korea kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Makampuni ya Korea Kusini kukimbia kutoka Mexico na Canada kwenda kuwekeza Marekani kukwepa vikwazo vya Trump

    Samsung, LG, Kia, POSCO na makampuni mengine mengi ya Korea yamelazimika kutathmini upya gharama za kuendesha viwanda nchini Mexico na Kanada, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kusisitiza ahadi yake ya kutoza ushuru wa asilimia 25 kwa nchi hizo mbili za Amerika Kaskazini. Trump alisema...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa Korea Kusini hakuna muigizaji Bora wa kiume kama Lee Byung-hun Jamaa anajua Sana. Squad Game ni muendelezo wa uwezo wake

    Mpo salama! Huyu jamaa kwa mara ya Kwanza niliangalia picha yake ya Kwanza Miaka ya 2009/2010 huko katika Series Moja iitwayi IRIS. Hapo ndio mwanzo wa kuzipenda na kuanza kufuatilia baadhi ya Filamu za Kikorea. Nikiri wazi kuwa kabla ya kuangalia Filamu ya IRIS sikuwa mpenzi wa Filamu za...
  3. Mi mi

    Demokrasia ya Korea Kusini inashangaza

    Hii demokrasia ya Korea kusini inashangaza kweli. Baada ya Rais aliyetolewa madarakani kwa kura za wabunge za kutokuwa na imani naye bwana Yoon Suk Yeol baada ya kutoa amri ya nchi kuwa chini ya sheria za kijeshi ili kudhibiti wakomunisti wa China na Korea Kaskazini kujipenyeza katika siasa za...
  4. G

    Jeshi la Korea Kusini limewazuia polisi 3000 kumkamata Rais aliyeondolewa madarakani na bunge

    Jaribio la kumkamata Yoon Suk Yeol, Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani na bunge, limegonga mwamba baada ya polisi na wachunguzi wa rushwa takribani 3,000 kuzuiwa na Jeshi la Korea Kusini Wanasheria wa Yoon wamesema polisi na wachunguzi wanaojaribu kumkamata Yoon wamevunja sheria...
  5. Mindyou

    Rasmi, Bunge la South Korea lapiga kura kumuondoa Rais Yoon Suk Yeol madarakani baada ya kutangaza utawala wa kijeshi

    Wakuu, Wabunge wa Korea Kusini wamepiga kura Jumamosi kumuondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol kufuatia jaribio lake lililoshindikana la kutangaza hali ya kijeshi, hatua ambayo ilisababisha machafuko katika taifa hilo. Kura hiyo ilipigwa na wabunge wote 300ambapo 204 walikubali, 85 walipinga...
  6. Mtoa Taarifa

    Wizara ya Sheria yamwekea Rais wa Korea Kusini zuio la Kusafiri nje ya Nchi huku ikimchunguza kwa Uasi na Uhaini

    Wizara ya Katiba na Sheria imemwekea Rais Yoon Suk Yeol, zuio la kutosafiri nje ya nchi hiyo kwa maelezo kuwa inachunguza madai ya Uasi yaliyoambatana na Amri ya kuiweka nchi chini y Utawala wa Kijeshi ambayo ilifutwa muda mfupi na Bunge. Bunge limetaarifiwa kuhusu hatua ya kumpiga marufuku...
  7. Yoda

    Nina mashaka kama Wanajeshi wa Korea Kusini waliokuwa wanasimamia "martial law" wataweza kupambana na wanajeshi Korea Kaskazini kiume

    Baada ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol kutangaza amri ya utawala wa sheria ya jeshi wanajeshi waliopaswa kutekeleza amri hiyo walionekena walegevu sana, walichukua muda mrefu mno na kujivuta sana kujikusanya na kujipanga, ni kama hawakuwa na utayari wa kutosha. Pia ukiangilia video jinsi...
  8. figganigga

    Mgogoro wa Korea Kusini kuisesha Tanzani Dola za Kimarekani Bilioni 2.5? Tumuombee Samia

    Salaam Wakuu, Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea walishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA). Mkataba ambao utaiwezesha Tanzania kupokea mkopo kutoka Korea wa kiasi cha Dola za...
  9. W

    Baraza la Mawaziri lasema liko tayari kujiuzulu huko Korea Kusini baada ya kushindwa kwa Amri ya Utawala wa Kijeshi

    Rais Yoon Suk Yeol ameondoa Utawala wa Kijeshi nchini humo baada ya maandamano ya wananchi na wabunge kupiga kura za kufuta amri yake Aidha, Msemaji wa chama cha Upinzani cha 'Democratic' amedai uamuzi wa Rais Yoon Suk Yeol wa kutangaza Utawala wa Kijeshi Desemba 3, 2024 ni kitendo cha...
  10. econonist

    Mke wa Rais ndio chanzo cha mgogoro Korea Kusini

    Mke wa Rais wa Korea Kusini Bwana Yoon amekuwa na kashfa nyingi za Rushwa hapo Korea Kusini. Moja ya kashfa ni kutoa upendeleo kwa mgombea nafasi ya ubunge na kushirikiana na makampuni yanayohusika na kura za maoni ili kuonesha kwamba mgombea anayempendelea anaongoza. Pia ana kashfa ya kuhongwa...
  11. Yoda

    Rais wa Korea Kusini akubali kuondoa amri ya utawala wa kijeshi!

