Habari za wakati huu wana_jukwaa? Ni imani yangu mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku.
Kama heading inavyojieleza, Nahitaji:
1. Kuweka windows 10 pro na drivers zake kwenye Kompyuta ikiwa ni pamoja na Antivirus.
2. Ku install softwares kadhaa katika kompyuta:
I. Adobe ...
Leo nilikuwa nataka kuagiza kompyuta ni kaona kwanza niingie Kwenye mitandao kuuliza na kupata maoni kabla ya kununua.
Kompyuta asilimia kubwa uwezo wake unategemea graphic card kwa maelezo niliyopata kwa sababu ndio kuitwa (GPU) graphics processing unit.
Uwezo GPU ukiwa mkubwa na ndiyo...
Nakumbuka ni kipindi ambacho afisi ya DPP iligeuka kuwa TRA yani mtuhumiwa anakili kosa kisha analipa fidia mambo yanaisha. Hii iliwahusu wale wenye kesi za uhujumu uchumi.
Lakini ghafla tukasikia ofisi imevunjwa na nyaraka zimeibwa.
Sasa nauliza vipi hili sakata liliishaje?
Vipi watuhumiwa...
wakuu Habarini za saiz..
tumsifu yesu kristo..
Bwana yesu asifiwe...
salam alihekum...
wakuu wangu kuna swala dogo sana linanisumbua akili ... naombeni mnieleweshe ..
ivi kozi zote zinazohusisha matumizi ya kompyuta kv.. it, bachelor of sciences information technology.. computer sciences...
Baada ya kuhitimu masomo yake ya kidato cha sita mwaka 2013 katika shule ya sekondari ya wasichana Kilakala, Jojina alirudi nyumbani kwao Gairo. Jirani yao Mzee Mkude alikuwa amefungua duka la vifaa vya maofisini na shuleni (stationery) karibu na stendi ya zamani. Hivyo Jojina alimuomba Mzee...
Jamani wakubwa humu ndani, mimi mwenzenu napenda kuwa mtaalam wa "Computer maintenance "
Sema sijapitia chuo labda kusoma elimu hii ya computer, lakini naijuia kuitumia kwa kiasi fulani (sio mjuzi sana)
Sasa nawauliza nyie kama wataalamu wa haya mambo nifanyeje ili. Niweze ku-master ujuzi...
Nakumbana na tatizo wakati wa upakiaji maudhui (Picha/Video) Instagram kupitia kompyuta. Nimetumia mbinu mbalimbali kuweza kutatua na kila jitihada pasi ya mafanikio, nawaza yaweza kuwa tatizo toka Istagram moja kwa moja. Kuna yeyote amekumbana na tatizo hili, Ipo namna ya kulitatua?
Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta ambapo vile vile dukani hapo inatolewa huduma za kiufundi.
Vigezo
Awe mkazi wa Arusha Mjini.
Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta.
Awe anajua vizuri spea za laptop na desktop na jinsi ya kubadilisha.
Awe anajua kutoa kauli nzuri...
Habari za humu ndani,
Nina king'amuzi cha Azam TV nahitaji niunganishe na Kompyuta mpakato. Kwa anayefahamu namna ya kuunganisha naomba anielekeze
Shukrani.
Nchi ya Australia ipo katika kipindi kigumu baada ya mifumo yake ya kompyuta kudukuliwa na majasusi na kuharibu mifumo yake ya mashule, vyuo na mahospitali
Mashambulizi hayo pia yamevuruga na kuharibu mifumo ya kompyuta za masuala ya biashara na mifumo ya serikali kwa ujumla
Taarifa yaendelea...
Husika na kichwa cha habari hapo juu mimi ni raia wa kawaida hapa kisarawe kwa Sasa naomba msaada wa kusoma kozi za muda mfupi kwa jiji la Dar es salaam,hivyo kama kuna mdau yeyote anayefahamu eneo wanalofundisha hizo kozi za muda mfupi aje hapa jukwaani anisaidie,iwe miezi mitatu, miezi sita...
Habarini wakuu
Nimeamua kuanzisha huu uzi maalumu kwa kuweka picha zilizotengenezwa kwa mifumo ya kompyuta. huu utakuwa ni uzi wa kuweka picha tulizozitengeneza sisi wenyewe na si picha za ku download au kuweka picha kutoka kwa mtu mwingine.
Huu uzi ni wa kujumuisha watu wote: wanaozalisha...
Daktari bingwa wa magonjwa ya macho kutoka Hospitali ya CCBRT, Dar es Salaam, Cprian Ntomoka amesema kuwa matumizi ya vifaa vyenye mwanga mkali kama simu na kompyuta yanaweza kusababisha tatizo la uoni hafifu au hata upofu wa muda.
Dk. Ntomoka ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Macho katika...
Nchi ya Uganda imefikia hatua nzuri sana inayostahili pongezi kwa kuweza kutengeneza simu na kuziingiza sokoni.
Uzalishaji unaonekana kuwa simu 2000 za kawaida, smartphone 1500 na kompyuta mpakato 800.
Watanzania tujifunze hapo napo
Injinia Kagoshaki kutoka Japan ameshangaa inakuwaje mtu anayegombea uongozi wa serikali anajaza fomu kwa mkono!
Kagoshaki anasema Japan unapojaza fomu yoyote hata ya kuomba chumba cha kulala Hotelini utatumia kompyuta ambayo itakuwa inakupa mwongozo ili usikosee. Lengo la kujaza fomu ni kupata...
Uzi huu unaletwa kwenu na
Orb Tech LLC.
Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2
Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications.
Kama tulivyoainisha hapo awali hizi ni program zinazotumia internet katika kufanikisha jambo lililokusudiwa mfano Kupatana...
Ungependa kubadilisha lugha ya tarakilishi yako kutoka Kimombo hadi Kiswahili? Ungependa kutumia Microsoft Office kwa Kiswahili? Basi fuata maagizo haya.
Kitu cha kwanza unachofaa kujua ni kuwa Windows hutumia faili aina ya LIP (language interface pack) kuwezesha lugha zisizo Kimombo kuonyeshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.