Salaam Shalom,
Enzi ya Magufuli, Ukiwa na kitambulisho cha matching guy cha 20,000 Kwa mwaka, TRA Wala Jiji walikuwa hawakusogelei ukiwaonesha.
Ndipo nikajua kuwa, Watanzania wanapenda kulipa Kodi inayoendana na uwezo wao.
Ndugu yule, alifanikiwa kukusanya pesa nyingi sana Kwa mfumo Rahisi...