kodi

  1. Yoda

    Serikali shirikisheni kampuni binafsi za ukaguzi za "Big Four" kudhibiti ukwepaji kodi

    Mnachotakiwa kufanya ni kila mwaka kuwapa kandarasi mmojawapo Big four wa audit ambao ni KPMG, E&Y, PWC au Delloite wafanye ukaguzi wa nje "External Audit" kwa wafanyabiashara wakubwa 1000 na wa wakati 1000 ambao mahesabu yao ya kodi tayari yameshapitishwa na TRA. Hao wafanyabiashara wakubwa na...
  2. K

    Kwako Rais Samia, fupa la ukwepaji Kodi Kwa wafanyabiashara wape wanunuaji wamalizane nalo lakini Serikali iwahamasishe kwa gawio katika manunuzi

    Kwako Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe.Rais, kwa namna ya pekee pekee ninapenda kuchukua nafasi kukupongeza kwa kuwa kielelezo Cha safari ya mabadiliko makubwa kwenye nyanja mbalimbali katika Taifa letu na kubwa zaidi...
  3. R

    Shabiby analipa kodi yoyote kwenye mshahara na posho zake?

    Shabiby ni moja ya wabunge mabepari ambao wamekwama kabisa kufikiri. Yeye ndiye anayeongoza kushawishi nauli zipande , ndiye aliyesababisha hasara kwenye ujenzi wa reli kwa kulipwa mabilioni kubeba wafanyakazi na hakulipa kiasi chochote cha kodi wala kuwalipa wafanyakazi vibarua malipo ya mifuko...
  4. Pascal Mayalla

    Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ziko kwenye magazeti mawili, Gazeti la Nipashe la kila Jumapili na gazeti la Mwananchi la kila Jumatano, pia kuna kipindi cha TV cha KMT, kila Jumapili saa 3:00 usiku na marudio Jumatano saa...
  5. TRA Tanzania

    Makusanyo ya kodi katika robo tatu ya mwaka 2023/24

  6. M

    Gharama za kuagiza gari, kodi za TRA, usajili hadi kumfikia mtumiaji

    Habari za mida hii wanajf. Kama kichwa kinavyosomeka. Kuna jambo huwa najiuliza kwenye suala zima la kuagiza gari kwa kutumia beforward, tcv, sbt, n.k. Nikipitia kwenye websites zao unakuta kwenye bei ya gari ni Tsh. 5,000,000/- na kwenye bei ya jumla sehemu ya Clearing & forwarding kwa port ya...
  7. W

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala atoe ufafanuzi hii kodi ya taka inayodaiwa mtaani bila risiti

    Mwenyekiti anakwambia uwe na shimo la kuchomea taka nyumbani unafanya, hujaakaa vizuri wanapita watu wanataka utoe elfu tano ya taka kwa mwezi na wanasema ni maagizo ya Mkurugenzi, tunataka ufafanuzi
  8. M

    Kwanini asisifiwe Mwananchi anayelipa kodi inayotekeleza miradi ya kitaifa?

    Umejengwa utamaduni wa ajabu kwa kutoa Sifa kwa viongozi wa kisiasa wanaposimamia utekelezwaji wa miradi ya kitaifa, na kusahaulika Mwananchi ambaye ndiye aliyemwaga jasho kutafuta pesa na kuipa kodi kwa ajili ya kutekeleza miradi hiyo. Sifa hizo kwa sasa zimeenda mbali zaidi kusifia hata pale...
  9. Riskytaker

    Rais Samia atoke hadharani aseme hizo pesa za goli la mama zinatoka mfukoni mwake au ni Kodi ya raia maskini

    Pesa ambazo Rais anazitoa kwa wachezaji wanaolipwa mishahara ya mamilioni eti kwa kufunga GOLI zinatosha kujenga zahanati simiyu ndan ndan Huko. Haingii akilini kumwaga pesa kwa watu wanalipwa mishahara na timu zao Kama ni motisha aseme timu ikishinda kombe atatoa zawadi yenye kiasi fulan...
  10. Webabu

    TRA ifanye marekebisho matumizi ya mashine za EFD ili watu walipe kodi kwa furaha

    Matatizo ya mashine za EFD yapo ya aina nyingi tangu umiliki wake mpaka katika matumizi. Ukichunguza sana utagundua hizi mashine kama hazifanyi kazi ya kukushanya kodi peke yake bali na kumnyonya mfanyabishara. Hali hiyo ndiyo inayopelekea kufukuzana baina ya watumishi wa TRA na walipa kodi 1...
  11. mwanamichakato

    Ubabe wa TRA, ugumu wa biashara na utitiri wa kodi; nini kifanyike?

