Salaam wana JF
Weekend imeendaje kwenu
Moja ya vitu vinasikitisha katika mamlaka na baadhi ya watendaji wasio waaminifu ni kufuja mali za umma na wizi uliokithiri
Hii huenda imeshuhudiwa na wengi zaidi na vingine vikionekana tu viashiria lakini hakuna jibu la moja kwa moja kubwa kuna wizi...
Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
Kumekuwa na kero nyingi toka kwa TRA mkoa wa Iringa zinazooelekea migomo ya wafanyabiashara wa bidhaa mbalimbali na hata sisi wafanyabiashara wa mbao tuna mgomo.
Zifuatazo ni kero tunazokumbana nazo wafanyabiashara wa mkoa wa Iringa (Wilaya zote 3 za Mufindi, Kilolo na Iringa)
1...
Wakulima wa mbunge katika Wilaya ya Mbalali, Mkoa wa Mbeya, wa nyimbo na changamoto ya kodi na kodi ambazo zinatishia uhai wa shughuli zao za kilimo. Kwa mujibu wa malalamiko yao, mkulima huyu hutozwa malipo ya shilingi 50,000 kwa heka moja kwa ajili ya mifereji ya maji. Hata hivyo, hakuna...
Nakumbuka miaka hiyo ndio nimepata kazi benki Fulani, nikapata nyumba Sinza ya mama mtu mzima kijana.
Akanikaribisha sana, hakuwa na noma, nilipokuja kununua flat TV enzi hizo plasma tv ndio zimetoka, hamna cha LCD na LED ni ndoto kabisa, yaani ndio kwanza watu wachache sana tumeamza kujikwamua...
Mnamo tarehe 9/05/2024, Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ilitangaza kuanzisha kodi mpya ya sherehe katika wilaya hiyo. Kodi hii imeelekezwa kulipwa na wenye sherehe (waandaaji wa shughuli), jambo ambalo limezua mjadala mkali miongoni mwa wakazi wa wilaya hiyo. Wakazi wanahoji mantiki ya mwenye...
Mamlaka ya Mapato wamekuwa wakijitahidi sana kukusanya mapato (kodi) kwa kutumia mbinu mbalimbali ili kufikia malengo ya mwezi na mwaka. Mpanuko wa mahitaji ya fedha katika nchi umekuwa ukiongezeka kila leo na kila mwaka, hivyo mahitaji ya fedha yamekuwa makubwa hata kupelekea nchi kukopa zaidi...
Mtazamo wangu naona serikali iweze kupunguza kodi kwa wawezekaji ili waje kwa wingi vijana wengi waweze kupata ajira.
Tazama hata nchi zilizoendelea ajira ni nyingi mpaka watu wanafuatwa na kampuni ili waajiriwe angali bado mtu yupo chuo.
Hivyo inasababisha hata maendeleo kwa nchi kwani kodi...
Nimekutana na hizi clip mbili naona msisitizo wa maswala ya kodi. Kweli nimeamini bila kodi nchi haiwezi sogea. Nadhani kuna umuhimu na tra wakaongeza nao elimu kuhamasisha ili tujue taratibu na aina za kodi tunazopaswa lipa.
Nafahamu kuna kitengo cha elimu kwa mlipakodi wito wangu kiongeze...
Manispaa ya Moshi chini ya Sheria ndogo za (ada na ushuruj ya Mwaka 2019, Tangazo in Serikali Na. 148 la Tarehe 15/02/2019, imeainisha ada na tozo mbalimbali katika kuendesha sherehe kwenye kumbi na maeneo ya starehe.
Mchanganuo wa ada na tozo hizo ni kama ifuatavyo;
Tshs. 60,000.00, Kibali...
Nimesikiliza clip mbili za Waziri wa fedha Mwigulu Lameck Nchemba akizungumzia kuhusu ukusanyaji wa kodi na ingine akiongelea madeni ya kodi bungeni leo. Kuna ujumbe naona kama waziri alikuwa anamjulisha mtu bungeni leo sijajua ni nani hasa.
PIA SOMA
- Serikali yasisitiza matumizi ya mashine za...
Wafanyabiashara waelewe ukikusanya kodi ya mauzo ya VAT ya 18% ni juu yako kuweka tax kwenye bei zetu. Ile kodi ya 18% sio pesa yako umechukuwa na kuwashikia serikali. Sasa msije kufikiri ile pesa ni pesa yako ni pesa unatakiwa uweke kwenye bei.
Bajeti ya wizara ya viwanda ieleze itakavyosaidia wazawa na wazalishaji wa ndani, kuna wanasiasa wanaingiza baadhi ya bidhaa hazinakodi na zile zinazozarisha ndani ya nchi wanatozwa kodi kubwa kupelekea bidhaa zao kushindwa kushindana sokoni na kisha viwanda kufungwa na kukosa ajira kwa watu...
Tatizo la bei ya mafuta kupanda kila siku ukiliangalia kwa undani lina michezo mingi sana ambayo inachochewa na siasa na ukiritimba wa mifumo biashara iliyoko ndani ya koti la mgongano wa kimasilahi kati ya wafanya biashara na wanasiasa
Picha (chanzo ) google
Hapo nyuma wafanya...
Kumekuwa na propaganda zinazoendelea, ambazo zinaongozwa na wanaccm, zinazodai kuwa watanzania wanaolipa kodi, eti ni kama milioni 3, ambapo ni chini ya asilimia 5 ya watanzania wote milioni 60!
Mimi nazikataa propaganda hizo za wanaccm Kwa nguvu zote, Kwa kuwa watanzania wanakamuliwa Kodi...
Serikali imesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi.
Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Danie Silo (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.