Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.