Marekani imeendelea kudhalilika tena kwenye kuisaka teknolojia ya makombora ya Hypersonic.
Jana Jumanne jeshi la anga la nchi hiyo ambayo imekuwa ikijigamba na kupaishwa kuwa iko mbele ya Urusi na China kwenye teknolojia za silaha za kivita imeshindwa tena ktk jaribio lililofanywa la kuisaka...
Wizara ya Ulinzi ya Japani imesema Korea Kaskazini imerusha kile kinachoonekana kuwa ni kombora.
Kikosi cha Ulinzi wa Pwani cha Japani kimeinukuu Wizara wa Ulinzi wa Japani ikisema kwamba kifaa hicho ni dhahiri kimetua.
Na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Korea Kusini ametangaza mnamo saa 5:09 leo...
Ghorofa moja wanaloishi raia mjini Dnepr lilibomolewa vibaya na kombora tarehe 14/01/2023. Siku hiyo urusi ilirusha makombora/missiles ikilenga miundombinu ya umeme.
Msaidizi wa Rais Zelensky akasema kombora la Urusi lilidunguliwa na air defense za ukraine, halafu kifusi chake ndio...
Ifahamike ya kwamba Mungu hupenda roho safi, mioyo safi, na utakaso ndani ya nafsi zetu, hivyo basi ukimtegemea na kumuishi yeye, hutumii nguvu ya kuhangaika na Ibilisi akufuataye kwenye maisha yako. Mungu wa kweli hupigana yeye kama yeye dhidi ya maadui zako, maana kila kombora na silaha zote...
Msikilize hapa, Siku maaskofu wamegeuza kibao sijui Bitozo atakimbilia nchi gani.
Kikwete anawajua vizuri sana hawa bwana. bila busara zao na kuwa karibu na pengo Kikwete awamu ya pili asingetoboa Dr Slaa alikuwa kachanja mbunga.
Japo uchunguzi unaendelea, wote wakiwemo Warusi na Ukraine wamealikwa kwenye eneo la tukio, ila Poland inasema kuna presha kali sana kwamba isemwe kombora ni la Mrusi, yaani maskini Mrusi ametamaniwa sana, ametafutiwa sababu kwa kila namna na asipokua makini hii itamponza.....
Kwa sasa hivi...
Russia imerusha kombora na kutua Poland
Two people died Tuesday afternoon after a projectile struck an area where grain was drying in Przewodów, a Polish village near the border with Ukraine, domestic media reported.
Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki has called an emergency meeting of...
Taarifa hizi za Urusi kupiga kombora Poland nilitegemea ziibue panic si ya kawaida kwa NATO wote (wale halisi wa kule na hawa wetu waliopo nanjilinji, mailimoja, kwa mfipa n.k) kwa jinsi walivyokuwa wanamtafuta kwa kitendo chake cha kuvamia Ukraine. Ni wakati gani tena bora wa kumfumua mtu...
Kombora hilo limesababisha vifo vya watu wawili katika Kijiji kimoja Nchini Poland lilirushwa na vikosi vya Ukraine wakati vikizuia mashambulizi kutoka kwa Urusi
Maofisa wa Marekani ambao hawakutaka kutaja majina yao wamebainisha kuwa tukio hilo lilitokea wakati Urusi ikishambulia miundombinu...
Leo Alhamis
Uzinduzi huo ulishindwa wakati wa utengano wa hatua ya pili, afisa wa kijeshi wa Korea Kusini aliiambia Yonhap
Korea Kaskazini imerusha kombora la masafa marefu (ICBM) kama sehemu ya onyesho la nguvu kubwa dhidi ya michezo ya kivita inayoendelea kati ya Marekani na Korea Kusini...
Korea Kaskazini imerusha kombora kuelekea Kusini, ambalo lilivuka mpaka wa bahari wa nchi hizo mbili kwa mara ya kwanza tangu kugawanyika kwa peninsula hiyo.
Kombora hilo la masafal mafupi lilitua umbali wa kilomita 60 kutoka mji wa Sokcho Kusini na kufyatua kengele za mashambulizi ya anga...
Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu Korea Kaskazini
Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora juu ya Japan. Makombora hayo yalirushwa katika Bahari ya Mashariki - pia inajulikana kama Bahari ya...
Hawa Warusi wamekua na commedies za ajabu, sijui wanatumia teknolojia gani hii ya hovyoo....
Kombora linarudisha salamu na kuua waliolifyatua.
=====
A bizarre malfunction in mid-air lead to the rocket turning back on itself before pummelling the Russian troops who launched it in the city of...
Kombora la Urusi limelipua sehemu yenye maduka makubwa katika Mji wa Kremenchuk Nchini Ukraine na kusababisha vifo vya tu kadhaa na uharibifu wa majengo.
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema kulikuwa na watu 1,000 kabla ya taarifa za kombora hilo, wengi walitoka lakini baadhi...
Kikosi cha Urusi kimefanya mashambulizi makubwa Nchini Ukraine na kusababisha uharibifu mkubwa katika ghala ya silaha kutoka Marekani na Nchi za Ulaya.
Mashambulizi yamefanyika katika Mji wa Ternopil baada ya mapambano ya saa kadhaa katika Mji wa Sievierodonetsk.
Serikali ya Ternopil imesema...
SHAKA H SHAKA, KATIBU KATIBU WA ITIKADI AMEZUNGUMZA HOJA NZURI SANA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo nikiwa nimekaa mahali ninapumzika lilinijia wazo moja. Wazo langu lilifanana Kwa kiasi na wazo la Shaka, lakini Mimi nilienda Mbali zaidi.
Nilijiuliza hivi, kazi ya Viongozi wa CCM ngazi za...
Russia imefanya jaribio la kombora la nuclear, ambalo Rais wa Nchi hiyo, Vladmir Putin amesema kwamba litawafanya maadui wao kuacha kuwafikiria.
Jaribio hilo limefanyika miezi miwili tangu Russia ilipoivamia Ukraine.
Putin alionekana kwenye televisheni akiambiwa na wakuu wa jeshi kwamba...
Korea kaskazini imeripotiwa kufanya majaribio yake makubwa zaidi ya makombora yake ya (Intercontinental ballistic missiles) makombora yenye uwezo wa kuvuka bara moja hadi jingine
Majaribio haya nimakubwa zaidi tangu Mara yamwisho kufanya hivyo mwaka 2017,
huku makombora hayo yakiwa na uwezo...
Russia imetumia kombora la kisasa kabisa lisilozuilika la hypersonic, kuharibu ghala la silaha nchini Ukraine.
USA NA NATO hawana mfumo wa kuweza kulizuia au kuliangusha kombora hilo, NATO wote tumbo joto, USA anajipendekeza kwa mchina ili amgeuke Russia, na Mchina kakomaa na swahiba wake...
North Korea 'inasemekana' imerusha leo hii kombora 'linalodhaniwa' ni la balistiki, ambalo limelipukia angani, muda mchache baada ya kurushwa. Hayo yamezungumzwa na South Korea.
Cheong Seong-chang, mtafiti mwandamizi ktk Taasisi ya Sejong ameiambia AFP kuwa dalili zaashiria kuwa jaribio la leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.