    Muda mfupi baada ya kutangaza amri ya utawala wa kijeshi hatimaye Rais wa Korea Kusini ametema ndoano na kukubali kufuta amri hiyo ya utawala wa kijeshi baada ya kura ya veto ya bunge ! Huyu Rais labda alikuwa anafanya jaribio la utayari wa jeshi katika kutekeleza amri za amiri jeshi mkuu.
  12. Sir John Roberts

    Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

    Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya serikali, hakuna maandamano Wala shughuli zozote za kisiasa. Inasemekana wabunge wa upinzani ambao...
  13. U

    Ubalozi wa Israel Korea Kusini jijini seol wavamiwa, uharibifu waripotiwa, mhusika adhibitiwa kikamilifu na hakuna majeruhi

    Wadau hamjamboni nyote? Mvamizi huyo hajulikani ni nani na katumwa na nani na madhara kiwango gani Taarifa za ndani bado hazijatolewa kikamilifu ila tukio hilo limetokea kweli Tuwaombee taifa takatifu la Israel --- Foreign Ministry says property damaged in apparent attack on Israeli embassy...
  14. H

    Kim Jong Un wa North Korea atangaza kutumia mabomu ya nyuklia kuipiga Korea Kusini iwapo atachokozwa!

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametishia kutumia silaha za nyuklia kuiangamiza Korea Kusini iwapo itashambuliwa, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti Ijumaa, baada ya Rais wa Korea Kusini kuonya kwamba ikiwa Korea Kaskazini itatumia silaha za nyuklia itakuwa ni “mwisho wa utawala...
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa Afikisha Mkakati wa Kuwezesha Makandarasi Wazawa Nchini Korea Kusini, Akutana na Makampuni Makubwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) akiwa ameambatana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi (Mb) wamekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Fedha ya Korea kwa ajili ya Ujenzi (K-FINCO), Dkt. Lee Eun Jae pamoja na Watendaji wakuu wa Makampuni...
  16. Roving Journalist

    Waziri Bashungwa afikisha mkakati wa kuwezesha Makandarasi wazawa nchini Korea Kusini, akutana na makampuni makubwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) akiwa ameambatana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi (Mb) wamekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Fedha ya Korea kwa ajili ya Ujenzi (K-FINCO), Dkt. Lee Eun Jae pamoja na Watendaji wakuu wa Makampuni...
  17. Gemini AI

    Watumishi wa Korea Kusini kuanza majaribio ya kufanya kazi kwa Siku 4 kwa Wiki badala ya SIku 5

    Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Yonhap, Watumishi wa zaidi ya Taasisi 50 katika Jimbo la Gyeonggi wataanza jaribio hilo badala ya Siku 5 au 6 za sasa. - Majaribio hayo yanayotarajiwa kuanza mwaka 2025 yatatoa Uhuru kwa Watumishi kuchagua kati ya kufanya kazi siku 4 au kupunguza zaidi Saa za...
  18. milele amina

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Kampuni ya Serikali ya Korea Kusini ya Yulho wakubaliana kuanzisha chuo cha utafiti

    Watanganyoka tunapigwa na kitu kizito. --- Yulho announced on the 12th that its global mining development and trading subsidiary "Yulho Tanzania" has established a joint venture "LOK Mining Company" with a local partner. After securing the right to explore local nickel and graphite mines, LOK...
  19. Kaka yake shetani

    Shishi Food angekuwepo kwenye ziara ya Korea Kusini maana kule kuna migahawa mingi angalau angekuja na jibu

    Kama ujafika korea basi niwajuze tu? Japo wanakila kitu na wapo mbali sana ila swala la migahawa ya vyakura na huduma za chukura korea wapo vizuri sana. Biashara ya chakura korea hipo tofauti na uwezi kuona biashara zina fanana yani huyu akipika wali wa chunvi mwengine anapika wali sukari...
  20. robbyr

    Chuo cha Bagamoyo kimekufa? Wasanii hawakustahili kwenda Korea bali tulihitaji uwezeshaji hapa nchini

    Picha: Mtandaoni Kwa heshima kubwa nampongeza rais na baraza la sanaa kwa kuona kuna kitu tunaweza kujifunza kutoka kwa jamii ya watu wa Korea Kusini Ila niseme kuwa wizara ya sanaa imeshindwa kutafsiri maono ya rais juu ya sanaa yetu. Ila wasani hawaendi kujifunza utamaduni wa Korea ili waje...
Back
Top Bottom