    Mamlaka ya mapato Tanzania ni chombo muhimu sana ktk kuijenga nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. TRA wana majukumu makubwa ya kukusanya mapato ili kufanikisha ulipaji wa gharama mbalimbali Za kuendesha Serikali (Matumizi,Miradi,Ulipaji madeni yanayokopwa nje na ndani). Kimsingi...
  12. Mwamuzi wa Tanzania

    Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

    Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi. Viwanda vingi malipo ni sh. Elfu 5000 kwa siku, hii maana yake lisaa limoja la kazi ni...
  13. D

    Natengeneza mfumo wa kukusanya kodi baada ya miaka 10 utakuwa na uwezo wa kukusanya usd billion 700+ kwa kila mwaka wa fedha

    Kama kisemacho kichwa cha habari kwa sahivi natengeneza mfumo wa kodi ambao ukiwa adopted baada ya miaka 10 utakua na uwezo wa kukusanya usd billion 700+. Nikimaliza ntawapa mrejesho.
  14. Mjanja M1

    Msaada kuhusu kodi ya meza

    Mtu ukiwa umeoa kila siku mezani unatakiwa kuacha kuanzia shingapi?
  15. Last Seen

    Kwanini sisi tunaobeti tunakatwa Kodi ila hatutambuliki na TRA kama walipa kodi?

    Habari wana Jamvi, Ninafarijika sana kuona kiwanda chetu cha kubeti kimetambulika kuzalisha ajira zaidi ya 25,000. Sisi kama wabetiji tuna dukuduku, ni kwa nini kwa kila mkeka tunakatwa kodi, Kwa nini hatutambuliki na TRA? === "Sekta ya michezo ya kubahatisha Tanzania imefainikiwa kuzalisha...
  16. Roving Journalist

    Mjadala kuhusu Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2024:

    Mjadala unaofanyika kwenye Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2024: https://www.youtube.com/watch?v=flJ-sm9Ke0A MDAU: KUNA UTAMADUNI WA TRA KUTOA BENKI FEDHA ZA WATEJA WAO WENYE MIGOGORO YA KIKODI BILA USHIRIKISHWAJI Mdau ameshauri mamlaka ya...
  17. BARD AI

    Watanzania wengi wanashindwa kumiliki Magari mapya kwasababu ya Utitiri wa Kodi

    Kama ni mfuatiliaji wa aina za Magari yanayomilikiwa na Watanzania walio wengi, utagundua kuwa asilimia kubwa wananunua Magari ambayo ni "Used" tena kwa miaka 10 au 15 nyuma, na yote ni sababu ya wingi wa Kodi za ajabu ajabu kutoka Mamlaka za nchi hii. Tofauti na ukienda nchi za wenzetu mfano...
  18. Mjanja M1

    Dkt. Mwinyi aondoa kodi ya sukari Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye sukari ili kuwasaidia wananchi kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kutopanda bei ya bidhaa hiyo. Dkt. Mwinyi amesema hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara wa...
  19. BigTall

    Wakusanya kodi za mabango Ilemela hawataki kutoa ‘control number’, wanataka ‘Cash’

    Kuna kero kubwa sasa hivi Watu kutoka Halmashauri ya Wilaya Ilemela Jijini Mwanza wanapita kila ofisi wanataka kodi ya mabango na ukiomba control namba hawataki kutoa. Tunamba Serikali iondoe hiyo kodi kwa sababu mteja anajitangazia biashara zake kupitia bango ili apate kodi ya TRA, jamanI sisi...
  20. A

    KERO Serikali ibadilishe mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo, washushe mzigo kwa Wapangaji uende kwa Wamiliki

    Naiomba serikali iweke chaguo katika ulipaji wa kodi ya majengo. Serikali iandae mfumo wa kuomba Control number kupitia namba za mita ili mwenye jengo aweze kufanya malipo kwa muda anaoutaka na ikiwa hajalipia kwa muda fulani mfano miezi 6 au mwaka mzima basi deni hilo lihamishiwe moja kwa moja...
Back
Top Bottom