ETARO SEKONDARI YADHAMIRIA KUWA NA "HIGH SCHOOL" YA SOMO LA KOMPYUTA - HARAMBEE JUMAMOSI, 23.12.2023
Tarehe ya Harambee:
Jumamosi, 23.12.2023
Saa 3 asubuhi
Mahali:
Etaro Sekondari
Kijijini Etaro
Akaunti ya Shule:
Benki: NMB Musoma
Akaunti Na: 30301200341
Jina la Akaunti: Etaro Sekondari...
Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Salim Alaudin Hasham amesema atahakikisha anapambana kutatua changamoto ya vifaa vya mashuleni ili kuinua kiwango cha ufaulu wilayani humo.
Mbunge Salim ameyasema hayo wakati akigawa vifaa hivyo ambavyo aliahidi kwa shule tatu zitakazo fanya vizuri...
Wasanii wana kitu cha kujifunza kutoka kwa Zuchu. Bata kidogo na misaada kidogo.
Wakati akisherekea kutimiza miaka 23 ya kuzaliwa,Zuchu amemtuma chawa baba Levo maeneo ya zanzibar kupeleka kompyuta 5 kwenye shule yake ya zamani zikawasaidie katika uchapaji wa mitihani.
Happy birthday Zuchu.
Teknolojia ya vifaa vya kushikilia data imekuwa kubwa sana ni ajabu naona bado Tanzania tunaendelea kutumia Hard Disks.
Hard Disks huwa zinasoma data kwa vifaa kuzunguka ndani yako, Zipo slow sana, hata ukiweka ram kubwa ama uwe na processor nzuri, itakuwa na msaada kidogo, ni sawa na mtu...
Habarini za jioni wanajukwaa
Leo nimeangusha laptop yangu, baada ya kuiwasha ikawa inawaka lakini mwanga umekuwa hafifu mno kana kwamba nimepunguza Hadi level ya mwisho
Nimejaribu kuichunguza hakuna wino, pia maandishi + folders na vitu vyote vinaonekana ila kwa brightness ndogo mno...
Watu wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la kuingilia mfumo wa kompyuta wa benki ya CRDB na kujipatia kiasi cha Sh Milioni 13.8.
Washtakiwa hao ni Riziki Kanena (22) ambaye ni mkazi wa Mikocheni na Laulentina Yastaf Mkazi wa Akamea...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kufanya mikutano ya hadhara kuelezea utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo leo alikuwa Kata ya Misezero Kijiji cha Kumkugwa.
Wananchi wa Kumkugwa wameonyesha kufurahia mno na kumshukuru Rais Samia...
Kasi ya ukuaji wa sayansi na teknolojia imepelekea shughuli mbalimbali za kijamii, uzalishaji na mawasiliano kufanyika kidigitali zaidi kupitia mitandao ya kijamii. Dhana ya mitandao ya kijamii na haki za kidigitai inahusisha moja kwa moja matumizi ya vifaa vya kielektroniki kama vile simu...
Habari wakuu wa tech.
Nina game la mpira PES 2017 kwenye kompyuta yangu nikiwa na patch ya 2023. Juzi nimepiga Windows mpya game ikagoma kuplay ikihitaji baadhi ya files, hivyo anikaamua kubadilisha HDD yenye windows na kuweka nyingine ambayo huwa natumia kwenye laptop.
Sawa game lina play ila...
UTANGULIZI.
Kutokana na kukua kwa teknolojia kwa sasa mambo mengi yanafanyika kwa njia ya mtandao na mifumo ya kompyuta, sekta ya afya inatumia mifumo ya afya kukamilisha huduma kwa wagonjwa ambapo taarifa zote zinakuwepo katika mfumo huo.
Kila hospitali inatumia mfumo wake kulingana na...
Mkuu wa Wilaya Korogwe Mhe. JOKATE MWEGELO apokea Vifaa vya TEHAMA katika Shule 6 wilayani Korogwe vyenye Thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 92 kutoka kampuni ya Vodacom Tanzania.
Kampuni ya kuunda Vifaa vya Kielektroniki ya Dell itawaachisha kazi Wafanyakazi 6,650 sawa na 5% ya Wafanyikazi wote kutokana na mauzo ya Kompyuta kupungua kwa 28% kila mwaka.
Dell imeripoti kushuka kwa soko la nje la Kompyuta kwa 37% katika kipindi cha mwaka 2022 huku washindani wao, kampuni...
Habari wanaJF?, Natumai mko poa Sana, mwenzenu Nina changamoto Nina simu ya Aina ya infinix, hapo mwanzo nilikua nakonnect vizuri kwenye computer.
Sasa hivi karibuni nimekonnect Mara kadhaa haikubali inasema " Window unable to connect". Nimejaribu kutumia Tecno, imezingua ila nimetumia simu...
Mashirika ya Serikali yameanza kupiga marufuku matumizi ya huduma maarufu ya mitandao ya kijamii ya TikTok kwenye vifaa vinavyodhibitiwa na serikali kwa kuhofia kwamba China inaweza kuitumia kuingilia taarifa za Serikali na kukagua maudhui.
Majimbo 19 kati ya 50 ya Marekani tayari yamezuia...
Habari wakuu,
Hongereni kwa majukumu ya hapa na pale nimekuja kwenu kupata mawazo na ushauri hasa katika kukuza mtaji.
Biashara yangu Ni uuzaji wa laptop, desktop and accessories.
Nilianza biashara hii mtandaoni kwa kuwa napost bidhaa ambazo sina mteja akihitaji naenda kumchukulia changamoto ya...
UTANGULIZI
Katika Dunia nzima, nchi zote hufanya chaguzi zake ili kupata viongozi wake wa ngazi tofauti tofauti kupitia mfumo wa kupiga kura za mficho. Njia inayotumika kwa sasa nyingi huwa zinasababisha wizi wa kura, gharama kubwa za usimamizi wa uchaguzi, maafa kwa wasimamizi wa uchaguzi na...
Polisi katika mji Mkuu Nairobi wamevamia ofisi zinazoaminika kuwa na uhusiano na Naibu wa Rais, William Ruto, na kuchukua kompyuta 2 na seva 2
Uvamizi huo unajiri huku kukiwa na mvutano kati ya vikosi vya usalama nchini na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini (IEBC) baada ya mkuu wa tume hiyo...
Wanasayansi wa China wamejisifu ktengeneza super computer ambayo ina akili bandia na uwezo sana na akili ya mwanadamu.
Komputer hiyo ina storage na memory ya kutosha. Na wengine mmezoea quad cores hii ina 37 milion CPU Cores.
=
Today in "Skynet does Asia" news, Chinese scientists are boasting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.