Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa uchungu,hisia kali na msisitizo mkali sana.amesema ya kuwa Kodi ndio Damu ya serikali.ambapo kila Mtanzania anapaswa kulipa kodi.
Hii maana yake nini watanzania wenzangu? Hii ni...
https://www.youtube.com/live/ZEQdEtlGZ6o
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi Dar es Salaam, leo tarehe 04 Oktoba, 2024.
RAIS SAMIA: UCHUMI WETU UNAKUA LAKINI HAUAKISI TUNACHOKIPATA
Rais Samia Suluhu Hassan amesema...
Kunawafanyabiashara ambao wanauza vyakula na vinywaji ndani ya treni ya SGR ambao hawatoi risiti ya EFD kama sheria inavyotaka. Wafanyabiashara hawa hawalipi Withholding Tax kwa kukosa kodi ya pango, pia hawana Hati ya Mlipakodi TRA(TIN) kama ambavyo wenzao wa mitaani walivyonavyo ambavyo...
Kwa Wataalamu wa kodi, Mtanzania akinunua gari dogo la kutembelea kwenye duka la magari kenya atawajibika kulipa kodi Kenya na Tanzania?
Pia soma: Zijue gharama za kodi kabla hujaagiza gari
Ukifungua biashara ukienda TRA ili wakokotoe kiasi cha kodi unachopaswa kulipa lazima wakuulize umepanga frem ya bei gan, Ile thaman ya frem kwa mwaka wanakokotoa asilimia ambazo ndio kodi ambayo kimsingi ilibidi ilipwe na mmilik wa frem au Jengo.
Pointi ni kwamba wamilik wa majengo au frem...
TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari.
Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili.
Wa Kwanza
Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
Habari familia, kuja jambo linanitatiza,
kwa waliopo kwenye ajira hasa binafsi, Kuna hii Kodi ya mapato inayotokana na mshahara, aisee hii Kodi ni kubwa mno inaumiza Sana, sijajua ndo utaratibu ulipo tangu zamani ama ni mabadiliko yaliyotokea hivi karibuni?
Maana unakuta anayelipwa Gross...
Unahitaji gari la kuaminika kwa siku chache au wiki? Usiende mbali! Rhond's company limited huduma zetu za kukodisha magari zinatoa:
Magari yaliyotunzwa vizuri
Vipindi vya ukodishaji vinavyobadilika
Bei nafuu
Mchakato wa haraka na rahisi wa kuweka gari
Safiri kwa faraja na uhakika...
Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha
Majengo ya kukodisha ni mojawapo ya njia bora za kuingiza kipato cha muda mrefu na endelevu.
Hata hivyo, ili kuongeza kipato kutoka kwa mali yako, unahitaji kutumia mbinu mbalimbali za kuboresha thamani ya jengo lako na kufanya...
Muhasibu wa Chanzo cha Mabango anasema wametakiwa kukusanya mapato ya shilingi bilioni 3 kwa mwaka mzima kupitia chanzo hicho.
Aidha anaelezea gharama ya kubandika matangazo kwenye gari. Inafikia mpaka sh10,000 Kwa squer feet 1.
Nakumbuka makampuni mengi sana yalikuwa na utaratibu wa kuweka...
HATA AKISEMA ANALIPA KODI YEYE, USILALE KWENYE GHETO LAKE......
Hakuna mwanaume ambae hajui hii kanuni, Ila kukumbushana sio dhambi ....
Nakumbuka kuna manzi nilikuwa na mfukuzia tokea tuko darasa la 4,
Mpaka tuna maliza la 7 bado manzi alinikazia ...
Kama bahati tukapangiwa shule...
Wafanyabiashara Ngara Watakiwa Kurasmisha Biashara Zao Ili Kupunguza Mzigo wa Kodi Kwao
Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe (Mb) amewataka Wafanya biashara wilayani Ngara Mkoani Kagera Kurasmisha Biashara zao ili kupunguza mzingo wa kodi kwao
Mhe. Kigahe ameyasema...
Mwez ujao kuna rafiki yangu anataka kufungua kijiduka cha mtaaji wa laki 8 vip TRA hawatamsumbua? Na kama watamsumbua ili kuepuka afanye nini? Kuepuka? Au kitambulisho cha mjasiriamali vip?
Wanabodi
Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi.
Watch https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF
Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi...
Kama mtu amepata ujasiri wa kuonyesha maburungutu ya pesa mitandaoni, huku aonyeshi chanzo halali cha pesa hizo serikali isikalie hilo jambo kimya.
Angalau watakwe kufanyiwa tax clearance wapewe doc ya kujipata na pesa mitandaoni. Hiyo itathibitisha ni pesa halali na huyo mtu anafaa kutumikq...
Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi.
Sasa mimi am a politician but Ismail Jussa naomba usome hapa kuhusu Theoritical concepts behind...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.