Habari wakuu,
Hongereni kwa majukumu ya hapa na pale nimekuja kwenu kupata mawazo na ushauri hasa katika kukuza mtaji.
Biashara yangu Ni uuzaji wa laptop, desktop and accessories.
Nilianza biashara hii mtandaoni kwa kuwa napost bidhaa ambazo sina mteja akihitaji naenda kumchukulia changamoto ya...