North Korea leo jumamosi imerusha kombora moja la balistiki baharini. Kombora hilo linakuwa ni la 9 toka mwaka huu kuanza. South Korea imelalamika kuwa majaribio hayo yanatishia usalama wa wa jumuia ya kimataifa, kama ambavyo yanavyohatarisha amani na usalama ktk peninsula ya Korea.
South Korea...
Japan na Korea Kusini wamesema kuwa leo jumapili Korea ya Kaskazini imefanya majaribio ya kurusha kombora la balistiki.
Jaribio hili limefanyika kukiwa na chini ya wiki mbili kuelekea uchaguzi wa rais nchini South Korea, lakini pia katika kipindi ambacho dunia imekuwa ktk hali ya kushughulishwa...
North Korea imefanya jaribio la kurusha kombora la balistiki la masafa mafupi toka kwenye nyambizi (submarine) jana October 19, 2021.
Jaribio hilo limefanyika ktk kipindi ambacho wajumbe maalumu wa Marekani, South Korea na Japan ktk maswala ya North Korea wakijiandaa kukutana kujadili mpango wa...
Picha ya Hwasong-8, kombora la hypersonic liliorushwa na North Korea
North Korea imesema kuwa imefanikiwa kufanya jaribio la hypersonic missile, kombora linalosafiri maradufu kuliko sauti. Wataalamu wa mambo ya silaha wanasema kuwa kombora hilo ni miongoni mwa makombora yanayotembea kwa spidi...
Korea Kaskazini imefanya jaribio la kombora jipya la masafa marefu linaloweza kupiga sehemu kubwa ya Japan, vyombo vya habari vya serikali vimesema Jumatatu.
Jaribio lililofanywa mwishoni mwa wiki lilishuhudia makombora yakisafiri hadi umbali wa km1,500 (930 maili),kulingana na KCNA.
Jaribio...
Habari!
Marekani imeiondolea Korea Kusini vizuizi ama ukipenda waweza kuita vikwazo vya muda mrefu (miaka 42) juu ya uwezo wake wa kutengeneza makombora. Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in alitangaza uamuzi huo Ijumaa kufuatia mkutano wake na Rais wa Marekani Joe Biden hivi karibuni jijini...
Aitaka serikali kuongea na manabii wanaodai kufufua wafu ili wafufue wapendwa wetu?
===
Mbunge wa Mtambwe (ACT-Wazalendo), Khalifa Mohamed Issa amehoji "Serikali haioni wakati umefika kukaa na manabii wanaodai kufufua waliokufa, ili kuweza kuwafufua wapendwa wetu." N/Waziri Mambo ya Ndani...
Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39.
Israel imeendelea kutumia makombora kushambulia majengo marefu katika eneo la Gaza, ikilenga jengo la ofisi za Shirika la Habari la Al Jazeera na...
Korea Kaskazini yafyatua makombora ya masafa marefu katika bahari ya Japan
CHANZO CHA PICHA, REUTERS. Maelezo ya picha: Kiongozi huyo wa Korea Kaskazini amerudia kufanyia majaribio makombora ya masafa marefu
Korea Kaskazini imefyatua makombora mawili ya masafa marefu ndani ya bahari ya Japan...
Habari!
Israel imetangaza Alhamisi kuwa inashirikiana na Marekani katika mpango wa uundaji wa mfumo mpya wa ulinzi wa anga dhidi ya makombora ya balistiki unaojulikana kama Arrow-4 ambao unajumuisha kizazi kijacho cha vizuizi (interceptors) ambao utachukua nafasi ya mfumo uliopo wa Arrow-2 kwa...
Picha ya kombora jipya kuuubwa la kinyuklia (ICBM) la North Korea (Picha kwa msaada wa AP)
Baada ya kimya kirefu, yule mtemi wa mtemi wa dunia Kim Jong-Un amekuja na kitu kipya. Naam ni kombora kubwa mnooo la kinyuklia la masafa marefu (ICBM) ambalo wachambuzi wa mambo wanasema ni ktk makombora...
TOP GUN GRUMMAN F-11 SUPERSONIC FIGHTER & STORY OF A TIGER WHO HAD BITTEN ITS OWN TAIL: Ndege vita iliyojipiga yenyewe kwa kukimbia speed kuzidi kombora lake.
UTANGULIZI: Jaribu kujenga picha ya kwamba Morani wa kimasai anarusha mkuki (mkuki wenye ncha kali mbele na nyuma) mita kadhaa mbele...
Japo Waajemi wenyewe wanasema ilikua ajali kazini.
One Iranian warship accidentally struck another with a missile during an exercise, killing 19 sailors and wounding 15 others, Iran's navy said on Monday.
The incident took place during training in the Gulf of Oman, a sensitive waterway that...
Kikosi cha Jeshi cha Anga za Juu cha Marekani ambacho ni tawi jipya la Jeshi la Marekani kimefanya jaribio la kombora la balistiki la Minuteman III.
Kikosi hiki cha masuala ya kijeshi katika anga za juu kiko chini ya Jeshi la Anga la Marekani na kilianzishwa mnamo Desemba 20 mwaka jana, 2019...
Takribani wanajeshi 75 wameuawa kwenye shambulizi la kombora lililorushwa na wanamgambo wa Houthi kwenye msikiti katika jimbo la Marib nchini Yemen.
Vyanzo vimeliambia shirika la habari la AFP kwamba wanamgambo hao waliushambulia msikiti uliopo kwenye kambi ya kijeshi, takriban kilomita 170...
Iran imesema kuwa imemkamata mtu aliyerekodi kipande cha video kinachoonesha tukio la kutunguliwa kwa ndege ya abiria ya Ukraine.
Inaaminika, mtu anayeshikiliwa atakabiliwa na mashtaka yanayohusiana na usalama wa taifa.
Ndege ya Ukraine PS752 iliangushwa muda mchache baada ya kupaa kutoka...
Iran imetangaza kuwa jeshi lake "bila kukusudia" liliitungua ndege ya Ukraine, iliyoanguka na kuua watu wote waliokuwemo ndani yake huku wengi wao wakiwa ni raia wa nchini Iran.
Taarifa hiyo mnamo Jumamosi asubuhi inalaumu "kosa la kibinadamu" lililofanyika katika tukio hilo.
Ndege ya Ukraine...
Maafisa kutoka nchini Marekani wamedai kuwa ndege ya abiria ya Ukraine Boeing 737-800 iliyoanguka nchini Iran ilitunguliwa kwa kombora la Iran.
Wakati huohuo Pentagon kupitia afisa wa juu wa masuala ya kiintelijensia pamoja na afisa mwingine wa masuala ya kiintelijensia wa Iraq wamenukuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.